30/09/2022
ππππππ: πππππππ ππππ ππππ
ππππ π
Tunaanzia kwa MJ,k**a kawaida,JJ amekuja kuongea na Fatima anamuuliza hali ya Dida iko aje,kwa sababu naona mimi ndio wa makosa? Fatima akamwambia hata usijali kijana wangu,wa makosa ni mimi kwa sababu mimi ndio nilimpa habari za babake ndio akafaint wakati anafenduka akajipata k**a amepoteza ujauzito wake na kwa sasa,kaa karibu na yeye,anakuhitaji sana.
Kumbe huku kwa MJ,wakati alipata habari kuwa Sada amemkol,aliamka akaoga,kisha akaenda kupanga manguo,si boxer,si mshipi,si trouser akaweka kwa bag,wakati Ua anaamka akashindwa haya,kwani mume wangu anaenda wapi na sijui,"Major,mbona hujaniambia uko na safari ama unaenda na huyo Fatima wako?" Ua alimuuliza Major,lakini Major hakujibu na sijui anaenda wapi,anyway turudi sebuleni kwa JJ na Fatima.
Fatima wakiendelea na mazungumzo,alisahau ako na kidonda kwa mkono,akajikwaruza akahisi uchungu. JJ akaona Fatima ako na kidonda,akamuuliza kulifanyika nini tena? Fatima akadanganya ati alijikwaa but asiwe na shida itapoa,lakini JJ akaona kidonda si cha muda mrefu sana na k**a venye niliwaambia juzi,hiki kidonda ndio Fatima alijikata ili damu aitumie kwa nguo ya Dida ionekane kuwa ni ujauzito ametoa. JJ alimsihi sana hiki kidonda yafaa washughulikie kwa sababu inaeza sababisha bacteria Haya,ebu turudi kwa MJ na Ua chumbani.
Ua anamuuliza Major,mbona hunijubu? Ama unanichukulia k**a kijakazi sifai kujua kweye unaenda? Major akamwambia sikiza Ua,kuondoka kwangu si kugeni kwako,nimeishi kuondoka tangu chadi,lakini Ua akamwambia mimi nataka tu kujua kwenye unaenda,sina haja chenye unaenda kufanya hata. Major akamwambia si wee umesema naondoka na Fatima kuenda kujifinjari? So please usinikalie kichwa,kwenye naenda ni kwa manufaa yetu zote na ju wewe ni mke wangu bila shaka utakuja kujua but for now,Iam out. Sisi tunajua kwenye Major anaenda,kulee kwa wakili wake. Kiasi turudi kwa JJ