10/12/2024
Mtanzania🇹🇿, Mnyarwanda🇷🇼, na Mkenya🇰🇪 walik**atwa na madawa ya kulevya China.
Wakaambiwa adhabu ni mbili kifo au adhabu nyingine ambayo wakiishindwa pia wanauawa. Wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao.Wakapelekwa msituni wakaambiwawaingie msituni kila mmoja kwa njia yakehalafu kila mmoja arudi na matunda kumi yanayofanana. Wakaingia msituni kila mtu njia yake. Mnyarwanda akarudi wa kwanza. Karudi na Apples 🍎kumi.Akaambiwa adhabu ni kuyameza yote mazima mazima moja baada ya jingine bila kufumba macho bila kulia wala kucheka wala kujitikisa!🥵🙆🏿♂️ Akameza la kwanza. Safi. Kumeza la pili akashindwa kuvumilia akafumba macho. Akapigwa risasi akafa.Wa pili Mkenya akaja. Ana vitunda vidogo vidogoo. Kumi. vinavyofanana. Vidogo k**a p**i. Akaambiwa masharti. Akaanza kula bila kufumbua macho wala kulia wala nini. Alipofika la tisa akashindwa kuvumilia akaangua kicheko! 🙆🏿♂️😂😂Akapigwa risasi pia akafa. Wakiwa kuzimu Mnyarwanda akamuuliza Mkenya.. "Vipi wewe mbona ulishindwa kuvumilia wakati ulibakisha tunda moja tu?" Mkenya akajibu: "Kaka, nilishindwa kuzuia kicheko maana nilimwona Mtanzania anakuja na matikiti maji(watermelon)!"🍉🙆🏿♂️😂😂😂😂💔 Follow KunshosKunshos