![Kuvuta pumzi kila siku sio mimi n amenipa makosa haya niliyo nayo najua yeye alie mkuu kuliko wote anajua mana amenian...](https://img4.medioq.com/305/245/628428563052458.jpg)
25/01/2025
Kuvuta pumzi kila siku sio mimi n amenipa makosa haya niliyo nayo najua yeye alie mkuu kuliko wote anajua mana ameniandalia mazuri huyu Yesu Jesus Christ 🙏💯
of man Jesus Christ🙏 forgive me🙇🙋
Ayubu 9:1-3
[1]Ndipo Ayubu akajibu, na kusema,
Then Job answered and said,
[2]Kweli najua kuwa ndivyo hivyo;
Lakini mtu huwaje mwenye haki mbele za Mungu?
I know it is so of a truth: but how should man be just with God?
[3]Kama akipenda kushindana naye,
Hawezi kumjibu neno moja katika elfu.
If he will contend with him, he cannot answer him one of a thousand.