Official_kiddo Afrikana

Official_kiddo Afrikana KENYAN ARTIST ,DIGITAL CREATOR AND FILM DIRECTOR/EDITOR

CEO AT
A F R I K A N A M E D I A ✍️
(5)

Ati utaskia we ni Msanii na mbona huvai chains 😂😂ndugu yangu kwani chain ndo  zinaimba au mimi 😂🤷🏼‍♂️💔!? Tusupport mziki...
14/01/2025

Ati utaskia we ni Msanii na mbona huvai chains 😂😂ndugu yangu kwani chain ndo zinaimba au mimi 😂🤷🏼‍♂️💔!? Tusupport mziki ukiwa mzuri ama vipi ?
💯🔥

Muwe na siku Njema🙏👊

13/01/2025
Mkiona nimefika kwa vitenge mjue shemeji yenu yuko karbu na ananitunza 😍na mambo sio mabaaayaa😉 😍 Mashabiki zangu fb mni...
12/01/2025

Mkiona nimefika kwa vitenge mjue shemeji yenu yuko karbu na ananitunza 😍na mambo sio mabaaayaa😉
😍

Mashabiki zangu fb mnifollow tik tok pia 😍❤️ mkinisupport nitafika huko juu walai 🙏🥰

Inasemekana wanawake wakinyimwa hela tu na wao wanasema wanaume hawana nguvu za kiume 💔😂 nimesema inasemekana jamani sit...
12/01/2025

Inasemekana wanawake wakinyimwa hela tu na wao wanasema wanaume hawana nguvu za kiume 💔😂 nimesema inasemekana jamani sitaki kesi ninachotaka support tu kwenye mziki wangu mtamu nifike huko juu
💯🔥

BLESSED SUNDAY Y'ALL ❤️

11/01/2025

I’m broke = I got money but it’s for responsibilities

Eti nikianza kuimba "Toka 004 mrugu ywa kimpokomo nikujamaaa🎼........." Utaimba nini hapo mbele wewe 🤷🏼‍♂️.....
09/01/2025

Eti nikianza kuimba "Toka 004 mrugu ywa kimpokomo nikujamaaa🎼........." Utaimba nini hapo mbele wewe 🤷🏼‍♂️.....

Ukichagua kuwa "Content Creator" jua umechagua:Kazi ambayo hutaona matokeo yake mapema.Kazi ambayo wakati unaanza hautae...
08/01/2025

Ukichagua kuwa "Content Creator" jua umechagua:

Kazi ambayo hutaona matokeo yake mapema.

Kazi ambayo wakati unaanza hautaeleweka na watu au utaonekana kituko.

Wakati unaanza hutaona sapoti ya rafiki zako, wala ndugu mpaka utakapoanza kutoboa.

Kazi ambayo inakuhitaji kuwaza kitu kipya na kizuri kila asubuhi.

Kazi ambayo itabidi ujipe moyo mwenyewe hata k**a unapata comment na like sifuri.

Kazi ambayo unahitaji ujifunze vitu vipya na uende na trend za teknolojia za kila siku.

Sio rahisi kuwa content creator k**a unavyodhani. K**a huamini, jaribu uone.

Huu mwaka nina mengi sanaa 🙏💯 Inshallah 🙏

HAMJAMBO?

Amazing cultural festival🔥🔥🎉
08/01/2025

Amazing cultural festival🔥🔥🎉

Kwanza nitoe shukrani kwa Hit after Hit records kwa upendo ulionionyesha kwenye utayarishaji wangu wa mziki 🙏.Huu ukiwa ...
08/01/2025

Kwanza nitoe shukrani kwa Hit after Hit records kwa upendo ulionionyesha kwenye utayarishaji wangu wa mziki 🙏.
Huu ukiwa mwaka Mpya.......kati ya Mashabiki zangu ,familia na marafiki iwapo nitakua nimewakosea kwa njia yeyote ile mwaka uliopita naombeni mnisamehe sana.....sisi ni binadamu hatupo kamili tusameheane na tuendelee kusupport kazi nzuri🙏❤️. 💯💪

Check this Out
https://youtu.be/tBdqJyMr000?si=yN19J2uOr7N3CzP4

Mi ni mkinauru damuu na nilisema tutabeba sindo cup kuna watu walibisha 😂😂 hapana chezea kinauru weweNilkwambia mwanangu...
04/01/2025

Mi ni mkinauru damuu na nilisema tutabeba sindo cup kuna watu walibisha 😂😂 hapana chezea kinauru wewe

Nilkwambia mwanangu wewe PrPresenter Odi Bwoy

Happy new year i wish you all the best as we say goodbye to 2024 for 2025 i hope and pray that this new year brings to y...
31/12/2024

Happy new year i wish you all the best as we say goodbye to 2024 for 2025 i hope and pray that this new year brings to you succes,love and happiness,may it be prosperous 🎄🎉🎉🎉🎉

Akinuna k**a anacheka 🎼Huyu mtoto fundi wa kudeka 🎼Sio siri ameniteka nikimuona tu naweweseka🎼Tarehe MOJA tupatane CULTU...
30/12/2024

Akinuna k**a anacheka 🎼
Huyu mtoto fundi wa kudeka 🎼
Sio siri ameniteka nikimuona tu naweweseka🎼

Tarehe MOJA tupatane CULTURAL FESTIVAL, WENJE 😍🎄💯🔥 🥰💯

30/12/2024

RASTA ANATAKA FULL 😂😂💔

We are Celebrating our X Mass Our Way ❤️💯  FINAL TUKO NA KINAKALE KINAURU SISI TUNAUWA NAWAMBIA 😂😂💔NIKO HUKU NINJE NJOON...
30/12/2024

We are Celebrating our X Mass Our Way ❤️💯

FINAL TUKO NA KINAKALE KINAURU SISI TUNAUWA NAWAMBIA 😂😂💔NIKO HUKU NINJE NJOONI 😂😂😂😂BIRHIIII

Yani kamoyo tu tu tu 😊😍 💯🔥Oya tupatane Cultural Wenje 1st January  CONFIRMED✅
30/12/2024

Yani kamoyo tu tu tu 😊😍 💯🔥

Oya tupatane Cultural Wenje 1st January CONFIRMED✅

28/12/2024

Big shout-out to my newest top fans! Kenny Devam, Stella Gitonga, Annakin Josh, Devy Devy, Joslida Hawata, Man Said, Sherry Blaize, Ally Bony, Chigiri Adam, Døgø Juniør Rasta Møja, Hopekid De Ploughz, Shamsa Galana, Snr Slåggér, Nyandisi Josephat, Dhaz Abduz Ke, Chiru Mary, Presenter Odi Bwoy, Mamake MH, Prince Hurukanga, Brian Amboka, Mc Viki, T Kayz T Kayz, Branice Margi Beatrice, Awadhy Kassim Said, Mtu Hivi Hivi, Ibrah Mwanzie, De Entertainer, Liz Mumbi, Becker Beka, Mwamtsumi King Thee Mnati, Wayu Kariuki, Martin Mwai, Terry Blaize, Mangi Hussein Machozi, Vèĺlàh Ďè Çòñcý, Kijana Mtall, Kaendo Becky, Jaraboy Flemy Offixial, Hero Ismail, Thè Wrøñg Døñ, F***j Nassir, Maplotboy Maplotboy, Caren Rynn, Nkatha Jeniffer, William Pypper, Seth Abio, John Raymond, Jones De Classic, 구대근, Fatuma Sajibuyu

Address

Hola

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+254746332728

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Official_kiddo Afrikana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Official_kiddo Afrikana:

Videos

Share