KOPLO LEVIS

KOPLO LEVIS Comedian
https://youtube.com/

(2)

Mko aje wangwana kesho ni holiday kumbe acha nilale sasa, na si pia nyi mulale fity
09/05/2024

Mko aje wangwana kesho ni holiday kumbe acha nilale sasa, na si pia nyi mulale fity

05/05/2024

Please follow

Yoooh maji iko kwenu pia
05/05/2024

Yoooh maji iko kwenu pia

Mko haje watu wa mine ? Hope uko safe na hii flood
01/05/2024

Mko haje watu wa mine ? Hope uko safe na hii flood

Haloooo watu wangu sunday greatings
28/04/2024

Haloooo watu wangu sunday greatings

27/04/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Keila Sifun, Raylax Ke

22/04/2024

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! Ronaldo Amasa, Bernard Wambua Musyimi, Mercyline Mercy

Halooo
22/04/2024

Halooo

15/04/2024

Hizo ni vitu za wazungu mi haziniumi
Lakini kwa roho😭😭😭😭😭

15/04/2024

The silence of TALA and branch
is worying kabisa ni k**a walituachia
mungu kabisa🤣🤣

Na si monday iwanice
15/04/2024

Na si monday iwanice

13/04/2024

Do you think nini inafanya uyo boyfriend wako acheat😂🏃🏃

13/04/2024

Amenikataa na nilikua nishaambia watu😭🤣🤣

Sigor boys 🤣🏃🏃
13/04/2024

Sigor boys 🤣🏃🏃

13/04/2024

Mechi ikiisha nani anafaa aseme asante

13/04/2024

Kumbe ukiwa na bulb ya blue kwa nyumba vyombo hazikuangi chafu🤣🤣

12/04/2024

Gari za western unalala kidogo ukiamka kila mtu ako na miwa😀🤣🤣

12/04/2024

Primary school tulibebwa ujinga sana unachapwa juu ulipatana na mwalimu tao🤣🤣🏃🏃

12/04/2024

Madem hua mnatoa wapi fare 🤣kuskia tuu chali ako ako na dem pap uko hapo

Sai tuu facebook inaanza kulipa but wewe umekaa tuuu 🤣🤣jitume wewe Nawapenda wadau
12/04/2024

Sai tuu facebook inaanza kulipa but wewe umekaa tuuu 🤣🤣jitume wewe
Nawapenda wadau

Tuko site 🤣🤣 na mundu wa kirinyagaKaKagiri Kinoti
12/04/2024

Tuko site 🤣🤣 na mundu wa kirinyagaKaKagiri Kinoti

Good friday  my familly
12/04/2024

Good friday my familly

Naomba munisaidie blanket, na matress, tusaidie hawa🤣🤣🤣
08/04/2024

Naomba munisaidie blanket, na matress, tusaidie hawa🤣🤣🤣

Monday ikue fity kwenu nyote
08/04/2024

Monday ikue fity kwenu nyote

Walai k**a hujaoa ata usijaribu kupenda weeehe😀🤣🤣
05/04/2024

Walai k**a hujaoa ata usijaribu kupenda weeehe😀🤣🤣

Hello family , i want to take this opportunity to thank all of you for surpporting my Brand remember idont take your sur...
05/04/2024

Hello family , i want to take this opportunity to thank all of you for surpporting my Brand remember idont take your surpport for granted, thank you for following and liking my post remember to tell you fruend to come here and surpport also, share this page to your groups also, Thank you Have anice weeked ahead

After nimepiga sherehe ya ushindi wa chelsea , nilise.a hasira zaa watu zitulie, Nachukua fursaha hii kuwambia poleni sa...
05/04/2024

After nimepiga sherehe ya ushindi wa chelsea , nilise.a hasira zaa watu zitulie, Nachukua fursaha hii kuwambia poleni sana wana Man U, lakini iwe funzo kwenu siku ingine musijigambe sanaHassan mwana wa Alii
FRED AROCHOO

Imagine tumepatana leo the first time na dem na ako na mtoi, after tu salamu,  nikaskia daddy sasa? Ile mbio nimetoka🤣🤣
04/04/2024

Imagine tumepatana leo the first time na dem na ako na mtoi, after tu salamu,
nikaskia daddy sasa? Ile mbio nimetoka🤣🤣

Address

Navakholo
Kakamega

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KOPLO LEVIS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KOPLO LEVIS:

Videos

Share

Nearby media companies