01/01/2025
ENOUGH IS ENOUGH!!! Nimechoka kuvumilia kuona Vijana wetu hapa Mutomo, Ichaweri, Githioro na maeneo mengine wakifanywa bwege na slaves wa pombe haramu na pia muratina.
Hili ni jambo ambalo Chief Mutheki na Sub chief Salome wanajua na wameshuhudia lakini wamenyamaza tu, sijui Labda wanapewa chai na Wenye kuzitengeneza? Hizi pombe zinauzwa mchana na usiku na Wenye kuuza wanajulikana.
Vijana wanamkia ulevi wanalala ulevi na hakuna kazi wanaeza fanya vizuri wakiwa walevi, na tusipochunga uhalifu utaongezeka hapa kwetu.
Wizi ya ngombe pia imeongezeka hapa kwetu na viongozi wamenyamaza tu kutoka Mca wetu Kingara mpaka Sub chief ambaye ata hatumuonangi uku sana.
WE DEMAND ACTIONS FROM OUR LEADERS OR ELSE WE WILL EXPOSE THEM BADLY. WE NEED A BETTER COMMUNITY TO BE PROSPEROUS.