SIFA 101.1 FM Lamu

SIFA 101.1 FM Lamu Speaking Hope in Lamu County

Hujambo msikilizaji, Ni Asubuhi nyingine Mungu ametujaalia kuiona. Habari Kuu Magazetini Leo. SIFA 101.1 FM Lamu na SIFA...
16/01/2025

Hujambo msikilizaji, Ni Asubuhi nyingine Mungu ametujaalia kuiona. Habari Kuu Magazetini Leo. SIFA 101.1 FM Lamu na SIFA 107.7 FM VOI

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji ...
15/01/2025

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) hadi Agosti 2025.

CAF imechukua hatua hiyo, ili kutoa muda zaidi kwa nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuwa na miundombinu ambayo inaendana na viwango vya CAF ili michuano hiyo iweze kufanyika.

Shirikishi hilo litaendesha droo ya mashindano hayo Jijini Nairobi, Jumatano tarehe 15 Januari 2025 saa mbili usiku (8:00pm) huku tarehe kamili ya kuanza kwa michuano hiyo mwezi Agosti 2025 ikitarajiwa kutangazwa.

Habari za Asubuhi Msikilizaji mpendwa, karibu katika
15/01/2025

Habari za Asubuhi Msikilizaji mpendwa, karibu katika

Habari:Kenya ililipa Kampuni ya ujerumani kima cha  Sh14.2 billioni.  Kampuni hiyo itachapisha noti mpya  bilioni 2.04  ...
09/01/2025

Habari:

Kenya ililipa Kampuni ya ujerumani kima cha Sh14.2 billioni.

Kampuni hiyo itachapisha noti mpya bilioni 2.04 zenye thamani Shilingi bilioni 689 pesa za Kenya.

Chapiaho hizo ni k**a ifuatavyo:

Sh50— Noti milioni 460
Sh100—Noti milioni 690
Sh200— Noti milioni 260
Sh500— Noti milioni 170
Sh1,000—Noti milioni 460

Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, am...
07/01/2025

Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, ametoshia kumkata kichwa kiongozi wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine). Kwenye mtandao wake wa X Muhoozi ameandika kwamba mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Kyagulanyi ni Baba yake Rais Museveni, na kwamba hata Bobi Wine mwenyewe hilo analijua.

Kwa upande wake, Bobi Wine amesema tishio la Mtoto wa Museveni (ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Uganda) la kumkata kichwa sio kitu anachokichukulia kwa wepesi hasa ikizingatiwa majaribio kadhaa ya kuondoa uhai wake. "Nakataa kutishwa na utawala wa uoga, Dunia inatazama” Ameongeza Kyagulanyi.


Muhoozi pia amewaagiza Wanajeshi na mlaka nyingine za Usalama kumk**ata Bobi Wine (hata kwa kutumia nguvu na vurugu ikiwezekana) pale tu atapomtukana yeye (Muhoozi), Rais Museveni, na Wanafamilia wote wa Museveni kwenye tukio lolote hadharani.

Siku moja baada ya kuachiliwa kwa baadhi ya vijana waliokuwa wameshikwa, hisia mseto zimeendelea kutolewa, huku serikali...
07/01/2025

Siku moja baada ya kuachiliwa kwa baadhi ya vijana waliokuwa wameshikwa, hisia mseto zimeendelea kutolewa, huku serikali ikitakiwa kuelezea aliyehusika na utakaji huo.

Wananchi pia wamewaonya viongozi dhidi ya kujipiga kifua na badala yake wahakikishe uwajibishaji umefuata sheria.

Haya yanajiri huku idara ya polisi ikijiondolea lawama kwa visa hivyo.

The bold headlines this morning. Karibu sana ndani ya Sifa Asubuhi popote ulipo.   _Show ndani ya SIFA 101.1 FM Lamu
11/12/2024

The bold headlines this morning.
Karibu sana ndani ya Sifa Asubuhi popote ulipo. _Show ndani ya SIFA 101.1 FM Lamu

Msikilizaji, hujambo na karibu katika uchambuzi wa magazeti Asubuhi ya Leo. SIFA 101.1 FM Lamu full shangwe! Ni
06/12/2024

Msikilizaji, hujambo na karibu katika uchambuzi wa magazeti Asubuhi ya Leo.
SIFA 101.1 FM Lamu full shangwe! Ni

Kumekuchaa! U Hali gani Msikilizaji mpendwa? SIFA 101.1 FM Lamu  inakuletea uchambuzi wa magazeti.Kaa mkao wa kula tukuf...
03/12/2024

Kumekuchaa! U Hali gani Msikilizaji mpendwa? SIFA 101.1 FM Lamu inakuletea uchambuzi wa magazeti.
Kaa mkao wa kula tukufahamishe.

02/12/2024
Island of FestivalsDhow Race  22nd edition.
02/12/2024

Island of Festivals
Dhow Race
22nd edition.

Wito umetolewa  kwa Jamii  kuwakubali na kuwaonesha upendo watu walioadhirika na virus vya ukimwi.Siku ya ukimwi duniani...
01/12/2024

Wito umetolewa kwa Jamii kuwakubali na kuwaonesha upendo watu walioadhirika na virus vya ukimwi.
Siku ya ukimwi duniani imeadhimishwa katika sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Mjini Lamu, sherehe hizo ziliandaliwa katika bustani la Mkunguni na kuongozwa na Waziri wa afya wa kaunti Dkt. Mbarak.

Huku sherehe za utamani katika kaunti hii ya Lamu zikifikia kikomo, kumekuwa na fainali za mashindano mbalimbali ikiwemo...
30/11/2024

Huku sherehe za utamani katika kaunti hii ya Lamu zikifikia kikomo, kumekuwa na fainali za mashindano mbalimbali ikiwemo ngoma za kitamaduni, mashindano ya mashuwa uogeleaji mashindano ya punda miongoni mwa mengine.

   22nd Edition.Different Dance groups showcasing different cultural dances. SIFA 107.7 FM VOII SIFA FM 101.1 ATOOO Maat...
30/11/2024

22nd Edition.
Different Dance groups showcasing different cultural dances. SIFA 107.7 FM VOII SIFA FM 101.1 ATOOO Maata Radio 101.9 Fm LodwarrSIFA FM Marsabitt

29/11/2024

Lamu Cultural Festival 22nd Edition
Bech soccer

Lamu Cultural Festival 22nd edition Donkey race🫏
29/11/2024

Lamu Cultural Festival 22nd edition
Donkey race🫏

28/11/2024

Don't miss the upcoming ID registration events in Lamu:
4th December: Ndau, Kiwayu, and Mkokoni
5th December: Kiunga

🌟Karibu Lamu Cultural Festival 2024!🌟  The much awaited Lamu Cultural Festival is finally here! Join us from November 28...
28/11/2024

🌟Karibu Lamu Cultural Festival 2024!🌟
The much awaited Lamu Cultural Festival is finally here! Join us from November 28th to 30th as we celebrate the rich vibrant culture, traditions, and history of our beloved Lamu Island!

✨ Highlights of the festival include:
🎶 Swahili & Bajuni cultural dances 🥁
⛵ Thrilling dhow races
🐴 Exciting donkey races
🎤 Performances by talented artists
🍴 A taste of authentic Swahili cuisine .. and so much more!

Come and experience the magic of Lamu, where tradition meets celebration.

Address

Lamu
Lamu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIFA 101.1 FM Lamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SIFA 101.1 FM Lamu:

Videos

Share