Nameritaaba
Wakaazi wa kijiji cha Nameritaaba wadi ya kalokol, wampongeza mwakilishi wadi wa eneo hilo Michael Apem kwa kazi inayozidi kuonekana katika jamii, kulingana na wakaazi hao, ni kwamba kupitia uongozi wa sasa, umesaidiana na mashirika yasiokua ya kiserikali kujaribu kusuluhisha tatizo la maji..
Welcome to Nadwat Traditional barber shop😄😄😄😄
Ni haki yetu kupewa ulinzi na serikali ya kitaifa.Hon William Samal Etubon chief Majority whip Turkana county assembly
Bwana Ps saidia sisi kutoa hii kampuni inaitwa Amofox hapa Nadwat inanyanyaza watu wetu sana,Mr Ikamar
Wafanyibiashara katika soko la Manispaa ya kakuma Turkana magharibi wanahofia huenda masoko hayo yakafungwa wakati wowote kutokana na uvundo ulioletwa na maji taka.
Wakizungumza katika soko hilo la manispaa ya kakuma Turkana magharibi wafanyibiashara hao wanasema kuwa maji taka ambayo yamesambaa katika soko hilo huenda yakasababisha magonjwa ya kipindupindu na magonjwa mengine yatokanayo na uchafu kwa wateja na wafanyibiasha licha ya wao kutoa ushuru kila siku kwa serikali ya kaunti.
Kamati ya Usalama ikiongozwa na Kamishna wa kaunti ya Turkana Julius Kavita na mbunge wa Turkana magharibi Daniel Epuyo wamefanya ziara katika kambi ya wakimbizi ya kakuma Turkana magharibi kutadhmini hali ya usalama kambini
Katika ziara hiyo ambayo ilianza kwa kufanya mazungumzo na wasimamizi wa kambi hiyo ya wakimbizi Kamishna wa kaunti ya Turkana Julius kavita ameonya kuwa ni sharti wakimbizi kutii amri za nchi au la sivyo kukabiliana na mkono wa sheria
Kamati ya Usalama ikiongozwa na Kamishna wa kaunti ya Turkana Julius Kavita na mbunge wa Turkana magharibi Daniel Epuyo wamefanya ziara katika kambi ya wakimbizi ya kakuma Turkana magharibi kutadhmini hali ya usalama kambini
Mbunge wa Turkana magharibi Daniel Epuyo ametoa wito kwa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Wakimbizi UNHCR kutafuta wadhanini wengine ili kurejesha nafuu kambini uku akiwataka wakimbizi kuwa wavumilifu
Opposition Leader Raila Odinga has called for a thorough, professional and transparent investigation into the death of Chief of Army Staff General Francis Ogolla who lost his life in a helicopter crash on Thursday afternoon.
Mashirika ya kutetea haki za ki binadamu kaunti ya Turkana yametilia shaka utenda kazi wa uongozi wa kaunti hiyo kutoa huduma kwa wakaazi wa kaunti hiyo wakisema kuwa kaunti hiyo upokea mabilioni ya pesa lakini hakuna chochote cha kujivunia.
waliongeza kusema kuwa licha ya kupokea hela hizo ,wakaazi wa kaunti hiyo bado wanakumbana na matatizo chungu nzima ikiwemo tatizo sugu la ukosefu wa maji.
Imebainika kuwa wakaazi wa kaunti hiyo bado wanatembea umbali wa kilomita kadhaa kusaka bidhaa hiyo muhimu ambayo ni maji.
wakati huo huo maafisa wa afya katika kaunti hiyo,wamedai kuwa baadhi ya magari yanayotoa huduma za dharura hayatumiki tena kwa sababu yamekwama kwenye magereji kwa sababu pesa za kuzikarabati hazipo,hivyo basi kuwalazimu madaktari kutumia njia mbadala ikiwa ni pamoja na pikipiki za boda boda, kuwapeleka wagonjwa hospitali.
Taarifa hii imetiwa uzito na afisa mkuu wa wizara ya afya Dr Gilchrist Lokoel
ANTI-RABIES OUT OF County Government of Turkana
unafahamu ADRA? tegea hapoa uzidi kufahamu sana.
we don't own the copyright of the music we play here.
we don't own the copyright of the music we play.
do you know the game called gamming for growth?
yes, here we go. stay tuned as we enjoy the game.
text. 0799870868
meet Alum, Zion and Emuria.
enjoy.
your Hosty today is Mzito Ndege.
we dont own the copyright of the music we play here.
do you know who VOS is>
HERE THEY AR TODAY.
siku ya wanawake duniani ni nini? kaa karibu nasi tukujuze sasa rafiki.
0799870868
we don't own the copyright of these music.
Ndani ya tusemezane turkana..
changa moto gani unadhani kua wewe imekulemea katika familia?
Ungana na mchungaji Christine katika kipindi cha FAMILIA IMARA.
WASILIANA NASI. 0799870868
Atta Nayece radio's broadcast
Atta Nayece radio's broadcast
WE DONT OWN THE COPYRIGHT OF THESE MUSIC
KIPINDI CHA MWISHO CHA MWENDA ZAKE SAMUEL LOPONG'O KATIKA KIJIJI CHA NADAPAL.
LALA SAMA KAKA SAMUEL