Wagz Willy

Wagz Willy Digital Creator
Updates ��
�����

TIERRA DE ESPERANZA UPDATES Episode 21MARIA TERESA AND SANTOS MAKE LOVE 😜Santos tells Maria Teresa not to trust Marco to...
14/04/2024

TIERRA DE ESPERANZA UPDATES
Episode 21
MARIA TERESA AND SANTOS MAKE LOVE 😜
Santos tells Maria Teresa not to trust Marco too much when they return to the estate and Maria Teresa asks him if he is jealous and Santos replies that he is not, but that she should be careful of Marco.

Esteban feels responsible for Maria Teresa and Aldo's relationship problems because it has got complicated since she went to the hacienda and Nany tells him that Maria Teresa has changed for the better and if Aldo really loved her, he would adapt to the situation.

Marco tells Chacal that Maria Teresa is still clinging to her hacienda and he doesn’t understand why she’s not giving up at this point but then whatever she tries to do, he’ll stop her.

Bernarda calls Esteban to check up and Esteban feels glad. She tells him that things are going well and that they’re going to collaborate with Maria Teresa to put the hacienda back on its feet.

Maria Teresa is still with Santos in her apartment where they cook and eat together and the two end up making love. Maria T. then tells Santos that they were both happy and that's why it happened and that she doesn't want things to be uncomfortable between them.

Norma warns Clement not to step foot at the Atinga estate again because Santos is very wicked and she tells him that Santos was the one who murdered Adriana’s husband who is Marco’s father.

Maria Teresa tells Santos that he has to go back to the Estate, that she will wait until her apartment is sold and she also tells him to take care of everything and to motivate the workers and Santos tells her that everything will be fine.

Camila tells Remedios that she will take revenge on Marco and that she’ll be needing her help, that she has a plan and Remedios replies that she understands that she is very hurt because of what happened with her baby, but then she should be careful because Marco is very dangerous.

Aldo tells the lawyer that he hopes Esteban will be absolved of any crime with the evidence he gave him, and that he recuperates the happy life he had with Maria Teresa and that he will not rest until he achieves it.

Camila tells Marco that she wants to be with him because he is a unique man and Marco replies that they can be together if she understands clearly how things are.

Aldo warns Victor that if he doesn't give him his money, he will hand over all the evidence and will sink him.

K**a uko online pita na like ya Amelia, Na umwambie Neno moja ❤️ 💯 💖 💓 🔥
13/04/2024

K**a uko online pita na like ya Amelia, Na umwambie Neno moja ❤️ 💯 💖 💓 🔥

MOH AMSHAURI BECKY AMEZE P2First, Moh makes it clear that she has moved in with Pupa because he loves her.Becky says thi...
13/04/2024

MOH AMSHAURI BECKY AMEZE P2

First, Moh makes it clear that she has moved in with Pupa because he loves her.

Becky says this is a big risk, and is worried that Moh may soon be pregnant.

BECKY: Please usimove in na Pupa. Sitaki ufanye the same mistake nilifanya nikiwa High School.

MOH: Nimekupatia space ndiyo ucheat na Hakim. Na unadhani kila mtu ni careless k**a wewe?

BECKY: K**a Pupa anakupenda, atafuata due process.

MOH: Sidhani kuna siku Junior alifuata hiyo process. Ama Hakim. And God knows what went down. Na by the way, I hope umemeza hiyo dawa (P2). K**a siyo hivyo, I hope Hakim si mtu wa kutoroka.

(Monday April 15th Episode)

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟓𝐓𝐇  𝐀𝐑𝐑𝐈𝐋 Follow Wagz W***y N/B: Apoligies for spelling errors in advance sijakua na time ya kupitia ku...
13/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟓𝐓𝐇 𝐀𝐑𝐑𝐈𝐋
Follow Wagz W***y
N/B: Apoligies for spelling errors in advance sijakua na time ya kupitia kuangalia hijai.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Sanchez alirudi kubanja na Lexy kiasi na hata ashawekewa kajuice hapo akaambiwa karibu. Kisha Lexy akaomba Sanchez msamaha kwa kureact ile siku na akamwambia anaeza rudi kazi lakini Sanchez akamuuliza why? Ni nini imefanya ukachange mind ju wewe kitu unaeza change tu ni nguo? Lexy akamwambia wametoka kwa Pupa wakaongea na ashaelewa na story za Moh na Pupa washaongea na wako sawa sasa. Sanchez akamwambia ni sawa but next time usinitushie ngori zako na Pupa. Sanchez tena akasema hayuko ready kuendelea kukaa huku anaona awe anafanya day burg but Lexy akamwambia aki Sanchez,unajua tu wewe huwa unamake madhe happy na wewe kuwa hapa kutasaidia sana,so please, kaa tu huku.

Amelia anataka kujua Junior ana nini na Junior akamwabia kila kitu na akasema for now mimi naenda kukaa tru kwa Sanchez. Punde si punde, Becky akamcall Amelia Junior akiwa tu hapo,akamwambia madhe please tunaeza ongea kuna issue nataka tuongelee. Amelia akamuuliza issue gani hiyo? Becky akamwambia ni issue yangu na Junior na please sitaki tuongelee kwa simu,lakini Junior alichukua simu ya Amelia akaambia Becky sikiza, leave Amelia out of this,na hii ni last warning. Yani Junior amewaka hataki kusikia anything to do with Becky.

