The BiG.DwarF

The BiG.DwarF Rong rende 🤔
(16)

Nimefanya vitu mingi lakini kupiganaMahali hakuna mtu anaeza tu separate hio siwezi 😅🤣
03/02/2024

Nimefanya vitu mingi lakini kupigana
Mahali hakuna mtu anaeza tu separate hio siwezi 😅🤣

03/02/2024

SI MUAMBIE WAKALE VALENTINE SIO HOLIDAY🎆💎WAMEANZA KUENDA USHAGO🙆😜😊😂🚶🏃

03/02/2024

Wewe ukitafuta true love💗💗🙄🙄sisi tunatafuta Chapo za ten ten🤣🤣🤣

28/01/2024

Nimejaribu kupika k**a Ombachi
Nikarusha rusha pan juu..
Sahii naokota nyama under bed🙃🥲

11/01/2024

Masanze wakwende 🤣😅

31/10/2023
Happy +1 to me
20/10/2023

Happy +1 to me

03/10/2023

Nalipa kuingia game park alafu unaniambia nisihug simba kwani pesa ni yko 😶

03/10/2023

Nataka kuwatch hiyo Afcon 2027 na firstborn

03/10/2023

Mkifaint mtoe mikono Kwa mfuko
Tunataka kuwasaidia 😶

03/10/2023

Nimechoka kuwaficha
Mimi ndo niliwapasua matako mara mbili 😶

03/10/2023

Niuwe tu na baraka Mungu
Hao wengine siwajui Mimi🙏

Bora ni enjoy... maisha mafupi ni simple.... napenda nikilewa nipande juu ya mti💔
16/09/2023

Bora ni enjoy... maisha mafupi ni simple.... napenda nikilewa nipande juu ya mti💔

15/09/2023

Ni masaa ya kupotea k**a socks moja 😅

15/09/2023

Unatembea tao na airpods
Kidogo kidogo unaskia
Disconnected ,,unajua basss..

15/09/2023

K**a hujawai fikiria kukua msanii
Hadi ukaandika lyrics
Bdo hujapitia life 🤣

15/09/2023

Sema kupatana na roommate Kwa hoteli na tuliambiana hakuna pesa ya supper 😅🤣

15/09/2023

Having a good charger is a blessing don't take it for granted 😶

15/09/2023

Nywele za sehemu nyeti nazo humea haraka tena hata before utumie hiyo nyeti 😭💔

15/09/2023

Future ex amekuambia Nini Leo 😅🤣

15/09/2023

Church is full of reforming hoes
Heri utoe mtu Kwa bar ujue from the onset what you're getting 🤔

15/09/2023

Faking a phone call so I can get out and scratch my balls in peace 😶

15/09/2023

Wacha niwatch loyalty taste moja ndo nipate reasons to keep staying single 🤔

15/09/2023

Pesa kidogo tu ushaanza kutoka matanga k**a ujakula 🤔

15/09/2023

My statistics inasema mahali unaeza pata mkisii amenyamaza ni Kwa picha tu 😶

15/09/2023

Ama maziwa ni maji inakuanga imejipaka makeup 😶🤔

15/09/2023

Jana usiku mimi na bae wangu tukiwa tumedoz niliota ati nimekua dem alafu nikaolewa na nikapata mimba🤰 alafu nikapata ile pain ya kutaka kuzaa😊 bwana yangu akanikimbiza hospitalini ndio nipate usaidizi😳😳😳 na wakati tulifika uko nikapelekwa kwa chumba na kuzalia🤣🤣🤣 madaktari wakaambia bwana yangu abaki nje lakini nikasema nataka akue karibu na mimi😌😌wakasema ni sawa aingie😋😋😋 sasa ilifika mahali daktari akaniambia nisukume ndio mtoto atoke🤣🤣🤣🤣 nikajikaza nikasukuma mtoto akatoka tu vizuri bila matatizo🙂🙂 lakini daktari akasema nisukume tena kunamwingine🤣🤣🤣nikashika mkono wa bwanangu nikajikaza tena nikasuma na mtoi mwingine akatoka vizuri🙂🙂 lakini bado daktari akasema sukuma huyu wa mwisho atoke🤣🤣🤣mimi kuangalia bwanangu nikaona anasmile kuona nilikua na mimba ya mapacha watatu🤣🤣🤣🤣 aliniwekelea mkono kwa paji la uso alafu ananiambia babe sukuma mara ya mwisho mtoi wetu atoke😍😍😘 mimi kuskia ivo nika breath iiin ndio niweze kupush atoke lakini nikiwa na sukuma nikaskia nimeitwa na dem wangu "Baabe, amka unakunia kwa kitanda"🤣🤣🤣🤣 nikajua kumbe hio kuzaa nilikua nasukuma nizae nilikua nakunia🤣🤣🤣 nikiwa nimeshika mkono wa dame wangu😭😭😭😭💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍁🍁🍁🍁🍁😬
Wacha niende sabuni ya panga juu huku hakukaliki leo🙆🙆🏃🏃

Address

Kakamega
50100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The BiG.DwarF posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The BiG.DwarF:

Videos

Share



You may also like