AWRKings FM

AWRKings FM Adventist Station based in Kisumu, WKUC, with a mission to bring hope to the hopeless and uplift the
(1)

27/09/2024

Mungu aliye mchunga wetu ametufikisha hapa

27/09/2024

Atatenda.Ipo siku.

26/09/2024

MAJIWA MA DUOGO GENO EI


26/09/2024

Request yako ya leo ni ipi?

26/09/2024

Je wewe unasema Mungu ni nani? Tekeleza Alhamisi

26/09/2024

Mti uliokatwa waweza kuchipuka tena.Ni kwa neema ya bwana tuishi.

25/09/2024

GENO POD NITIE

25/09/2024

Magumu hayaji kukuagamiza yanakuja kukufanya dhabiti. Karibu kwenye Tekeleza

25/09/2024

Umbali huu tumefika kwa ajili ya Mungu Wetu.

24/09/2024

Tekeleza hewani! Fanya kazi kwa bidii na busara wala usijipatie faida kwa machozi ya wanyonge

24/09/2024

Msamaha utakapokwisha itakuaje kwetu,tubu leo.

23/09/2024

RIEK LAKTAR MONDAY

23/09/2024

Heko kwa kazi tangu asubuhi. Niambie wimbo unaotaka kusikiliza ukijiandaa kupakua lunch yako

23/09/2024

Mungu bado anakuhitaji ndio maana amekupa siku mpya ufanye mapenzi yake.
Karibu kwenye Tekeleza Jumatatu

23/09/2024

Mjini humo hakuna kuagana tena,machozi yatapanguzwa.

22/09/2024

Bwana bado atupokea kwa uvumilizi japo sisi ni watenda dhambi.

20/09/2024

Friday request hour

20/09/2024

Karibu kwenye Tekeleza tukiendelea na maandalizi ya Sabato.

19/09/2024

Agiza wimbo unaopenda kusikiliza

19/09/2024

Hujambo Karibu tutekeleze pamoja Alhamisi ya leo!

18/09/2024

Request hour

18/09/2024

Tekeleza Jumatano. Mungu akisema ndio nani anayeweza kukanusha?

17/09/2024

Bado muda wa msamaha upo,anakuita.

16/09/2024

Nikukamilishie Tekeleza kwa wimbo gani?

Address

Kanyakwar Grounds
Kisumu
40100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AWRKings FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AWRKings FM:

Videos

Share

Category