Moh a Pupa washaelewana na hata wamekuja wote kwa mansion. Pupa alimwambia wewe feel at home hadi ile siku utakua sawa ndio urudi mtaa but Moh akamwambia zii huko sirudi aki tukae tu hapa tuchape kazi story za Becky na Junior sitaki tena😂😂😂Pupa alimwambia all in all tusiblame Becky hatuezi jua ni nini ilifanya akafanya hivyo same to you kuna wakati ulipush Lexy but imagine sikukujjudge,nilikuelewa. For the first time Moh akaona someone who makes sense ju hakutarajia mtu k**a Pupa anaeza reason na yeye hadi akamwambia manze,asante sana kujia hii hug.

Juniir na yeye ashaamua ni kutoka anatoka lakini Becky alikuja akamwambia sikiza Junior,nimetoka kwa Hakimu na nishamwambia kila kitu ashaelewa na anataka usiache kazi,uko lucky sana ni mtu understanding,please usiache job,kumbuka tuko na mtoto,iam your baby mama na we have responsibilities za kufanya na hata k**a hutaface Hakimu face to face just sent him a text kuomba msamaha,PLEASE. Becky aliongea kwa uchungu sana na akaambia Junior akae akijua anapendwa.

Kwa Pupa,anaambia Moh aende kupika lakini Moh akamwambia mimi siezi pikia mtu hajanioa. Pupa kijokes akamuuliza nikuoe lini basi😂😂😂Hawa wawili hawa....ni Mungu tu.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Moh aliuliza Pupa form yake kesho ni gani.Pupa akamwambia anaenda kuvisit grave ya madhe. Moh akamwambia enyewe itabidi hadi pia niende. Becky alimvcall Moh,akamuuliza uko wapi? Moh akamuuliza kwani umenicall kuniuliza swali ya upuzi? Becky akamwambia relax nataka kulala tu nilitaka tu kujua uko wapi. Moh akamwambia mimi nishamove in na Pupa an huko mimi sirudi tena. Becky alimwambia acha ujinga,uwezi fanya kitu k**a hiyo,ebu pea Pupa simu. Moh alimwambia sikiza, Pupa ni chai mfiti sana na nitakaa na yeye as long as it takes na usinipigie tena,alah😂😂😂Becky ndio haamini.

Haya! Leo Sanchez ameamua kujitibu kamnyweso😂😂ako stressed ju haamini ati Pupa anaeza kufia Moh. Amelia alikuja akamuuliza Sanchez uko sawa kweli naona hadi unakunywa,shida ni nini? Sanchez akamwambia madhe ni ile story ya Moh,kuna venye inanishangaza vibaya sana. Amelia pia alimwambia imeniudhi sana. Sanchez alimwambia uzuri wanakuanga na bondi fiti sana watasolve tu,kisha Sanchez akauliza madhe,apart from Pupa na Lexy kuwa manduguu,unadhani kunaeza kuwa na sababu ilifanya Pupa akakataa uhusiano wake na Lexy? Amelia akamwambia apana,mbona? Sanchez akamwambia madhe,lazima kuna sababu ingine. Yani design Sanchez huwa anaoverthink,napenda tu😂😂😂

Moh kuamka,akasikia gate anabishiwa kumbe ni Becky,akamuuliza unataka nini? Becky akamwambia chenye uliniambia jana nataka urudie kusema sai nikisikia. Moh akamwambia niliamua kumove in na Pupa ndio nikupe wakati mzuuuri wa kucheat na Hakimu,so please,achana na mimi. Becky alimwambia mimi ni dadako,usimove in na Pupa,k**a Pupa anakupenda,afuate process ju sitaki umake mistake nilimake nikiwa shule. Moh alimwambia sikiza Becky,k**a ni process unaongelea,Junior angefuata process ama hata huyu Hakimu wa sai but for now acha hata pia nikupe ushauri,ungekua unajipenda sana hungelewa na Hakimu na who knows what happened an k**a kuna kitu kilifanyika,I hope ulimeza p2😂😂Becky aliumwa but hana cha kufanya kabisa.

Lexy leo ameamka akiwa na energy mob sana hadi ameamka kufanya usafi huko nje hadi Sanchez na Amelia wanapenda tu kisha Sanchez akaambia Amelia,Lexy asijue chenye kinaendelea kati ay Junior an Becky ju inaeza zua drama zingine.

Pupa ndio anarudi ready waende kazini lakini Moh akamuuliza,umetoka wapi? Pupa akamwambia nimetoa supa kubuy staff,kuna kitu ulitaka? Moh akamuuliza umeongea na Becky? Pupa akamwambia zii hata sijaonaa na yeye,kwani kuna shida? Moh akamwambia Becky anasema hatai nikae huku. Pupa akamwmabia haina shida, wewe k**a unaona kuenda wee enda ukiona ubaki wee baki mimi Iam just a good samaritan.

