Dennis mumo KE

Dennis mumo KE


love, lound and clear

Sugar mummy part 1💦🍆🍑Last week nilikua nmesota wuee🙆,,nkiangalia kwa keja unga hakuna,,😞mafuta imeisha🤦,,chumvi,,hata ki...
16/05/2024

Sugar mummy part 1💦🍆🍑

Last week nilikua nmesota wuee🙆,,nkiangalia kwa keja unga hakuna,,😞mafuta imeisha🤦,,chumvi,,hata kiberiti manze sikua nayo🥵🙇nkakumbuka 🤔🤯beshte yangu Felix aliniambiaga yeye akisota anapambana apate 200 ya club pekee halafu huko atapatana na masugar mummies🥳🍬 wamtobokee🥵,,,Mimi Penye ilifika nilikua na 300 kwa mfuko sa nikamuu kuenda hoteli nkakula katakata🍜🍜 ya 50 yenye imekojolewa na supu ya maharagwe nkaongezea na k**ayai 🥚boil na ovacado🥑 moja....nikaamua kukanyaga kaguu🚶 hadi kwa club yenye Felix huwa anaenda kutafuta sugar mummies 🤭vile nilikua kwa mlango bouncer 🏋️akaniuliza ati nataka nini , 🤔🙄 nikamshow nmekuja kujinice 😁akaniambia nilipe entrance fee hapo ni 100 🤭si nkalipa ,,kuingia ndani nkaamua kununua energy drink yangu na nikachukua glass 🍷nitumie kukunywa nayo hiyo energy drink ndo nisikae k**a mshamba😂kuangalia meza za wasee wengine😯😨 wuee pombe za bei🍾🥃😯🙆,,,wasee wamefua meza kuchafua😁mi nikajifanya okwonkwo 😂 nikaishia na nkakaa pekee yangu tuu,😂kwa coner na soda yangu tuu🥳😂,,,,rumba ikaekwa wuee🙆nilishtukia tu mumama mzee amenishika mabega akaniuliza k**a naeza cheza na yeye mapangala🙆🥵😨🏃‍♂️🏃‍♂️💨💨,,,,,,,,part 2 ikuje ama isikuje😂😂 endelea tu ku invite friends wako tuna grow faster,,

14/05/2024

That kafeeling🙏🙏🙏

05/04/2024

NURSE MSUPU part 1
Majioni Nilijipata abdala ameamka nikiwa town, i decided kwenda hosi hii kitu inanianika sanaa
Elly: Habari daktari
Nurse: Mzuri
E: Niko na shida, d**k yangu husmama kila saa
N: Hehe, thats high libido
E: Whats that?
N: Ni complication ya kukuwa na excessive sexual feelings
E: Waa! Is it risky?
N: Nop, hiyo shida ilianza lini?
E: Around 2018 apo
N: Solution yake ntakupa prescriptions
E: Izo ndio nini doctor?
N: Ni madawa, itareduce activeness ya izo sexual feelings
E: ooh, ni sawa. Iko na side effects?
N: (smiling at me) hapana, its healthy
E: (Joking) Yaani unanicheka aki, sawa tu
N: Hahaha, no. Ni vile unaongea funny, hahaa
She takes off her white coat and her spects
N: Wuee! Kuna joto, ebu funga mlango
E: Aii, si umesema kuna joto
N: Stop being sturbbon please
E: Eeh! Sawa (approaching the door to close it)
N: Show it to me
E: What?
N: Acha mchezo, unajua chenye namaanisha
E: Aki doc sikuelewi
N: (lowers her voice) toa hiyo kwa trouser
E: Why? Si i thought y..
N: ..shh! Tulia, unaongea sanaE: G*i!
N: G*i nini? Si nataka kukuhelp
The nurse aliamka # tegea part 1 epi 2

Don't forget to follow my page 👉 DDennis mumo KE

02/04/2024

Kuna mlevi ameingia kwa choo ya wanawake,wamama hapo nje Waka shout hiyo Niya wanawake,mlevi akafungua zip akasema hii Niya Wana wake
Plz follow the page Dennis mumo KE

02/04/2024

Lakini unaombaje babymama pesa ya food.
Mimi heri niwekee number hapa mnirushie kila mtu 30 bob hata k**a moja ataniita conman bora nimeshiba 🤣

Wanaume tunakapitia buana.🤣

02/04/2024

Kwa hii ploti naishi kuna dem🙎amehamia room number 102 juzi🤗. Nimekuwa nikikamezea mate hoping😷 nitaget courage ya kubonga na yeye aingie box😘. Hata jana sikuenda job😳. Nilishinda kwa window yangu nikitupia mlango yake macho ndio nikasikia anaskiza "I need love" by mellisa steel😛😛.

