Keiyo Nation .

Keiyo Nation . Bringing out,
-Entertaining
-Educative
-Bold
-Captivating
-Informative
Stories for you ✍🏿
Email:[email protected]

A Young Kenyan Man who was found dead in AustraliaA dark cloud hangs over Illulla village in Uasin Gishu County after th...
30/01/2025

A Young Kenyan Man who was found dead in Australia

A dark cloud hangs over Illulla village in Uasin Gishu County after the sudden and mysterious death of one of their own, Collins Kipkorir. The young man, full of dreams and ambition, was found lifeless inside a car in Australia, sending shockwaves through his family and friends.

The circumstances surrounding his untimely demise remain unclear, leaving loved ones grappling with pain and unanswered questions. Collins, who had ventured abroad in search of a brighter future, now returns home in the most heartbreaking way imaginable.

As the community mourns, the air is heavy with sorrow, and his family is left with questions.That remains the agonizing mystery.

BREAKING NEWS: Shocking reports indicate that a teacher in KEIYO SOUTH is allegedly on a mission to infect students with...
30/01/2025

BREAKING NEWS: Shocking reports indicate that a teacher in KEIYO SOUTH is allegedly on a mission to infect students with HIV. Sources reveal that he targets both current students and alumni, luring them into his trap.

Our team is actively investigating to gather comprehensive details.

Stay alert, stay safe, and spread awareness!

30/01/2025

Valentines manenos ❤️

Ukikuja KEIYO utapata girls wako tu simple sanaaah.Yaaani wale girls hawapendi chepechepe buana. Their character iko top...
30/01/2025

Ukikuja KEIYO utapata girls wako tu simple sanaaah.
Yaaani wale girls hawapendi chepechepe buana. Their character iko top yaani wako na high self esteem na maringo huwa wanawacha uko home.

Yes, hawajui hizo fore plays and romance tactics lakini ifikika kutafuta pesa buana, count on Keiyo girls. Yaani ni ule dem atavaa rubbers ile ya bata ngoma but kwa account amesave 300k na ako na shamba ya kukodesha ya viazi kwa forest na 2 acres amekomboa uko soy ya kupanda mahindi.

Ukimpeleka out na budget ya pizza utashangaa kwa sababu atakula ugali managu na chai a simple meal. Mkimaliza date around 4pm anajitoa kuenda home kuk**a ngombe na kufunga kuku ako nazo anasupply mayai kwa hoteli.

Ni ngumu umpate akivaa necklace na headphones ati anaskia amapino hapana! Unapata anafanya kazi ile risky k**a ya kupaka rangi kwa site but jioni anatoka akienda home k**a amelipa chama ya 3k per week ikifika end wakivunja savings anaenda CHEPKANGA kutafuta ploti.

Wewe hapo unampigia mstari hatari hatari kutoka uko Jamaica anasmile shyly akiangalia chini alafu anakuambia "kweraa" na haujui yeye ako na degree ya Atomic chemistry lakini anahustle like a school drop out alafu wewe na certificate yako ya drama unasumbua watu Street mzima.

Akiwa 30 yeye amejenga 4 bedroom kwa wazazi alafu wewe unatka mtu hajui ku give up ni nini akuwe romantic?

Nikisema mapunjan sema Keiyo nation ❤️

30/01/2025

New slogan:
Nikesema mapunjan sema Keiyo nation.

Naona uko BIRETWO, wajamaa wako KDF ni wengi. Alafu unaju uko biretwo ni place ya maembe lakini hawa wajamaa si maembe b...
30/01/2025

Naona uko BIRETWO, wajamaa wako KDF ni wengi. Alafu unaju uko biretwo ni place ya maembe lakini hawa wajamaa si maembe buana.

Unafika hapo biretwo centre Jamaa ananyonya keg dark na mbogi yake ya mabakule alafu kando yake ako na chemuu ako college KIPSOEN ankunywa juice aina ya mango kutoka CHEPSIGOT mango processors.

Saa hiyo unapata chemuu ako na cargo pant ya blue na water bottle kwa mkono alafu amevaa t- shirt ya Arsenal buana. Chemuu kwa class ya food and beverages ako proud sana na kwa wallpaper ameweka photo, ya mwanajeshi imeandikwa mine forever.