TEAM BECKY REGISTER....ready for updates, weka LIKE 😊 😊🔥❤️✅️
12/04/2024

TEAM BECKY REGISTER....ready for updates, weka LIKE 😊 😊🔥❤️✅️

12/04/2024

Our today is Lucy Maina Aka Becky a Kenyan actress,Team Becky pita na like na umwambie Neno moja ❤️ 💯

12/04/2024

Wakuu k**a uko online na umeona hii post weka like ya Moh tukisonga 🔥💯❤️❤️

12/04/2024
12/04/2024

Checking active followers, k**a uko online na umewatch Becky weka like tukitegea Updates ✅️✅️✅️💯🔥✅️💯

12/04/2024

BECKY REGISTER....ready for updates, weka LIKE 😊 😊

12/04/2024

Wangapi wanakumbuka hawa...Team Becky pita na like ya Simba na p**i na uwaambie neno moja ❤️🔥💯

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟐𝐓𝐇 𝐀𝐏𝐑𝐈𝐋 Follow Wagz W***y 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏Moh alikaa akaona wah,kwenye ametoka kimeumana na anafika huku kuna fi...
12/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟐𝐓𝐇 𝐀𝐏𝐑𝐈𝐋
Follow Wagz W***y

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Moh alikaa akaona wah,kwenye ametoka kimeumana na anafika huku kuna fisirani pia kwani nilirogwa😂😂Junior alikuja akamuuliza k**a ameongea na Becky but akamwambia Becky ameenda kuoga. Becky ndio anatoka kuoga,Junior akamuuliza yani after everything hivi ndio unafanya hadi unaenda job? Becky akamwambia naenda job kuclarify vitu. Junior akamwambia ni sawa but this time ukienda,dont come back😂😂😂

Kwa Pupa pia alijaribu kuwaeleza kuwa Moh aliumwa na kichwa akalala huku na maua ilikua ya kupeleka kwa kaburi ya mamake Pupa but Lexy could not hear anything. Amelia akawaambia sikiza, hata k**a kungekua na anything kati yenu singekubali mimi. Lexy akashtuka akamuuliza mbona? Amelia akamwambia because nyinyi wawili ni k**a siblings ni venye wewe Lexy huoni,yo are blinded by love but Lexy akamwambia mamake si hata Kabi... akaambiwa achana nayo,wewe na Pupa haiwezi. Lexy ndio haamini but for Pupa,yeye ako sawa,akamwambia hope utaelewa mamako mbona hii uhusiano haiwezi.

Kuna abandoned house fulani huku,Sanchez alikuja akaanza kuchungulia kuona k**a kuna mtu. Hamna mtu,akafungua mlango akapata haya,iko wazi,akaingia ndani. Ni k**ansion kiplan iko na marooms kadhaa wa kadha. Sanchez akaingia kwa marooms akiangalia Kana kwamba anatafuta mtu ama kitu. Its an abandoned house na kumbe huku ndio Junior alikuja na hata ni Junior mwenyewe alimuita akuje huku.

Sanchez anauliza Junior kwani rada ni gani unaniita place weird hivi? Junior akaamka akamuuliza Sanchez,kwani unaniona mtoto sindio? Sanchez akashindwa kwani amekosa nini,Junior akamwambia,ile place ulipeleka Becky kazi ulijua exactly what will happen but ukasema nimtrust sindio? Sanchez hajui shida ni nini anauliza Junior kwani ni nini imehappen.

Becky na yeye,ashafika kazini akabisha gate afunguliwe lakini Hakimu kufungua gate akamwabia Becky simamia huko nje kwanza,I respect relationship yenu sana. Becky akamuomba msamaha akamwambia aki bossy Iam soo sorry. Hakimu akamwambia mimi niko sawa,wewe enda tengeneza uhusiano wako nyumbani na hata leo chukua off enda tengeneza uhusiano wako na nitakuita urudi kazini. Becky akafurahi but akamwambia aliacha simu yake k**a anaenza ingia aichukue. Hakimu hakukataa akamruhusu aingie alafu anashika shika mashavu ju hapo ndio ngumi ya Junior iilishika proper😂😂😂

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amelia alikua na kazi ya kumtuliza Lexy,akamwambia hata pia mimi nilipenda mtu nikapewa heartbreak so chukulia hii k**a normal na kaa ukijua niko na wewe. Lexy akamwambia thanks mum all along nilikua nataka tu usimame na mimi. Amelia akamwambia si sasa unaona Sanchez hana makosa,so umuombe msamaha arudi kazini. Lexy akamwambia ni sawa, I will make upto it.

Sanchez na yeye haamini chenye ameambiwa na Junior venye alifanyiwa na Becky. Sanchez alijaribu kucall Becky ampashe lakini zii,Becky hakushika simu. Sanchez akauliza Junior,what if huu msee anajaribu kublackmail Becky? Junior akamwambia zii, huyu dem alifanya chenye anajua na acha ajibambe tu. Sanchez hadi alitaka waende kwa Hakimu wampashe lakini Junior akamwambia haina haja.

