Deejay Edu The TtFinest

Deejay Edu The TtFinest …..:::

Huku ushago unajipea kazi ya kuwasha jiko ndio wasijue unanuka Moshi gani,, Polite weekend ahead…..😌🤣😂😆 …..:::
28/12/2024

Huku ushago unajipea kazi ya kuwasha jiko ndio wasijue unanuka Moshi gani,, Polite weekend ahead…..😌🤣😂😆
…..:::

Let’s Get High this Holiday…..💥🚀🚀 …..:::😎
25/12/2024

Let’s Get High this Holiday…..💥🚀🚀
…..:::😎

Hii December wewe ukiona tunatoka, toka na sisi mambo ya mnaenda wapi wachana Nayo….😋🤣😂😅 …..:::
05/12/2024

Hii December wewe ukiona tunatoka, toka na sisi mambo ya mnaenda wapi wachana Nayo….😋🤣😂😅
…..:::

Happy Festive Season,, December imefika mnanitaka wapi….🤏🏾😎 …..:::
03/12/2024

Happy Festive Season,, December imefika mnanitaka wapi….🤏🏾😎
…..:::

A visitor should not expect "kuchinjiwa kuku " just because there are chickens wandering in the compound, they could be ...
01/12/2024

A visitor should not expect "kuchinjiwa kuku " just because there are chickens wandering in the compound, they could be visitors too, zimetembea tu like you….Christmas Proverb
Happy Festive Season 😁🤏🏾😎
…..:::

Always Trust God that He will bless the work of your hands,He will strengthen you and energise you to achieve your dream...
24/11/2024

Always Trust God that He will bless the work of your hands,He will strengthen you and energise you to achieve your dreams...Siku moja kutajipa….💪🏿
…..:::

Wacha niulize landlord k**a December naweza lipa rent ya bafu pekee ju itakuwa kuingia, kuoga, kutoka…..😂😆😌🤣 …..:::
22/11/2024

Wacha niulize landlord k**a December naweza lipa rent ya bafu pekee ju itakuwa kuingia, kuoga, kutoka…..😂😆😌🤣
…..:::

Pastor amepoint dem yangu akasema huyu ataolewa na Daktari... kajinga kanashout Amen …..😅💔😁🤭 …..:::
15/11/2024

Pastor amepoint dem yangu akasema huyu ataolewa na Daktari... kajinga kanashout Amen …..😅💔😁🤭
…..:::

Wenye wamefika Kwa mother-in-law Ni maswali Gani Mtu Anaulizwa??….🤔😂🤣 …..:::
05/11/2024

Wenye wamefika Kwa mother-in-law Ni maswali Gani Mtu Anaulizwa??….🤔😂🤣
…..:::

Una crushia mrembo ushago, jioni unatumwa kwao uombe unga baana ati mkisiaga mtarudisha….🤣😂😅 Polite sunday 👊🏾 …..:::
27/10/2024

Una crushia mrembo ushago, jioni unatumwa kwao uombe unga baana ati mkisiaga mtarudisha….🤣😂😅 Polite sunday 👊🏾
…..:::

Tukiingia pale ndani ku negotiate ruracio,, Tuone ako na Tattoo tunatoka mbio …..🤭🤣😅 …..:::
24/10/2024

Tukiingia pale ndani ku negotiate ruracio,, Tuone ako na Tattoo tunatoka mbio …..🤭🤣😅
…..:::

Ushawai bebwa na msee wa duthi, alafu akaona Ex wake🤣, aka anza mastingo deadly? Mwingine hapa amenibeba, anachange gear...
17/10/2024

Ushawai bebwa na msee wa duthi, alafu akaona Ex wake🤣, aka anza mastingo deadly? Mwingine hapa amenibeba, anachange gear na magoti…..🥺😂🙆
…..:::

Niwaulize na si Kwa ubaya,Ngoto ni part ya romance ama huyu anataka kunimaliza …..🥺😂🙆💔😕 …..:::
14/10/2024

Niwaulize na si Kwa ubaya,Ngoto ni part ya romance ama huyu anataka kunimaliza …..🥺😂🙆💔😕
…..:::

Bibi ya my brother amekataa kunifulia nguo na tulilipa Mahari Mtu k**a amechoka si aseme tu Ameshindwa na ndoa…..😏🤣😂😅 …....
10/10/2024

Bibi ya my brother amekataa kunifulia nguo na tulilipa Mahari Mtu k**a amechoka si aseme tu Ameshindwa na ndoa…..😏🤣😂😅
…..:::

New day. New week. New month. New energy. New mindset. New opportunity.   …..💚💛❤
01/10/2024

New day. New week. New month. New energy. New mindset. New opportunity.
…..💚💛❤

Unaokolea msee keja alafu dem yake anakufulia nguo akidhani ni zake,, Kuna mtu nitagongea na si Mlango…..😅🤣🤭   …..::: ✌🏻
28/09/2024

Unaokolea msee keja alafu dem yake anakufulia nguo akidhani ni zake,, Kuna mtu nitagongea na si Mlango…..😅🤣🤭
…..::: ✌🏻

Umetulia tu sitting room alafu unaskia maid Akifunza mtoi wako"B for Beb…..😼😁🤣😅 …..:::
28/09/2024

Umetulia tu sitting room alafu unaskia maid Akifunza mtoi wako"B for Beb…..😼😁🤣😅
…..:::

Tukienda Ruracio wafunike Msichana wao.Tutafunika mbuzi na Mbwa...Wakichagua mbwa shauri yao…..💔🤣😅😂 …..:::
27/09/2024

Tukienda Ruracio wafunike Msichana wao.Tutafunika mbuzi na Mbwa...Wakichagua mbwa shauri yao…..💔🤣😅😂
…..:::

Address

Karatina

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deejay Edu The TtFinest posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Deejay Edu The TtFinest:

Share

Category