Jamaa wa KDF, alibuyia chemuu tu simu tecno camon 30 Pro na chemuu anakill kwa tiktok. Mabakule wa KDF saa hiyo wanasema bamuru 😂 lakini wanajua Jamaa ako na nurse ako KAMWOSOR buana.

Alafu unajua sasa kwa hiyo documentation ya KDF, huwa next of kin ni must so Jamaa akaweka mathee k**a next of kin alafu hapa jemuu anaambiwa you're my 10/10 buana

KFD kando na kukunywa keg ako na rentals anajenga hapo KIMUMU na plot CHEPKANGA.

All of a sudden, chemuu anaona status ya bakule wamevaa vitengee buana na caption "Congratulations kap David" na saa hiyo nurse amepigwa make up engineering safii na hapo alikuwa ameambiwa you're my 10/10.

Sema kuoshwa 🤣 😂

30/01/2025

Q minus 🤣 😂 🤣

30/01/2025

Swanget message for valentines 🤣 😂

Sometimes enda hoteli na ushout CHEPKORIO!Utapewa chipo safii imepikwa na viazi aina ya shangi kutoka CHEPKORIO. Ukifika...
29/01/2025

Sometimes enda hoteli na ushout CHEPKORIO!

Utapewa chipo safii imepikwa na viazi aina ya shangi kutoka CHEPKORIO.

Ukifika CHEPKORIO 4 pm jioni unapata wazee wako hoteli na raincoat na knapsack spreayer wanatoka forest kuspray viazi against blight

Ukitaka Bibi wa bidii pia unakuja CHEPKORIO utapatana na warembo wanajituma.

Kupata mbegu ya viazi shangi hybrid F2 call collo 0740860260

Daughter of the lush Keiyo Highlands,  A true representation of the modern Keiyo woman.  Milking cows into traditional g...
29/01/2025

Daughter of the lush Keiyo Highlands,

A true representation of the modern Keiyo woman.

Milking cows into traditional gourds and savouring the milk fresh at the dairy.

Proud ambassador of the Keiyo Nation ❤️

29/01/2025

Wednesday morning assembly ❤️
Memories we never lost ❤️

Iten was just chilling boom😅,achana na sisi Keiyo nation buana.Mapunjan!
29/01/2025

Iten was just chilling boom😅,achana na sisi Keiyo nation buana.
Mapunjan!

29/01/2025

wonderful babies 🤣🤣😂😂

Hon. Edda Reds from Kabiemit, the dynamic and trailblazing nominated MCA of Elgeyo Marakwet, radiates charm as she stand...
29/01/2025

Hon. Edda Reds from Kabiemit, the dynamic and trailblazing nominated MCA of Elgeyo Marakwet, radiates charm as she stands beside a majestic cow—a meaningful dowry gift from her spouse. Wrapped in the vibrant essence of Keiyo heritage and adorned with a striking red hat, she exemplifies a true cultural ambassador. Against the serene backdrop of lush greenery, this image encapsulates her unwavering commitment to preserving tradition and championing local tourism. A powerful portrait of pride, heritage, and community.

Viazi ya Shangii iko top
29/01/2025

Viazi ya Shangii iko top

29/01/2025

Kalenjin Specialists

• Kaptereen (Potters)

• Kitongik (Blacksmiths)

• KaMasia (Priesthood and cursehood)

• Or-koiik (Seers/Prophets)

• Sageiwek (Foretellers)

• Kipkerich (Doctors)

• Kapsikisyo (Midwives)

• Kinya Tich (Vets)

• Kiplogootinik ak Tekiik (Hunters/Trap makers)

• Siriik (Writers)

• Chepkutin (Singers)

• Segeik (Intelligence officers)

• Kiruagik (Judges)

• Terekik (Wine makers)

• Ngorik (Weather/Future forecasters)

• Kiptuuminik (Ceremonial leaders)

29/01/2025

Australia:A Kenyan from Uasin-Gishu County and living in Melbourne dies under unclear circumstances.
Mutyo missing wareng.

29/01/2025

Sandia seengee

Address

Chepkorio

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Keiyo Nation . posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share