Kisha Sanchez akauliza Junior,ulikua unajua Moh na Pupa wanapush like Moh na Pupa ni nini...Junior akashtuka hadi akacheka ati Moh na Pupa aje sasa? Sanchez akamwambia ni hivyo na imagine mwenye aliniambia ni mwenye alikua anapenda Pupa,huyu Lexy alienda hadi akapata Moh amevaa nguo za Pupa na kuna flowers hapo😂😂😂

Pupa na yeye ameachwa solo akaanza kukumbuka jana venye Moh alikua anabehave,akimwambia amletee dawa na hata akimlalia wakiwatch horror. Kumbe Pupa ameanza kufeel Moh na Moh pia akiwa nyumbani alianza kufikiria kuhusu Pupa hadi anajipata anasmile peke yake😂😂

Junior aliconnect dots akaona enyewe ni kweli ju anakumbuka time Lexy alikutana na Pupa kuna venye alibehave kiplan na ashajoin dots as to why jana Moh alimcall akamwambia ako kwa beshte na akamwambia asiambie Becky,kumbe beshte ni Pupa. All in all Sanchez na Junior washamaliza riba zao na Junior ashamwambia Sanchole atalala kwake for some days akifigure out what to do na Junior ashaapa harudi kwa hiyo kampuni tena.

Pupa amekuja kumuona Moh na wakati anabisha,kumbe Moh alikua ameenda kuoga akakuja akamuuliza unataka nini hapa Pupa? Pupa akamwambia nimekuja tuongee ju najua umejam mbaya. Moh akamwambia wewe nishakujua sana kazi yako ni kutumia madem tu. Pupa alimwambia si hivyo,Lexy nilimkataa kitambo sana ni yeye amekua akiforce issues so nilitaka tu twendelee kufanya kazi k**a kawaida. Moh akamwambia ni sawa,haina noma,kisha Moh akamwambia,ile story ya kuumwa na kichwa ilikua jokes nilikua nataka tu kuondoka hii mtaa ju drama za Becky na Junior zimenibore.

Sanchez na yeye aliitwa kwa mansion na Amelia lakini kufika kumbe ni Lexy alikua anataka kumuona,Sanchez akajiexcuse kiasi akuje kumpea Junior key aende kejani yeye arudi kusikia meeting yake na Lexy. Junior wakati anaondoka alipigiwa simu na Becky. Junior akareceive akamwambia sikiza wewe mdem,achana na mimi kabisa,lakini Becky alimwambia calm down at least tuongee. Huh! Junior alimwambia wewe ukitaka kuongea enda ongelesha huyo boy wako Hakimu,kumbe wakati Junior anaambia Becky hivyo,nyuma yake,Amelia na ashasikia kila kitu.

Kumbuka kuweka LIKE ✅️✅️✅️🔥❤️

Checking Active followers k**a uko active 🔥❤️💯✅️🔥🔥
11/04/2024

Checking Active followers k**a uko active 🔥❤️💯✅️🔥🔥

11/04/2024

Usimuulize tu k**a amekula. Muulize k**a ameoga, hawa wanaumme kuoga kwao ni mtihani 😂😂😂

Wakuu k**a uko online na umeona hii post weka like tukisonga ❤️❤️❤️
11/04/2024

Wakuu k**a uko online na umeona hii post weka like tukisonga ❤️❤️❤️

11/04/2024

Nataka kuona mafans wa Becky ni wangapi hapa...K**a unapenda Becky pita na like ❤️ 💯 🔥

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟏𝐓𝐇 𝐀𝐏𝐑𝐈𝐋 Follow Wagz W***y 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Tunaanzia kwa mansion leo hii, house boy Sanchez ashaamkia kazi ya ku...
10/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟏𝐓𝐇 𝐀𝐏𝐑𝐈𝐋
Follow Wagz W***y

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Tunaanzia kwa mansion leo hii, house boy Sanchez ashaamkia kazi ya kufagia hapo kwa sitting room. Amelia alikuja akamuamkia na akamuuliza k**a amemuona Lexy. Sanchez akamwambia I guess ameenda jogging yake ya morning. Sikiza, Lexy alitoka morning kuenda her normal morning jogging but swali ni,alienda kweli?

Amelia anarecret mbona mbona alimleta Pupa kwa life yao but Sanchez akamuuliza mum kusema ukweli,ungekubali uhusiano wa Lexy na Pupa,hungekubali sindio,Amelia akasema mbona uulize,Sanchez akakuja akakaa na Amelia akamwambia madhe sikiza, babake Lexy ni James Jabulani sindio,hata k**a si babake wa kumzaa alikua k**a babake,alafu James na Moses ni mabro hiyo kila mtu anajua, Amelia akamwambia yeah,so? Soo,ina maana k**a Pupa ni mtoto wa Moses ina maana kuwa Pupa ni k**a cuzo wa Lexy. Amelia akafikiria akaona wooooooi,hapo mzee umesema ukweli. Lexy alikua k**a mtoto wa James na James ni bro wa Moses na Moses ni babake Pupa ina maana Lexy na Pupa are related hata k**a ni distance cousins so hakuna venye waanaeza patch. Amelia akaambia Sanchez immediately Lexy anarudi,lazima nimwambie.😂😂😂😂si hata pia wakuu hamkua mumefikiria kitu k**a hiyo sindio,ni mimi tu na Sanchez tumefikiria,yeye akasema mimi nikaandika😂😂😂

