Radio Thome 88.1 FM

Radio Thome 88.1 FM A Catholic Diocese of Kitui Kamba & Christian Radio Station situated in Kitui Town, at the Kitui Pas

Numuetee uvoo wa utanu mwingi Umunthi nitusyaiwe Mwovosya Niwe Klisto Mwiaii.Wamuka ata kalivu nthini wa kilungu Kya Kwa...
25/12/2024

Numuetee uvoo wa utanu mwingi Umunthi nitusyaiwe Mwovosya Niwe Klisto Mwiaii.
Wamuka ata kalivu nthini wa kilungu Kya Kwakya Kwa Thome winakwa Musyoka Sylvester.
Sikuku nzeo ni Kwa Uu.

24/12/2024

Kiwiyoo Kya Thome...utuku wa isyawa ya mwovosya. niasyawe mwana wa Ngai ngooni syitu.
na Savimbi the Journalist,,,,,,,,

Merry Christmas 🎄🎄 Leo mnanitaka wapi???😂😂 sifamix do hio Tuesday edition nami JoseJoseph Kayamba Noisemaker 6pm.Vibes z...
24/12/2024

Merry Christmas 🎄🎄 Leo mnanitaka wapi???😂😂 sifamix do hio Tuesday edition nami JoseJoseph Kayamba Noisemaker 6pm.
Vibes za sikukuu do hizo uko wapi na nani?
Leo naongea initokeeeee catch me live on 88.1...🎤🎤🎤

Karibu nthini wa kilungu Kya kwongela kithito  na Rahab Kamene wa kamwathi Today it's  Eve   edition Tulikai wiani
24/12/2024

Karibu nthini wa kilungu Kya kwongela kithito na Rahab Kamene wa kamwathi
Today it's Eve
edition
Tulikai wiani

Wamuka ata kalivu nthini wa kilungu Kya Kwakya Kwa Thome winakwa Musyoka Sylvester.Ukilai Nikwakya tulike Maunduni.
24/12/2024

Wamuka ata kalivu nthini wa kilungu Kya Kwakya Kwa Thome winakwa Musyoka Sylvester.
Ukilai Nikwakya tulike Maunduni.

Kiwiyoo Kya Thome na Savimbi the Journalist🤣🤣Iyambite kundembelea🏃🏃syio wathe😁ikwatileeeeee muvaka 24th dec
23/12/2024

Kiwiyoo Kya Thome na Savimbi the Journalist
🤣🤣Iyambite kundembelea🏃🏃syio wathe😁
ikwatileeeeee muvaka 24th dec

Nimepitia apo stage!!kweli watu wanaenda nyumbani.,karibu ndani ya mpango mzima wa sifamix Monday edition na Joseph Kaya...
23/12/2024

Nimepitia apo stage!!kweli watu wanaenda nyumbani.
,karibu ndani ya mpango mzima wa sifamix Monday edition na Joseph Kayamba Noisemaker
Christmas moods.
Unasikiza sifamix ukienda nyumbani wapi na ukona nani wakilisha area code yako yawaaa..

23/12/2024

Karibu kwongela kithito nakwa
Rahab Kamene wa kamwathi
Christmas edition 🎄
Tuimantha mbesa

Wamuka ata kalivu nthini wa kilungu Kya Kwakya Kwa Thome winakwa Musyoka Sylvester.Ukilai tulike Maunduni.
23/12/2024

Wamuka ata kalivu nthini wa kilungu Kya Kwakya Kwa Thome winakwa Musyoka Sylvester.
Ukilai tulike Maunduni.

Amwaitu 123 ma kikundi Kya kanisa mutheu katoleki CWA kuma Parishini wa St.Francis of Assisi Kamutei nimavokelewa  na ku...
22/12/2024

Amwaitu 123 ma kikundi Kya kanisa mutheu katoleki CWA kuma Parishini wa St.Francis of Assisi Kamutei nimavokelewa na kulika kikundini kya Mutheu Monica .

Misa na kyathi kya kumavokelea amwaitu aa kyatwaiwa kanisani wa St. Francis of Assisi Kamutei na vala kyatongoiwa ni muthembi wa kivalo kya Parishi uyu Rev.Fr.SimonPeter Kitute.

