Kulikoni kati ya Raila Odinga na Kalonzo Musyoka? Watazame.
Msani wa Bongo Diamond Platnumz awanyamazisha wenye kinyongo kwa kutoka na msafara wa magari yake ya kifahari ikiwemo gari aina ya Rolls-Royce Cullinan aliyonunua na kuzindua hapo jana.
Tazama nyumbu huyu akiwa mateka kwenye pembe za mwenzake aliyefariki huku akiliwa na Fisi... Ukiona cha mwenzako chanyolewa, chako tia maji.
Acheni kueneza uvumi katika mtandao
Msieneze Upuzi katika mtandao, Kalonzo aonya.
Fundamentals - Karaoke Mtaani
Wakenya wana talanta... πππ #KaraokeMtaani
Full Video ππΎππΎππΎππΎππΎππΎhttps://youtu.be/cWQcJwOJtQ4
Sitishwi na Deep State, niko tayari kukabiliana nao asema William Ruto
Sitishwi na Deep State, niko tayari kukabiliana nao asema William Ruto
Wakenya watoa maoni kuhusu BBI huku kesi ya 'kusimamisha Reggae' ikiendelea mahakamani.
Gari ya Mazda CX5 imekuwa kivutio kwa wezi. Jihadhari.
Unaona mbuzi wangapi katika video hii?