Hebu tufike kwa Pupa,ashaamka ameenda kubuy kitu kwa duka na wakati anarudi,akarudi na maua,lakini kabla hajasettle kwa mlango kukabishwa,mako...makosa. Pupa kufungua mlango,kumbe ni Lexy na usisahau Moh alilala huku. Lexy aliambia Pupa manze umeniblock kila pahali so nimekuja huku tuongee ju nik**a hujui how it hurts kublockiwa na mtu unapenda. Kumbe Moh na yeye kuamka akapata kuna maua hapo,akachukua na akaanza kuita Pupa akishuka stairs. Wacha sasa Moh na Lexy waonane uso kwa uso,wah! Moh hajawai shtuka hivyo na Lexy hajawai stajaabu hivyo,hadi akauliza Pupa,hizi ni gani? Pupa akamwambia si venye unafikiria,lakini Lexy aliamka na hasira akampiga Pupa kofi. Moh akaambia Pupa si nilikuambia,huyo Sanchez si mtu wa kuaminika sasa ameenda akaambia huyu niko huku,Moh na yeye bila kujua akafunikwa kofi ya uso kwa mdomo mbaya mbovu,aaaaaah makosa, Lexy akaamsha wazimu wa Moh😂😂😂nawaambia Pupa alikua na kazi kutenganisha Lexy na Moh mbaya mbovu. Lexy hataki aelezewe na Pupa lakini hata pia Pupa weweee,maua ni ya nini? Maua ni ya nini? Alafu hata Moh pia na wewe,nguo za Pupa unavaa za what?😂😂😂😂

Becky ndio kuamka anaamka akashindwa haya, hakumbuki akitoka kazini akija huku alafu hapo akapata k**aua Junior amempea,kisha Junior akamuuliza my love, unakumbuka ulifika saa ngapi jana,ju nilikesha sana ukuje sikukuona but naamka napata uko hapa, Junior anaplay na mind ya Becky na akamwambia naona unanuka pombe,nakumbuka ukikunywa? Becky akamwambia baabe acha kuniprank lakini Junior akamwambia wajameni cuzo wangu nakuprank why? Becky kuitwa cousin akajua mara moja kishaumana😂😂😂

Huku kwa Pupa nakwo,Lexy ameongea akidhani Moh anamtaka Pupa lakini Moh akamwambia sikiza siezi pigania mwanaume mimi,niko na class bwana Lexy akamuuliza class gani na wewe ni mbochi😂😂Moh tena ndio sasa anajua kumbe Lexy huwa anamtaka Pupa ju Moh hakua anajua😂😂😂😂

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Becky akamwambia Junior please babe,relax si venye unajua lakini Junior akamwambia usiniite babe,mimi niite cuzo wako babe enda uite huyoo Hakimu. Becky alimwambia for real nilisema hivyo ndio upate job na imagine iliwork lakini Junior alikataa,akamwambia hutanibeba wana wewe,lakini Becky akamwambia aki nothing happen. Junior aliingiwa na hasira ingine akaimagine amwekelee Becky ngumi tu moja tukimbishe mwili,ikabidi tu Junior ametoka nje roho safi ju akikaa hapa kinaumana.

Lexy na yeye kukuja,akapata Sanchez na Amelia hapo akauliza Sanchez,ile siku nikikuuliza k**a Pupa ako na dem ulisema nini? Sanchez akamwambia aii Pupa hana. Lexy akamuuliza na Moh? Nimeenda nikapata wanakaa na Moh hadi anavaa nguo zake na hadi ashabuyiwa maua. Sanchez alijaribu kujitetea lakini zii, Lexy amejam hadi akaambia Sanchez,nilidhani wewe ndio mtu umebaki kwa life yangu naeza amini but ushanionyesha sifai kukuamini so fanya hivi nisiwai kuona hapa kwangu and you are fired without pay😢😢😢😢

Becky bado amemfuata Junior akimbeg but Junior could hear none. Walikutana na Moh akawauliza rada ni gani tena? Junior akamwambia husikii sister yako aliniitroduce kwa Hakimu k**a mimi ni cuzo yake,ati bibi aliniacha 2020 wakati wa corona ju sikua na kazi😂😂😂 Moh ndio anashangaa tu anashindwa hizi ni mawhat hadi akauliza Becky,yani yani yani kichwa yako iko sawa kweli? Ama ile time ulisema bossy alikudrop hapa tumbo ikikuuma kumbe ilikua uongo? Junior ndio anashtuka kumbe hadi Hakimu alimdrop Becky huku. Woiye Becky😢😢😢😢

Amelia amejaribu kucall Pupa but Pupa hashiki,akajaribu kucall Moh but Moh pia hashiki. Sanchez akamwambia madhe unaona,hizi ndio maswara sikua nataka,hata k**a ni kazi nimepoteza,haina shida,nitapata tu kazi ingine. Amelia alimwambia relax,acha niongee na yeye kwanza. Sanchez akaenda kutembea akaacha Amelia akuje kuongea na Lexy.

