05/01/2025
Nailed this π π
December,
Martel XO kwa meza,
Baileys for 'Mamaa'
When the real mamaa ananyoroshwa na moshing kule Chepsaita,
Smirnoff Pineapple Punch for mamaa's friends,
Johnie Walker Double Black ya ripisiik,
Keringet bottled water ka saba,
Heineken k**a twelof,
Nyamchom kilo nne,
Ugali tano,
Samosa sigistiin,
Waiter ukampea thao yake,
Na unaimba;
Kasongo yeyee, mombali nanga,
Kasongo mbona wewoo,
Mbona wewoo.
Bill comes, You swipe.
Today,
You are in church accompanied by the real Mamaa and children,
To ask God to bless you,
On your way ulipitia MPESA kutoa 200/=,
Na ukaitisha coins ya 50/=
Ndio huyu wewe umekunja noti ya 100 na kupeana k**a sadaka,
Mama watoto na yake 50/=
Watoto na coins yao ya 10/= 10/=
Change ni ya Juicy Fruit,
May God Bless You,
Amen.
Via IK