Manu manucho

Manu manucho poor background doesn't mean poor future
(35)

11/01/2025

Wee my people sad news imwtupata 😭😭😭😭😭
Ati watu wa abduction ni wenye hawajalipa hustle
Wamefanya nimelipa Leo 1bob
Niuchunguzi wangu

Ni k**a  landlord wants to paint the house. Nimuambie aweke colour gani?πŸ˜…
05/01/2025

Ni k**a landlord wants to paint the house. Nimuambie aweke colour gani?πŸ˜…

Alikunywa captain Morgan then akaitiwa Sheree ya county sai MCA wanagombana kwa county assembly ndo ameamua kufwata the ...
30/12/2024

Alikunywa captain Morgan then akaitiwa Sheree ya county sai MCA wanagombana kwa county assembly ndo ameamua kufwata the rule of law... Just table your submissions Sasa Morgan anasema yeye ndo real the captain huku nayo County inamwambia vile yeye ndo Governor πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

25/12/2024

Message ya merry Christmas wewe tuma tu Bethlehem achana na mimi πŸ˜†πŸ˜†

24/12/2024

Ushago unaamka asubuhi unapata shosh amefungia earphones yako kuku πŸ˜…πŸ˜…

23/12/2024

Huku ushago kazi ni ulipotelea wapi kuja tukunywe chai sai niko kikombe ya twentie faev na nilitumwa sukari asubuhi 🀣🀣

Ni hayo tu kwa Leo πŸ˜†πŸ˜†
20/12/2024

Ni hayo tu kwa Leo πŸ˜†πŸ˜†

Ndio nimemfikisha kwetu sasa πŸ€­πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
25/11/2024

Ndio nimemfikisha kwetu sasa πŸ€­πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

09/11/2024

May your child inherit your knowledge of mathematics πŸ˜†πŸ˜†

Mapenzi wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
08/11/2024

Mapenzi wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

05/11/2024

Tangu high school leo ndio nimeskia Equitorial Guinea tena πŸ˜…πŸ˜…

04/11/2024

Kulambwa kisogo ni kawaida ama huyu anataka kunifuta memory πŸ˜†πŸ€Œ

31/10/2024

Men of nowadays will take a girl's number but won’t call bcoz of " Urgent Favor" πŸ˜†

28/10/2024

Huyu wa saizi anaita smartphone touch screen…. Msinigongee tafadhali 🀲

22/10/2024

unampost na emoji alafu kuna mwingine mahali anampost bila shati πŸ˜†πŸ˜†

Hawa wanadhani nitatoka hapa Hapa namind business zangu πŸ˜…πŸ€­
19/10/2024

Hawa wanadhani nitatoka hapa
Hapa namind business zangu πŸ˜…πŸ€­

10/10/2024

Utaratibu wa kupanda:
1. Fyeka nyasi.
2. Chimba shimo.
3.weka maji kiasi kwa shimo udongo uwe na unyevu.
4. Weka mti taratibu shimoni.
5. Fukia udongo.
6.mwagia mbolea.
7.nyunyuzia maji kabisa.( fanya hivyo angaa mara mbili kwa siku mpaka mti ushik**ane na udongo vilivyo.).

Anyway

Address

Kakamega

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manu manucho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Manu manucho:

Share