Becky ameomba msamaha akisema she did that for us lakini neither Moh nor Junior could hear that na Junior akamwambia its obvious wewe unapenda Hakimu. Becky akasema walai Hakimu hayuko rada yangu but Junior akamwambia uongo,hadi unalewa. Unakunywa unalewa? Moh ameshangaa na Becky sana kisha Junior na hasira akamwambia kwanza hiyo kazi yako yenye uliniconnect sitaki. Becky akauliza Junior,uko sure hutaki kazi? Junior akamwambia yeah becky akamwambia ni sawa but for me kazi siachi na mimi huyuuu naenda kazi,turus😂😂😂wah! Huruma ni estate.
Moh alikuja kujaribu kuongea na Becky but Becky alimwambia ile maisha amepitia,hakuna venye anaeza acha hii kazi so kazi lazima aende.

Amelia alikuja akaaambia Lexy,enda uoge tunaenda kwa Pupa kumuona. Walifika k**a Amelia amewaka sana na akamuuliza mbona hujai niambia wewe na Moh has a thing? Pupa aliambia madhe si hivyo,ile wakati Moh aliachishwa kazi nilimhurumia ikabidi tu nimuokolee mboka na tena huyu Moh aliokoa maisha yangu,alilipwa na Trisha aniue but hakufanya hivyo so namsaidia tu. Amelia tick,hiyo nimekuelewa haya sasa niambie,yeye kulala huku na hizi maua nazo utasema nini? Hata k**a wewe ni Pupa utasema nini?

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 10TH APRIL Follow Wagz W***y 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Moh washatoka kuuza na kumbe kulikua an mvua,wamenyeshewa mbaya na ha...
10/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 10TH APRIL
Follow Wagz W***y
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Moh washatoka kuuza na kumbe kulikua an mvua,wamenyeshewa mbaya na hawakua na sweater. Moh akaanza kutetemeka tu sasa na hapa ndio nataka mshike na mshike sana. Moh aliuliza Pupa k**a anaeza mpea kakitu ajidry up na Pupa akamwambia haina noma akamletea towel akajipanguza na akampea na sweater pia avae. Pupa aliambia Moh ukweli,aliona Moh ako na stress za kukosa job ndio akaamua amsaidie kwa kumuoffer kazi. Moh akafurahi sana akamwambia i am soo grateful na akamwambia I hope huu si ujanja wa kutaka nikutrust lakini Pupa akamwambia for real mimi niko tu hapa kukujenga story za biashara anything else ni shida yako.Moh akauliza k**a anaeza enda apike kachai kiasi watoe baridi. Pupa akamwambia yah haina shida wewe enda upika kachai.

Kumbe Becky na yeye,alijisahau,alibaki wakakunywa,wakakunywa hadi wakaanza kupiga stories kuwahusu, Hakimu akajieleza na hata Becky pia akajieleza. Punde si punde, Moh akamcall Becky akamuuliza k**a ashafia home? Becky akamwambia zii niko stranded ju ya mvua. Kumbe simu ya Becky ilikua 3% akaona aizime aweke charging kiasi ndio akitoka asiwe mteja na hata Hakimu akamwambia by the way Becky,yafaa uwe na charger mbili,moja iwe huku na ingine iwe nyumbani. Huku nje mvua inatandika kutandika hadi Becky ako worried kwani mvua haiishi? But Hakimu akamwambia maneno ya mvua achana nayo,mvua ni baraka😂😂

Tufike kwa Pupa,wanakunywa chai wakiwatch movie ya horror sasa Moh anashtuka akiona sura ya Nandwa, analalia Pupa,heloooo😂😂😂kisha akauliza Pupa k**a anaeza tafuta place alale ju anafeel kichwa kinamuuma. Pupa alimwambia haina shida,huku rooms zimejaa kujaa tafuta moja ujinice.

Junior ndio anafika nyumbani,hamna mtu. Akajaribu kumcall Becky,ako mteja😂😂Becky mwenye anapigiwa simu,wamekunywa na Hakimu hadi wakalewa. Becky hajawai kunywa na leo ameamua kujitibu,akajitibu,akajitibu hadi akawezwa,mako...makosa. Woi! Its 8PM.