Mimi naye nikaamua🙄 kuweka "single boy" ya Ali Kiba😋.
Kidogo kidogo nikasikia ameweka😎 "i love a guy next door" by justina amber✊. Hapo sasa nikatoa shirt nikabaki na vest na nikaanza kutafuta tusong romantic kwa playlist yangu🙄 .Nikaamua kuweka "i have always wanted you😍" ya Maria Carey😁.
Then nikasikia ameweka "where have you been all my life😋" by Rihanna✊.

Baas hapo sasa ndio🤗 nikaingia kwa bafu kushower juu Mapenzi inanimaliza🤗. After that nikaeka "stayed lonely for you😁" ya owl city🙂.Then maafternoon hivi hakuna watu kwa ploti☺, nikasikia ameweka "need a man of me now" ya Sasha Grey🤔. Hapo ndio nikajispray na ale kaperfume natumianga only on special events. Nikavaa Kale kashirt latest na trao noma😯, halafu nikaongeza shades ndio nikae Chris Brown halafu nikachukua😬 cds packets k**a kumi then nikaenda kuknock door yake na kasmile kengine🤓wazimu niliona kwa advert ya Aquafresh🤐. Si mnanjua tu spendi ujinga?

Dem kakafungua mlango na akaniuliza "nikusaidiaje brathe?"
Heheheee, hapo ndio nilirudi kwa nyumba😁😁 na nikazima woofer na kulala kabisaaaaa😂😂😂.
Nikiamka nitawaambia chenye kilitokea😂
.... Usisahau n Jana jioni 🙈🙈😭

27/03/2024

WOOOOOIII 😂 😂 😂🏃🏃🏃🔥🔥🔥
Nilienda kinyozi jana nimecheka karibu nifukuzwe🤣🤣🤣🤣
Kidogo kidogo kukaingia mrembo fulani na alikua na figure plus sura kuweza😋😋😋 aisee hio ilikua figure na sura zilikua zimeenda kidato😜😜😜 sasa mzee fulani kipara alikua ananyolewa zile nywele zinakuaga kando ya kipara nikaskia amesema🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Wow!! Madam unakaa mrembo sana😋😋
Mrembo: Asante🙂🙂
Mzee kipara: Unatoka wapi hii kenya yetu??🤔🤔
Mrembo: Naishi hukutu karibu na center 🙂🙂🙂
Mzee kipara: Naweza kupeleka out siku moja🤔🤔
Mrembo akanua mkono juu kuonyesha mzee kipara pete ndio ajue yeye ameolewa lakini kabla amalize kuinua mkono mzee kipara akamwambia🤫🤫🤫🤫
Mzee kipara: Ata mimi niko na bibi lakini nataka tukutane tukule mali polepole😋😋
Mrembo: Nitaambia bwanangu naenda wapi hio siku?🤔🤔🤔
Mzee kipara: Utamwambia umeenda injiri ndio neno lifikie walio mbali na kanisa lenu🤣🤣🤣🤣
Mrembo: Ebu mwambie hivo wewe mwenyewe🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Tutapatana wapi na hio nugu yako niiambie hivo🤣🤣🤣
Mrembo: Hayuko mbali ndio huyo anakunyoa🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Unajua nakuaga mwenda wazimu usibebe maneno yangu serious 😭😭😭😭😂😂
🚶🚶🚶

