Madaraka RADIO

Madaraka RADIO Kituo hiki kimeundwa kwa ajili ya kufundisha lugha ya kiswahili duniani.

19/09/2022

Mapenzi hayana demokrasia
Unene wa giza hautishwi na mshumaa

13/09/2022

Tabasamu la usoni huziba majibu ya moyoni
Kiswahili kitukuzwe na madaraka redio

04/09/2022

Asiye kunywa kwenye chemichemi hunywa kwenye mto
Tunyweni hapa sasa madaraka redio na journalist silvester kisia

30/08/2022

Rais mteule William samoei Ruto sasa anaitaka mahakama ya upeo kufutilia mbali hati zote za kiapo zilizowasilishwa na makamishna sita wa IEBC katika kesi ya ombi la rais.
Katika kesi lililowasilishwa kotini na kindakindaki kithure ,Ruto anadai kuwa makamishna hao wamealikwa ili wawasilishe walalamishi wa daraja la pili huku walijifanya kuwa wanaojibu .
Makamishna hao ni pamoja na Boya Molu,Abdi Guliye,Juliana cherera,Justus Nyang'aya,Irene Masit na Francis Wanderi.

29/08/2022


AWAMU YA SAAMOJA JIONI

Rais Mteule William Ruto sasa anaitaka mahakama ya upeo kufutilia mbali hati zote za kiapo zilizowasilishwa na makamishna sita wa IEBC katika kesi ya ombi la rais.

Katika ombi lililowasilishwa kortini na Profesa Kindiki Kithure, Ruto anadai kuwa makamishna hao wameagizwa ili wawasilishe walalamishi wa daraja la pili huku wakijifanya kuwa wanaojibu.

Makamishna hao ni pamoja na Boya Molu, Abdi Guliye, Juliana Cherera, Justus Nyang’aya, Irene Masit na Francis Wanderi

29/08/2022

Je wajua
Kati ya taifa zote Duniani ni kenya pekee ndio taifa lenye pembe.

27/08/2022

Ukitaka kujua kiswahili ni lazima ujue maneno ya kiswahili baada ya hapo tambua Ngeli ya lugha kiswahili
Mfano
MANENO YA KISWAHILI
●KITENZI
●KIWAKILISHI
●KIHISISHI
●KIHUSISHI
●KIVUMISHI
●NOMINO
●KIELEZI
KIUNGANISHI

27/08/2022

Teknolojia huitwa Maarisasa
Kinukuzi huitwa photocopy machine
Kimbaka/kichokono huitwa tooth pic kwa kiswahili .
Kitimaguru/kitimwendo/kitimagurudumu huitwa Wheelchair.
Simu janja Smart phone.
Kiswahili kitukuzwe.

26/08/2022

Madaraka redio na kiswahili ni kitu kimoja leo Tutambue hili
Redio huitwa Rungoya
Computer huitwa Tarakilishi
USB huitwa Kikisabi/kikiha

25/08/2022

Unasikiliza madaraka redio ukiwa wapi

Address

Kapsabet

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madaraka RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Madaraka RADIO:

Share

Category