Junior aliamua kumcall Moh kuuliza k**a ameona Becky but Moh akamwambia Becky alisema ako job na kuna mvua so I gues bado ako huku. Junior akamuuliza na wewe uko wapi? Moh akakata simu,hakutaka kujibu hilo swali😂😂all in all mvua ikaisha na Pupa akakuja kuambia Moh achomoke lakini Moh akaanza akujifanya kichwa inauma na ati anasikia kutapika. Pupa akamwambia basi twende hosi? Moh akamwambia apana niliandikiwa dawa na ziko nyumbani unaeza kunibuyia? Pupa akaona haina shida,acha niende lakini tena Moh akamwambia hizo dawa nikimeza haifai niamke so si naeza lala huku but Becky akikucall usimwambia anything? Pupa alishindwa sana but akamwambua tu ni sawa. Hii yote ni kujifanya Moh anajifanya 😂😂😂Kisha akamcall Junior akamwambia leo sitakuja so Becky akikuja mwambia nimeenda kwa beshte yangu ni mgonjwa,nitarudi kesho after Idd😂😂

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amelia ameletea Lexy chakula but msichana alikataa,akamwamboa nimesema sijisikii kukula. Amelia akamwambia hata kidogo tu but Lexy alisema please please madhe sitaki kukukosea heshima,mimi sikuli hata iwe skucha. Amelai alieka chakula hapo na akarudi seating kukula.

Kufika seating room akapata Junior amejaribu kumcall, Amelia kumcall,Junior akamuuliza k**a ameona Becky but Amelia akamwambia nop,hajamuona. Junior amefika nyumbani,hamuoni Moh na hamuoni Becky,already tunajua Becky ako na Hakimu but ebu tuone Moh yuko wapi😂😂😂

Moh ako kwa Pupa kwanza ako bed alafu anajifanya ni mgonjwa akisikia Pupa anakuja anajikunja kwa blanket kisha akauliza Pupa,unaeza nisaidia kanguo naeza vaa nikilala. Hii ina maana Moh analala huku. Alidanganya yeye ni mgonjwa ajabuyiwa dawa akameza but Pupa kutoka akatema ile dawa ju yeye si mgonjwa,anataka tu kulala huku kwa hii bed inakaa supu😂😂😂

Maskini wa Mungu Junior na yeye,alikuja hadi kwa Hakimu,mako...makosa. Hakimu akakuja akafungua mlango na akamwambia karibu naona umekujia cousin yako Becky. Junior akashtuka,akamwambia ati cousin,? Hakimu akamwambia yeah,si Becky ni cuzo wako? Junior akasema aiii thats my woman bro...Hakimu akamwambia but ni yeye aliniambia wewe ni cuzo yake hata bibi yako alikutoroka 2020 wakati wa corona ju ulikosa kazi. Junior haamini chenye anaona,akakuja hadi kwa nyumba ajionee mwenyewe.

Wacha Junior afike apate kwanza hapo kwa meza kuna cake,heeee alafu tena,kuna wine,heheeeee,kisha hapo kando,kumbe Becky alikunywa akalewa,amelala kwa kiti baaaaaasi. Eeeh! Junior aliingiwa na hasira zingine,karibu akue mganga,kisha Hakimu kujaribu kuongea tu hivi,alinyamazishwa na ngumi moja,hadi chini,wah! Junior amejam sasa. Hakimu akafanya akosa akaamka tena ooh kumbe ngumi haijakutosha Junior akamshika tai lakini Hakimu kuona atauliwa alisema please please I swear hakuna kitu nimefanya na niko na proof ya kuonyesha alikuita cousin. Kwanza hii ya cuzo ndio inamuuma Junior. Becky na yeye amelewa hata hajui mangumi zinatanda huku. Junior akamchukua Becky hobelahobela wakatoka wote.

Kwa mansion nakwo,Lexy aligundua Pupa amemblock akataka kuenda lakini Amelia walifunga gate,na akamwambia leo hii hakuna place unaenda. Lexy akaambia Sanchez afungue mlango ama afutwe kazi lakini Amelia akaambia Lexy leo hakuna mtu anafutwa kazi hapa,k**a ni kukunywa ukunywie hapa hapa.

Baada ya dakika,Junior akafika na Becky nyumbani,stres sasa zikaanza,akaanza kukumbuka venye Becky alisahau charger kwa Hakimu,akakumbuka venye ile siku Becky alikua anakataa kupigia Hakimu now Junior ashapata majibu sasa. Alafu hakuna kitu mbaya k**a wewe unalala na hujui kimeumana. Becky amelala ju amelewa,hana habari akiamka mambo yashaumana😂😂😂😂
Hadi kesho majaliwa.

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟗𝐓𝐇 𝐀𝐏𝐑𝐈𝐋 Follow Wagz W***y  𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Amelia from nowhere hamuoni Sanchez,akamuuliza Lexy k**a amemuona,Lex...
08/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟗𝐓𝐇 𝐀𝐏𝐑𝐈𝐋
Follow Wagz W***y

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Amelia from nowhere hamuoni Sanchez,akamuuliza Lexy k**a amemuona,Lexy akamwambia yeah,nimemtuma pahali kiasi anarudi,kisha Lexy akaambia madhe,mum nimekubali kuchange,nishajikubali nina shida na niko ready kuchange. Amelia alifurahi akamwamboa good but before uchange kitu ya kwanza yafaa uwe nayo ni acceptance. Lexy hakuelewa Amelia anamaanisha nini,lakini Amelia akamwambia acceptance ya kuwa wewe na Pupa hamuezi kuwa pamoja😂😂😂

Kumbe Moh na yeye,alikuja akakaa kwa kiti akaona ahaa acha nifike kwa rooms huko juu akakaa kwa room ya Trisha,wacha sasa Pupa akuje apate Moh,hayuko seating room akajua mara moja ameenda kwa room yake na k**a unataka Pupa akumeze,akupate kwa room yake thank God Moh hakua kwa room yake akamuuliza kwanza k**a ameingia huko but Moh akamwambia zii,nimekua tu kwa hii room ju ilikua open😂😂😂Kisha Moh akamwambia manze hii keja yako imenikunywa mbaya.

