22/12/2025
Ni bora kumshukuru Mungu hapo ulipo maana kuna wengine hawajafika ulipo.
Karibu kwenye awamu ya baraka kazini naye Journalist Maganga
Kina nani waingie ndani?
Je kipindi cha Neno litaendelea kimekubariki mwaka huu? Tupe maoni yako au ushuhuda wako kupitia sms line 0725606060.