10/04/2024
Weeeee!!! Sijui niseme hii story ama niache!!! Kweli P1 wewe,,,, sijui mbona ukaitwa hivo ? Nilisikia wengine wanaita punda moja lakini kwangu ni pia wewe teseka kwanza.... magn kuna mahali punda moja wa 2008 hajaandikwa!!! Sai tuko which year? Hhhhhhhh!!! Ooh!! 2024 , waaaĆ aaaaa! 14 years down the line,;;; heeeeee!!!! Acha niwape story sasa,, if am not wrong back in 2016 huko Nairobi sub county fulani nikasema si ni poa nijaribu hii recruitment ya punda moja?? Hapo ni mwezi wa Saba,, jamaa nimetoka chuo cha pia wewe teseka 2014 , ujue kuna wale wanajiita fossils yaaani wametembeza kiatu kutafuta tsc job Hadi wengine nilisikia walikufia njiani,,, heeeeeee! Unadhani niliwaogopa!! Asubuhi jamaa nikapiga luku,, katai ndani ya suti nikaenda stage kona uzuri interview ilikuwa ianze 830 na mimi by 730 nilikuwa already gate ......... mafosils walikuwa already pia washafika na ujue wanataka watu 10 na by 8 tulikuwa almost 2k,, unadhani nilijuaje niliangalia hapo kwa registration book.... naota ama???? Oooh!!! Hii ni part 1, part 2 nawatilia sasa what happened kwa hiyo interview ....like and follow ...