Becky ashafika kazini lakini kwa ile harakati anakata sahani ndio achemshe apee Hakimu akunywe na sufuria,Becky akajikata,mako...makosa. Kuna glass aliangusha ikapasuka. Hakimu alisikia akakuja akaona wah! Becky anableed,akamletea pluster akaeka kwa mkono na hata akataka kumsaidia kutoa glass hapo but Becky akamwambia ako sawa atatoa. Hii imeenda 😂😂it has went...

Moh ameamkia job kuuza manguo but ebu cheki sasa,Moh akijaribu kuuzia macustomer wanakataa but same same customers Pupa akiwauzia wanachukua,hii ina maana,kuna lugha ya biashara Pupa anatumia kitu chenye Moh hajui but anafunzwa😊😊😊na hii kitu uhappen ju unaeza pata wewe uko single but madem hawakutaki lakini kuna jamaa ameoa ako na madem meaning kuna lugha ya mapenzi anajua yenye wewe burugwai hujui,hii huwezi elewa pengine Uunderstand😂😂😂

Sanchez amerudi na bad news,akaambia Lexy manze, Pupa amekataa amesema wewe na yeye hamuezi patch na amesema hataki riba zako,hakutaki na hataki kuja kukuona tena. Lexy,hajawai umizwa hivyo,akauliza Sanchez niambie tu ukweli isiwe unanichocha but Sancnhez alimwambia hali ni hivyo,amesema wewe na yeye ni k**a Pauloh na kuoga hamuezi endana manze. Lexy chwest pain,heart pain na headache zote zilimpata once. Sanchez hakumficha hadi wakati Lexy anamuuliza ama Pupa hamtaki ju ako na dem mwingine, Sanchez alimwambia hata akiwa na yeye,still haitasaidia na haitakusidia so wee chorea tu.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Sanchez alikuja kwa room ya Amelia akapata madhe amejam,mbaya mbovu,akamuuliza,ni shughuli gani hiyo ya maana umeenda kwa kampuni venye Lexy anasema? Sanchez akadanganya akasema alikua anapeleka papers fulani,kumbe Amelia aliwaona wakati Lexy anaambia Sanchez anataka kumuona😂😂😂Sanchez akidhani hawajui,kumbe Amelia aliwaona kitambo sana na sasa anataka kujua.

Sanchez kuona ashajulikana,ikabidi aambie madhe,hii story ni Lexy alinituma kwa Pupa. Amelia aliamka tu akaenda na akakuja kwa room ya Lexy akamwambia najua ulituma Sanchez kwa Pupa na Amelia akamwambia k**a hujui Sanchez aljua kitambo sana kuhusu wewe na Pupoa hata before umwambie. Lexy akashtuka akamuuliza madhe alijuaje? Amelia akamwambia yeah,ni mimi nilimwambia . Lexy akashangaa sana venye Sanchez alijifanya hajui kitu kumbe anajua😂😂😂

Lexy alifunguka kaambia mamake,mum,Pupa ndio first person nimependa venye napenda hivi. Amelia alimwambia naelewa first heartbreaks hurts the most plus kumbuka huyu alikataa mali ya babake so Pupa ni mtu anajua kustand with his decision,k**a alikataa mali ya babake na ak**aanisha,wewe je? Lexy ni dust tu anaona this time😂😂

Pupa wamekuja hotel wakuole lunch na kumbuka Moh hajauza any ni Pupa ameuza alafu Moh akaitisha chakula ingine, waru mbili soda ya afcado na mandazi ya fanta na mkate ya chuma 😂😂😂Leo Moh amesoma kitu kwa Pupa na akamwambia kabla mamake akufe alimfunza kuwa hardcore na hata akamwambia alitaka waende kwa kaburi ya mamake at least ampe maua. Kuna kachemistry kameanza kuingia kati ya Pupa na Moh.

Wakati Becky anatoka,Hakimu ndio kurudi anarudi na huko nje mvua ikaanza kunyesha, Becky akamwambia bossy,mimi ni kuenda naenda unles unataka kitu before niende? Hakimu akamwambia yeah kuna kitu nataka unifanyie unisaidie kucelebrate my mum's birthday. Kumbe mamake Hakimu alikufa kitambo but every year huwa anaweka bash yake kusherehekea birthday ya mamake na leo hii ju Becky ako around,wakamua sherehe iweze kuweza na hii sherehe haikua na maziwa ama chai,ilikua na wine,mako....makosa. Hii imeenda😂😂😂Hakimu ashaanza kulewa alrewady. Hadi kesho majaliwa wakuu.

Address

Maragwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wagz Willy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share