22/12/2024

Kwina kyumwa Kamene wa kamwathi
Wathaithila va umunthi?
6:pm - 9:30pm

Christmas ndio hii are you ready for it??na umejipanga aje anyway 😂 najua haiwahusu sana but mbuzi yetu ya sikukuu ishaa...
22/12/2024

Christmas ndio hii are you ready for it??na umejipanga aje anyway 😂 najua haiwahusu sana but mbuzi yetu ya sikukuu ishaafika...ndani ya choir Express naJJoseph Kayamba Noisemakerill 6pm ..Leo ni jumapili ya mwisho ya kipindi Kya advent umeenda church wapi??umesoma nini.

22/12/2024

Good morning, kalivu nthini wa kilungu kya nakwa Deborah Mwania, Mwíítu Mûmûûnda (Sr. Debee)

MASOMO YA MISA DESEMBA 22, 2024
JUMAPILI YA 4 YA MAJILIO, MWAKA C WA KANISA

SOMO 1
Mik. 5:2-4

Bwana asema: wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele. Kwa sababu hiyo atawatoa, hata wakati wa kuzaa kwake aliye na utungu; ndipo hayo mabaki ya nduguze watawarudia wana wa Israeli. Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za Bwana, kwa enzi ya jina la Bwana, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.

Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu

WIMBO WA KATIKATI
Zab. 80:1-2, 14-15, 17-18 (K) 3

(K) Ee Mungu, uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka.

Wewe uchungaye Israeli usikie,
Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Uziamshe nguvu zako.
Uje, utuokoe. (K)

Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi,
Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Na mche ule ulioupanda,
Kwa mkono wako wa kuume;
Na tawi lile ulilolifanya,
Kuwa imara kwa nafsi yako. (K)

Mkono wako na uwe juu yake,
Mtu wa mkono wa kuume;
Juu ya mwanadamu uliyemfanya,
Kuwa imara kwa nafsi yako;
Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma;
Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako. (K)

SOMO 2
Ebr. 10:5-10

Ndugu zangu: Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, Kristo asema, Dhabihu na toleo hukutaka, lakini mwili uliniwekea tayari; Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukupendezwa nazo; Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu.

Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzikataa, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo k**a ilivyoamuru torati), ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili. Katika mapenzi hayo tumepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.

Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu

SHANGILIO
Lk. 1:28

Aleluya, aleluya!
Mariamu akasema, tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu k**a ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake.
Aleluya.

INJILI
Lk. 1:39-45

Mariamu aliondoka siku hizo, akaenda hata nchi ya milimani kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yuda, akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti. Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu; akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi? Maana sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni mwangu, kitoto kichanga kikaruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu. Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.

Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristo

21/12/2024

Kalivu kilunguni Kya kiwanza Kya Thome naJoseph Kayamba Noisemaker till 6pm.
Confirm timu waku.
Confirm number ila uthaukaa.
Man u na man city nuu ula mukali?

Umunthi wivangithya weekend wiva ete lomoni usu vaa kilunguni kya muvango wa weekend winakwa Musyoka Sylvester.
21/12/2024

Umunthi wivangithya weekend wiva ete lomoni usu vaa kilunguni kya muvango wa weekend winakwa Musyoka Sylvester.

Welcome to Thome wathanthatu  mitamboni ya Radio Thome 88.1 FM6:am 10am Good morning?
21/12/2024

Welcome to Thome wathanthatu mitamboni ya Radio Thome 88.1 FM
6:am 10am
Good morning?

Athukumi ala mathukumaa nthini wa maovisi ma Diocese ya kitui St Augustine Secretariet nimakomania Kwa vamwe na kutania ...
20/12/2024

Athukumi ala mathukumaa nthini wa maovisi ma Diocese ya kitui St Augustine Secretariet nimakomania Kwa vamwe na kutania mautanu ma kumina mwaka kithitoni kya uthukumi woo ula methiitwe mathukumite nthini wa mwaka wa 2024 .

Iseso ya mautanu ano mambiisya na misa ntheu ila yatongoewa ni Asikavu wa kanisa mutheu katoleki Diocesini ya Kitui Mukumwa Joseph Mwongela na ala matwaiwa nthini wa mawithyululuko ma Pastoral Center Kitui.

Address

300
Kitui
90200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Thome 88.1 FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Thome 88.1 FM:

Videos

Share

Category

Kwakya kwa Thome

Mjadala:

Kwaeka twililikanye tu maundu tumwe funny tweekikie kavindani kala twasomaa Primary na Secondary

Kuna simu Kiseveni 0700 25 77 05 kana 0735 501 001 kana uandike woni waku vaa

Kilungu ni Kwakya kwa Thome.