Radio Ashe Illeret

Radio Ashe Illeret Radio Ashe Illeret is a Christian station broadcasting from Maralal, Samburu County

Mwanzo 41:39 Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima k**a wewe.K...
17/12/2024

Mwanzo 41:39
Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima k**a wewe.

Kumekucha Msikilizaji! U hali gani? Safari ya ndio hiyo imeng'oa nanga na kwenye usukani ni Emanuel Matano , Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Mwanzo 40:8 Wakamwambia, Tumeota ndoto wala hapana awezaye kuifasiri. Yusufu akawaambia, Kufasiri si kazi ya Mungu? Tafa...
16/12/2024

Mwanzo 40:8
Wakamwambia, Tumeota ndoto wala hapana awezaye kuifasiri. Yusufu akawaambia, Kufasiri si kazi ya Mungu? Tafadhalini mniambie.

Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Habari za wikendi? Karibu tuianze wiki kwa baraka kwenye mpango bab'kubwa na Emanuel Matano , Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Jamhuri day yako ilikuwaje? Karibu tukamilishe wiki in style kwenye mpango mzima   na ...
13/12/2024

Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Jamhuri day yako ilikuwaje? Karibu tukamilishe wiki in style kwenye mpango mzima na Emanuel Matano , Unasign in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Karibu kwenye   edition ya   ukiwa nami Emanuel Matano ndani ya Radio Ashe-Kenya, Unac...
12/12/2024

Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Karibu kwenye edition ya ukiwa nami Emanuel Matano ndani ya Radio Ashe-Kenya, Unacheck in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Mwanzo 37:5 Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari, nao wakazidi kumchukia;Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Saf...
11/12/2024

Mwanzo 37:5
Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari, nao wakazidi kumchukia;

Kumekucha Msikilizaji! Umeamkaje? Safari ya imeng'oa nanga na kwenye usukani ni Emanuel Matano , Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Danieli 2:21 Yeye hubadili majira na nyakati; huuzulu wafalme na kuwamilikisha wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwa...
09/12/2024

Danieli 2:21
Yeye hubadili majira na nyakati; huuzulu wafalme na kuwamilikisha wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwapa wenye ufahamu maarifa;

Happy New Week Msikilizaji! Umeamkaje? Habari za wikendi? Karibu tuianze wiki kwenye uwepo wa Mungu katika mpango bab'kubwa na Emanuel Matano , Unasign ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Ni siku nyingine maridadi ambayo Mungu ametukirimia kuiona. Umeamkaje? Karibu tumtukuze Mungu pam...
05/12/2024

Kumekucha Msikilizaji! Ni siku nyingine maridadi ambayo Mungu ametukirimia kuiona. Umeamkaje? Karibu tumtukuze Mungu pamoja kwenye mpango mzima na Emanuel Matano , area code yako ni gani?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Mwanzo 18:14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda Bwana? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara...
04/12/2024

Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda Bwana? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.

Kumekucha Msikilizaji! U hali gani? Ni wakati wa kuchangamka tulijenge taifa. Tayari Emanuel Matano nishawasili mjengoni kukuandalia show bab'kubwa . Unawakilisha maeneo gani?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Ruthu. Je mafundisho haya yamekub...
03/12/2024

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Ruthu. Je mafundisho haya yamekubariki vipi? Ni kipi ulichojifunza?

Sms: 07 12 04 00 10

Zaburi 1:1 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi...
03/12/2024

Zaburi 1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

Asubuhi njema Msikilizaji! U hali gani? Safari ya imeng'oa nanga na kwenye usukani ni Emanuel Matano , Unacheck in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Wagalatia 5:16 Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.Happy New Month Msikilizaji! Umea...
02/12/2024

Wagalatia 5:16
Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.

Happy New Month Msikilizaji! Umeamkaje? Habari za wikendi? Ni wakati wa kuteka anga kwenye na Emanuel Matano , Unategea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Ruthu 1. Je mafundisho haya yamek...
29/11/2024

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Ruthu 1. Je mafundisho haya yamekubariki vipi? Ni kipi ulichojifunza?

Sms: 07 12 04 00 10

Matendo ya Mitume 3:6 Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa ji...
29/11/2024

Matendo ya Mitume 3:6
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.

Ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Novemba Msikilizaji! Umeamkaje? Karibu tukamilishe wiki kwa baraka kwenye mpango bab'kubwa ukiwa nami Emanuel Matano, Wakaribishe wawili tukisonga.
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Waamuzi 17-21. Je mafundisho haya...
28/11/2024

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Waamuzi 17-21. Je mafundisho haya yamekubariki vipi? Ni kipi ulichojifunza?

Sms: 07 12 04 00 10

Mathayo 9:2 Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule...
28/11/2024

Mathayo 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Asubuhi njema Msikilizaji! Kumepambazuka! Ni furaha iliyoje kukualika tubarikiwe kwa pamoja kwenye mpango bab'kubwa na Emanuel Matano , Unacheck in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Waamuzi 14-16.  Je mafundisho hay...
27/11/2024

Karibu kwenye kipindi cha neno na Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo kwenye kitabu cha Waamuzi 14-16. Je mafundisho haya yamekubariki vipi? Ni kipi ulichojifunza?

Sms: 07 12 04 00 10

Luka 17:14 Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.Giza ni ji...
27/11/2024

Luka 17:14
Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.

Giza ni jingi kunapokaribia kucha! Pambana usikate tamaa. Umeamkaje? imeteka anga na Emanuel Matano , Unatune in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Address

Samburu County
Maralal

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Ashe Illeret posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Ashe Illeret:

Videos

Share

Category