PCS Mudavadi alaani mashambulio ya balozi mbali mbali ikiwa ni pamoja na Kenya huko Kinshasa DRC.Mudavadi alikuwa akizungumza wakati wa mkutano mtandaoni kuhusu hali ya usalama huko Goma
Rais William Ruto Jumanne aliungana na viongozi wengine wa Afrika jijini Dar es Salaam, kwa uzinduzi wa mpango unaolenga kuunganisha watu milioni 300 barani Afrika na umeme katika kipindi cha miaka mitano ijayo
Kaunti zisipopeana Bursary wanavyotaka wabunge wanafunzi watakosa kwenda shule asema Richmond Manani MCA wadi ya Bogeka katika kaunti ya kisii.Manani alikua akizungumza jumanne wakati wa kupeanwa kwa fomu hizo
CHURCH SERVICE LIVE-GETEMBE CHURCH OF GOD
LIVE CHURCH SERVICE FROM CHURCH OF GOD
Rais William Ruto azidi kuupigia debe mfumo wa matibabu wa SHA huku baadhi ya wakenya wakiendelea kuulalamikia mfumo huo
WAZIRI MKUU MUSALIA MUDAVADI AMTAKA GACHAGUA KUKOMA KUWAPOTOSHA WAKENYA
Rais William Ruto azindua mradi wa Umeme wa Last Mile katika Kijiji cha Lukhumbi, Shinyalu, kaunti ya Kakamega.
Washikadau katika shule ya nyakeogiro , wadi ya Nyatieko kaunti ya kisii wapigwa na butwaa baada ya watu wasiojulikana kuingia shuleni humo na kuiba vitabu vya thamani isiojulikana , usiku wa kuamkia jumaatatu
Rais Ruto asema analenga kuondoa Cartels kwenye ukulima na usagaji wa sukari kupitia Sugar act ili kumfaidi mkulima
DONALD TRUMPH INAUGURATION
Donald Trumph Aaapishwa kuwa Rais wa 47 wa USA
DONALD TRUMPHS INAUGURATION CEREMONY
Donald Trumph tales Oath to become the 47th President of the united states
Maafisa wa pilosi wa kenya walioko nchini haiti waelezea mafanikio makubwa katika misheni yao nchini humo. Wakizungumza katika ibada ya pamoja iliyofanyia kuombea Misheni ya Usaidizi wa Usalama wa Kimataifa (MSS) nchini Haiti siku ya jumapili , maafisa hao wamesema wananchi wa Haiti wana heshima kubwa kwa maafisa wa polisi wa kenya
Ndizi TV News Digital