07/12/2023
Sasa leo nime invite ka light skin mwingine akuje lunch🤗. Amekuja na tu light skin wengine sita, so sikufurahia. Nilikuwa tu na 500/=🙄. Wamepiga order ya Pizza, Kuku, Pilau na hizo zingine🙂. Bill ikafika 5000/=😭.
Mimi nimetulia tu😛. Tumekula, na saa hiyo mimi sisemi kitu mpaka tuk**aliza😎. Kwa vile mimi ni mwerevu😓, nikaanzisha conversation. Si mnanijua🙇!!!!
Mimi : Warembo do you watch World Cup?😳
Mmoja wao : Nooo mimi napenda Olympics☺, kwanza Rudisha hunibamba🤗.
Mwingine : Mimi Kemboi🤔.
Mimi : Hata mimi ni mtu wa Olympics🤗. Do you know i am investing in Sports?☺Nataka kuenda competition pia this year🙄. Niwashow vile mimi hukimbia????🤔
Wote : wow.. eeh.. please show us🤓.
Nikaona waiter akileta Bill😥. Nikasimama na nikaambia waiter asonge kwa pathway😋.
Mimi : Warembo, mimi huwa nakimbia hivi😟.
Nakwambia nimetoka teketeke k**a Chui😋. Yani nimeenda mbio kabisaaaaa😎!!!!!
Saa hii niko LAVINGTON SHOPPING MALL naingia ndani kufanya shopping😜. Nasikia bado wako huko wanachonga Viazi😂😂😂.
Nikiku invite out🤓, ukuje ukiwa Solo🤓. Ni Lunch wala sio recruitment✊.
BRAINS Thee Chumba.
💥💥LIKE Thee Thee ChumbaThee chumba