Emuria Fm 101.3 - Sauti Ya Border

Emuria Fm 101.3 - Sauti Ya Border The Best Busia Border Voice and sole Iteso radio station in Kenya and your favorite voice broadcasting from Busia for Busia and its environs.
(1)

Best in Ateso, luhya and Shwahili Sales No:0717101300

On Air Sms Line: +254777101300
On air calls line: +254777101300

Watu wanne(4) wapoteza maisha busia County ,butula sub County ,marachi Central, kwa ajali ilihusishwa gari aina ya Toyot...
22/12/2024

Watu wanne(4) wapoteza maisha busia County ,butula sub County ,marachi Central, kwa ajali ilihusishwa gari aina ya Toyota saloon car na pikipiki
murumba

PAS Arthur AMUG OSIYA and Eng. Sidai meet in Tororo Uganda in Presense Of Emormor Papa Iteso. Its rumored both are eyein...
22/12/2024

PAS Arthur AMUG OSIYA and Eng. Sidai meet in Tororo Uganda in Presense Of Emormor Papa Iteso. Its rumored both are eyeing for gubernatorial post in 2027. Is something cooking?

Imefika wakatiKaribu  kwenye kipindi   kwa miziki ya kizazi cha sasa ya kumtukuza munguEngineer Parto
22/12/2024

Imefika wakati
Karibu kwenye kipindi kwa miziki ya kizazi cha sasa ya kumtukuza mungu
Engineer Parto

Isaiah 60:23A little one shall become a thousand, and a small one a strong nation: I the LORD will hasten it in his time...
22/12/2024

Isaiah 60:23
A little one shall become a thousand, and a small one a strong nation: I the LORD will hasten it in his time .

Good morning.

Mashabiki wa kituo hiki cha Emuria fm wamepata fursa ya kukutana na kutangamana na watangazaji wa kituo hiki na wafanyik...
21/12/2024

Mashabiki wa kituo hiki cha Emuria fm wamepata fursa ya kukutana na kutangamana na watangazaji wa kituo hiki na wafanyikazi wengine, kwa siku ya kwanza ya msafara [Road show] ya kuwatembelea mashabiki msimu huu wa sherehe za krismasi.

Msafara huo wa Emuria FM ilidhaminiwa na shirika la kupambana na mihadharati nchini NACADA, hoteli ya ITOYA na Arthur Osiya kwa lengo la kuhamasisha jamii hathari za matumizi ya ihadharati msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya.

Wananchi pia wakitakiwa kujitokeza kwenye sherehe za kila mwaka ya jamii ya Iteso Teso night, mwaka huu ukiandaliwa katika shule ya msingi ya Amagoro Desemba 24.

Salamu za kadi na Jaraha .
21/12/2024

Salamu za kadi na Jaraha .

Hapa kutaenda aje? Tetesi za spoti nchini na bara ulaya
21/12/2024

Hapa kutaenda aje?

Tetesi za spoti nchini na bara ulaya

Hon. Oscar Sudi receive an Honorary Doctorate Degree in Leadership, Administration, and Management from Northwestern Chr...
21/12/2024

Hon. Oscar Sudi receive an Honorary Doctorate Degree in Leadership, Administration, and Management from Northwestern Christian University at The Eldoret National Polytechnic.

Karibu  tumumunye,rhumba tamu,rhumba raha,miziki iliyovuma na bado.  Engineer Parto
21/12/2024

Karibu tumumunye,rhumba tamu,rhumba raha,miziki iliyovuma na bado.

Engineer Parto

Former football star Ezekiel Otuoma has passed away.Otuoma, who graced the pitches playing for clubs such as Ushuru FC, ...
21/12/2024

Former football star Ezekiel Otuoma has passed away.

Otuoma, who graced the pitches playing for clubs such as Ushuru FC, FC Talanta, AFC Leopards, Western Stima, Ulinzi Stars, and Muhoroni Youth, was forced to retire from football due to health challenges.

The heartbreaking news was confirmed by his wife, Racheal, through her TikTok account.
RIP

Good morning,DIRA YA WATOTO CHRISTMAS EDITION Unatawatakia wanafunzi na walimu wa shule gani  merry Christmas?
21/12/2024

Good morning,DIRA YA WATOTO CHRISTMAS EDITION

Unatawatakia wanafunzi na walimu wa shule gani merry Christmas?

 .Pata Baraka Takatifu ndani ya Emuria Fm 101.3 - Sauti Ya Border. Ukiwa nami Otiti Edwin.Call/Sms 07251013003;00am Hadi...
21/12/2024

.

Pata Baraka Takatifu ndani ya Emuria Fm 101.3 - Sauti Ya Border.
Ukiwa nami
Otiti Edwin.
Call/Sms 0725101300

3;00am Hadi 7:00am

.

Ni Masafa x press na Jaraha mtu wa Raha .
20/12/2024

Ni Masafa x press na Jaraha mtu wa Raha .

JE UTAFANYA NINI KUHAKIKISHA UKO SALAMA MSIMU HUU WA SHEREHE?
20/12/2024

JE UTAFANYA NINI KUHAKIKISHA UKO SALAMA MSIMU HUU WA SHEREHE?

Leo nmeenda kuspoil mtetezi,good after lunch Acha tu niogope mboga
20/12/2024

Leo nmeenda kuspoil mtetezi,good after lunch
Acha tu niogope mboga

 Taja kazi ya mikono yako.
20/12/2024


Taja kazi ya mikono yako.

20/12/2024
Karibu kilimo Hai
20/12/2024

Karibu kilimo Hai

Address

38
Busia
50403

Telephone

+254717101300

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emuria Fm 101.3 - Sauti Ya Border posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Emuria Fm 101.3 - Sauti Ya Border:

Videos

Share

Contacts

Sales:0725101300/0727350670. Sms: Send to 22384 start with EMURIA. Calls:0777101300. News: [email protected]