Bongo Mtaani Tv

 Please subscribe πŸ‘‡πŸ‘‡
22/11/2023


Please subscribe πŸ‘‡πŸ‘‡

Everyone must watch guys support please subscribe share and drop your comment πŸ™
18/11/2023

Everyone must watch guys support please subscribe share and drop your comment πŸ™

Fahamu Tabia za Wanawake Wanaopenda Sana Pesa na hao wanaume ulala nao tu kuwazalisha na huwezi waoa wanawake wa hivi1. ...
11/11/2023

Fahamu Tabia za Wanawake Wanaopenda Sana Pesa na hao wanaume ulala nao tu kuwazalisha na huwezi waoa wanawake wa hivi

1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.
Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao.

Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu nyingine kubwa wakati akiwa bado na simu mpya.

Katika maisha ni bora uingie jehanam kuliko kukutana na mwanamke mpenda pesa kwani utateseka Sana kwa ajili yake na bado hata ona msaada wako.

Sio rahisi kujenga familia bora na mwanamke mpenda pesa.

2. Wengi wana umasikini wa mawazo
Wanawake wengi K**a sio wote ambao hupenda pesa kuliko utu wao hutoka familia kame Sana. Ukame wa kiuchumi mpaka kiakili. Wengi wao huweza kutoa hata rushwa ya ngono ili tuu wapate pesa wasijue miili yao inathamani zaidi ya zile karatasi.

Mtu ni masikini unandoto za kuwa na mwanaume mwenye pesa nani alikuambia wenye pesa wanataka masikini.

Umasikini wako usikufanye ujidharau au mtu akudharau. Lipo kundi dogo la wanawake wanaojitahidi kutetea thamani ya jinsia yao lakini wengi wao ni wakuonewa huruma tuu.

3. Wengi wao hawana elimu ya kutosha kuhusu maisha
Mwanamke aliesoma akaelimika hawezi hangaika na pesa ya mtu. Ndio maana wanawake wachache huhangaika kwajili ya kujitegemea na sio kumtegemea mwanaume.

Wanawake wengi wenye elimu na vipato vizuri huwezi msikie akiongelea pesa K**a kigezo muhimu kwa mwanaume anayemuhitaji awe mume wake.

4. Ni wavivu na wasio na mawazo.
Wanawake wote wanaopenda pesa ni wavivu kupita kiasi. Uvivu wao umeanzia akilini kiasi kwamba hawana mawazo ya maendelo. Utakuta mwanamke anawaza mambo mepesi kabisa K**a urembo, nguo, mtoko, n.k.

Wanawake wapenda pesa ni hatari kwa ustawi wa familia.
Huwezi kuwa na familia kubwa ukiingia katika bahari ya viumbe hawa.

5. Hawana shukrani wala uvumilivu.

Everyone join us to the channel must watch guys πŸ™
09/11/2023

Everyone join us to the channel must watch guys πŸ™

watch to support the channel everyone join us πŸ‘ˆ
09/11/2023

watch to support the channel everyone join us πŸ‘ˆ

everyone must IπŸ«’πŸ‘Œ
09/11/2023

everyone must IπŸ«’πŸ‘Œ

09/11/2023

Ukiwa na dame na huna pesa watu huona nyinyi tu ni relatives πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

09/11/2023

Unaitwa my king unaitika
We ushawai ona wapi mfalme akienda mjengo?πŸ˜‚πŸ˜‚

07/11/2023
07/11/2023

PLEASE SUBSCRIBE TO SUPPORT US.Please follow us on other social platforms i.e FacebookTwitterInstagram &TikTok@BongomtaanitvWe love comedy just because li...

02/11/2023

Yule beshte yako ukiingia online unampata,,ebu mtag umuulize anaoganga saa ngapi.πŸ˜‚DDEM WA TAO

Ukienda hoteli na upate NI Safi Kula na ulambeπŸ˜‹ hio sahani pia usiogopeπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ’”
02/11/2023

Ukienda hoteli na upate NI Safi Kula na ulambeπŸ˜‹ hio sahani pia usiogopeπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ’”

Aki hii kenya
21/10/2023

Aki hii kenya

18/10/2023

Na mpitie lab kabla hamjaenda mechi STI na HIV haitakubembeleza wacha kupima na machoπŸ™„πŸ™„

13/10/2023

Ukimwaga kwa process ya kuvaa cd unafaa kujitetea ajeπŸ€”πŸ€”

13/10/2023

Unajiuliza mbona Omena zote zinafanana,NI kwa sababu o-men-a the same πŸ™„πŸ’”

Address

Kamukuywa
Kimilili
177

Opening Hours

Monday 06:00 - 22:30
Tuesday 06:00 - 22:29
Wednesday 06:00 - 22:30
Thursday 06:00 - 22:30
Friday 06:00 - 22:30
Saturday 08:00 - 21:30
Sunday 08:00 - 21:30

Telephone

+254790564665

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Mtaani Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share



You may also like