Kilungo

Kilungo DAKIKA UCHAMBUZINI Kilungo Media
Tunakuletea habari za dunia nzima, kila siku, kila saa. Udhibiti wako wa habari uko mikononi mwako.

Fuatana nasi kupata habari za uhakika, maoni na uchambuzi wa kina. .

23/09/2024

siku chache baada kubadilishana kauli na mamake mitandaoni, bradley ameshuka kuomba radhi na amesamehewa.

20/09/2024

mkaazi mmoja ameweka mamlalamishi yake baada ya kurekodi kanda inayoonyesha televisheni ya umma ikitumbuiza machapisho kwa lugha ya kichina.

Askari wa Romania wameiandama nyumba ya wana mitandao Andrew na Tristan Tate, katika sakata ya kutafuta ushahidi mpya wa...
21/08/2024

Askari wa Romania wameiandama nyumba ya wana mitandao Andrew na Tristan Tate, katika sakata ya kutafuta ushahidi mpya wa tuhuma zinazowakabili wawili hao. 👇👇maelezo

masaa machache baada ya seneti kuliunga shinikizo la kumng'oa mamlakani gavana wa Meru, Bi. Kawira mwangaza, mahakama ku...
21/08/2024

masaa machache baada ya seneti kuliunga shinikizo la kumng'oa mamlakani gavana wa Meru, Bi. Kawira mwangaza, mahakama kuu imeusimamisha uamuzi huo. Hakimu Bahati Mwamuye ameipa kesi hii kipao mbele kuskizwa septemba 17.

Jennifer Lopez ameikimbilia korti ili amtaliki mumewe wa miaka miwili Ben Affleck, hapo jana. Siku hii ni sadfa na siku ...
21/08/2024

Jennifer Lopez ameikimbilia korti ili amtaliki mumewe wa miaka miwili Ben Affleck, hapo jana. Siku hii ni sadfa na siku waliyofunga ndoa yao miaka miwili ilyopita.

Wanaotumia huduma hiyo maarufu wamepewa nafasi mbili za bure, kisha kutozwa nusu shilingi kwa simu ya tatu. aidha, hakut...
21/08/2024

Wanaotumia huduma hiyo maarufu wamepewa nafasi mbili za bure, kisha kutozwa nusu shilingi kwa simu ya tatu. aidha, hakutakuwa na ada yoyote ya ziada itakayotozwa baada ya hizi senti hamsini.

bunge la seneti limeukumbatia mswada wa kumbandua gavana wa meru, bi. kawira mwangaza mamlakani likiwa ni jaribia tatu t...
21/08/2024

bunge la seneti limeukumbatia mswada wa kumbandua gavana wa meru, bi. kawira mwangaza mamlakani likiwa ni jaribia tatu tangu aingie mamlakani.

Komanda wa trafiki eneo hilo Kipchumba Rotich amethibitisha watatu waliaga papo huku wawili hawakuweza kuhimili majeraha...
05/08/2024

Komanda wa trafiki eneo hilo Kipchumba Rotich amethibitisha watatu waliaga papo huku wawili hawakuweza kuhimili majeraha walipofikishwa hospitali ya rufaa ya kaunti ya Narok.

Kufuatia shinikizo la wanafunzi walioapa kuhakikisha ameng'atuka mamlakani, Hasina ajiuzulu na kukimbilia India. Sasa ni...
05/08/2024

Kufuatia shinikizo la wanafunzi walioapa kuhakikisha ameng'atuka mamlakani, Hasina ajiuzulu na kukimbilia India. Sasa ni matumia amani itapatikana kwani hilo ndilo dhumuni kubwa la maandamano hayo.

05/08/2024
mtimkaji huyo alikuwa wa nane katika nusu fainali mbio za mita 100, ndoto yake ya kuwa mkenya wa kwanza kufika fainali y...
05/08/2024

mtimkaji huyo alikuwa wa nane katika nusu fainali mbio za mita 100, ndoto yake ya kuwa mkenya wa kwanza kufika fainali ya olimpiki kwa mbio hizo kufifia.

Wanafunzi wanaoandamana nchini Bangladesh wamepanga kufanya maandamano kuelekea mji mkuu Dhaka Jumatatu, wakidharau amri...
05/08/2024

Wanafunzi wanaoandamana nchini Bangladesh wamepanga kufanya maandamano kuelekea mji mkuu Dhaka Jumatatu, wakidharau amri ya kutotoka nje iliyowekwa kitaifa, ili kumshinikiza Waziri Mkuu Sheikh Hasina kujiuzulu. Hii inafuatia siku moja baada ya mapigano makali nchini humo kugharimu maisha ya angalau watu 100.

tamasha hilo liligeuka kero baada ya mmoja kumvamia mwenzake kwa upanga, ambapo kwa hasira, wahudhuriaji wengine walimva...
04/08/2024

tamasha hilo liligeuka kero baada ya mmoja kumvamia mwenzake kwa upanga, ambapo kwa hasira, wahudhuriaji wengine walimvamia na kumpiga mvamizi huyo.
taarifa zinasema wawili hao waliaga baadae.
video👇

Rais huyo wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki alisema kuwa hilo ndio lengo ila ndondi inaweza kuwa katika Michezo ya Olim...
04/08/2024

Rais huyo wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki alisema kuwa hilo ndio lengo ila ndondi inaweza kuwa katika Michezo ya Olimpiki huko Los Angeles tu ikiwa watakuwa na mshirika wa kuaminika.

Address

Kaloleni
TUNAWAKILISHA

Telephone

+254799066882

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilungo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kilungo:

Videos

Share

Nearby media companies


Other Kaloleni media companies

Show All