26/03/2024

Ukitoka job jioni unakutana na Dem💃🚶Kwa stage Hana fare(makofi tafadhali👏)... Unamuuliza umlipie anakubali mnaingia Kwa matt🚎(makofi tena👏).. mnakaa kiti same then anakuambia amepoteza Pesa zake zote, unashtuka😳lakini unajikaza kimwanaume(makofi ya uoga👏)
Unamuuliza k**a ataenda kudoz kwako anakumbali mnaenda( makofi Kwa Mkuu👏)
Mnafika Kwa hao anaomba towel na anaenda bafu kuoga(makofi tafadhali 👏)anatoka bafu anakuja mnapika, mnakula alafu mnajitupa Kwa bed(makofi jameni👏🥰🤣)
🌧️kidogo kidogo mvua inaanza kunyesha🌧️(makofi Kwa wingi👏)unaanza kumguza guza mara phaap stima zinapotea fyiuu🌚(makofi wenzangu👏)
Alafu Sasa wapi makofi ya kusoma ,,,,,,,,,,,,,,,,,,👏👏🤣🤣makofi tena👏👏👏🤣
Makofi ya Mkuu jameni🤣👏😋😋
Ebu nifollow kwanza 🤣 DENNIS MUMO KE

26/03/2024

Mluhya akipata mshahara✋😂😂😂🔥

1. Unga kitoko ya ukali kilo salasini😂
2. Kuku tatu ilimrati ikue ya kienyeji😟
3 mafuta ya salat ya kukaranga mboka😂
4. Unga ya chapati kilo kumi na mbili pekee🙄
5. Sapuni ya kuoka ya shilingi salasini🤔😂✋
6. Mchele kilo tatu iwapo mtu atakuwa mkonjwa👀
7. Mawe ya retio ya kuskia patanisho🔋🔋🔋
🤣🤣🤣🤣🤣
Tucheke sote like na ufollow page yangu

Unakumbuka ukienda kumfulia, unakunja nguo, unaosha vyombo, nyumba unamop alafu bado unahakikisha umeacha umempikia supp...
26/03/2024

Unakumbuka ukienda kumfulia, unakunja nguo, unaosha vyombo, nyumba unamop alafu bado unahakikisha umeacha umempikia supper. Nauliza alikuoa ama nikupe kiti upumzike?

26/03/2024

😲🙆‍♀️ S*x workers wote waliitwa kwa chifu kujisajili🙋Nyanya mmoja akamuona mjukuu wake akiwa amepanga foleni kwa chifu,😙 akamuuliza🤚Kuna nini hapa?💁mjukuu kwa ajili ya aibu akamdanganya, 🤦Leo chifu anapeana maembe 🥭😋😝😝
Basi naye nyanya akaamua kupanga foleni kujiunga nao🙆🙆Chifu kumuona akamuuliza, hata wewe pia, utawezana? 😂
Nyanya akamjibu, 🖐️ nanyonya mpaka mbegu
😂😂😂😂😂😂😂
Chifu aka faint😂😂😂😂😂🔫🏃🏃💔

Ikikunice follow DENNIS MUMO KE

25/03/2024
Never marry a woman who doesn't trust a rat can bring used condom in your house
25/03/2024

Never marry a woman who doesn't trust a rat can bring used condom in your house

Leo kimeniramba😂 Dem amekuja date na nilikuwa na Sh50 mbele na nyuma nikaona obvious Dem hawezi fika Kwa keja na asi dis...
25/03/2024

Leo kimeniramba😂 Dem amekuja date na nilikuwa na Sh50 mbele na nyuma nikaona obvious Dem hawezi fika Kwa keja na asi dish nikajua akili ni mandizi tu😂nikakimbia Kwa canteen nikabuy soda mbili moja Fanta ya Dem na KDF moja ,, so nikaona hii soda moja itachoma kufika Kwa nyumba Dem akanxho ako gate nimuendee ladies and gentlemen nikachukuwa Chupa mbili za sprite nikamwaga apo maji 😂Sasa huwezi elewa k**a ni maji,, nikaweka chupa tatu Kwa meza ghasia kufika ,, kumbe inakula k**a chama wa koroka ya mjengo ,, mm nikanyorosha chupa ya sprite yenye ndani ni maji😂😂 yy akakunywa fanta yake apo nikajua deal imeivana , ju haifai Dem akunywe soda chupa ata mbili huyo atakuwa gaidi ,, wakuu vile naongea hivi gaidi lilivamia pia chupa y
a sprite ikapata ni maji ikanimwagia yote na kuniwacha apo adi sai ndo nafufuka 😂😂 bwana Madem ukienda date kunywa soda moja na useme umeshiba 😭😭😭Hatutaki aibu 🤦🏿‍♀️🤣🤣
Follow 👉Dennis Mumo KE

Address

Likoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dennis mumo KE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dennis mumo KE:

Share