DK.90 Uwanjani

DK.90 Uwanjani Sports

12/07/2024

CEO SHIKAMO PARACHICHI AKIPIGA PENAT K**A AZIZI KI

06/07/2024

BaaaaaaaaaaaDooooooooooo siku 03!!!!!!!
04/07/2024

BaaaaaaaaaaaDooooooooooo siku 03!!!!!!!

  Kings FM Radio
04/07/2024

Kings FM Radio

Mechi ya kibabe yenye Hadhi ya Nyota Tano katika Mkoa Njombe Kati ya Utalingolo FC na Ihalula FC Kurindima katika viwanj...
04/07/2024

Mechi ya kibabe yenye Hadhi ya Nyota Tano katika Mkoa Njombe Kati ya Utalingolo FC na Ihalula FC Kurindima katika viwanja vya Ruhuji kataya Utalingolo .

Usipange Kukosa

Mashindano ya Mpete Diwani Cup 2024 Kuanza kuunguruma julai 07,2024 Katika Viwanja Vya Ruhuji  Kata ya Utalingolo Mkoani...
04/07/2024

Mashindano ya Mpete Diwani Cup 2024 Kuanza kuunguruma julai 07,2024 Katika Viwanja Vya Ruhuji Kata ya Utalingolo Mkoani Njombe.

KUHUSU ELIE MPANZU KUJIUNGA SIMBA.K**a Nilivyotoa Taarifa hapo Mwanzo kuwa Simba wamemalizana na Elie Mpanzu.Ni Kweli Si...
19/06/2024

KUHUSU ELIE MPANZU KUJIUNGA SIMBA.

K**a Nilivyotoa Taarifa hapo Mwanzo kuwa Simba wamemalizana na Elie Mpanzu.

Ni Kweli Simba SC walifanya mawasiliano wakala wa Elie Mpanzu walifika makubaliano mazuri na Mchezaji Alijulishwa kuhusu dili hilo la kutua Msimbazi alikubali na alitakiwa baada ya mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia na Timu ya Taifa the Leopard ilitakiwa afike Tanzania kwaajiri ya kusaini official Contract na wekundu wa Msimbazi.

Leo tumefanya mawasiliano na Moja ya Viongozi wa As Vita wamesema hawajapata mawasiliano rasmi kutoka Simba Elie Mpanzu Bado ni wao.

Leo Club ya As Vita wapo Uwanjani katika fainali ya FA ya congo Baada ya hapo ndio mbivu na mbichi zitajulikana kuhusu Elie Mpanzu kutua Simba.

*NILISEMA WAMPE MAPEMA PESA AMALIZIE KUSAINI MKATABA WAO MPAKA LEO BADO TU*

22/05/2024

dk90viwanjani

Mchezaji wa Kimataifa wa klabu ya Wanawake ya Al Nassr, Clara Luvanga 🇹🇿  akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa kl...
21/05/2024

Mchezaji wa Kimataifa wa klabu ya Wanawake ya Al Nassr, Clara Luvanga 🇹🇿 akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa klabu ya Al Nassr (wanaume), Cristiano Ronaldo 🇵🇹

MAONI UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NJOMBE.Mei 17, 2024 Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa Njombe kiliadhimishi sik...
18/05/2024

MAONI UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NJOMBE.

Mei 17, 2024 Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa Njombe kiliadhimishi siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa kufanya Shughuli mbalimbali za Upandaji wa Miti katika Chanzo cha Maji cha (NJOWASA) Kilichopo Kibena ambacho kinasambaza maji Mjini Njombe.

Katika Siku hiyo ya Kuadhimisha Siku ya Uhuru vyombo vya Habari kulikuwa na Mijadala mbalimbali Juu ya Uhuru wa Mwanahabari katika Kuripoti Habari za Kisiasa ,Uchumi na Kijamii, sanjari na hayo kulikuwa na Mdahalo juu ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi Nchini Tanzania ambapo waliweza kujadili Juu ya Hali ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi ambayo kwasasa yanahitaji kuripotiwa kwa jamii iliwaweze kupatiwa elimu ya Mabadiliko hayo pamoja na Matumizi ya Nishati Mbadala(gas) ilikuweza kutunza Uoto wa Asili .

Maoni ya Wanahabari Mkoa Njombe siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari ni Yapi........?

i)UHURU WA MWANA HABARI

Joctan Myefu Mwandishi wa Clouds Media aliweza kutoa maoni juu uhuru wa vyombo vya Habari Kwa taifa letu ........"Tunaweza kusema kwa jinsi ambavyo tuliko toka na Tunakoenda tunaona Kunaunafuu kwa baadhi ya maeneo ambayo nii kupunguza usajili katika vituo vya mitandaoni (Online) kutoka shilingi milioni 1 hadi laki 5......unaweza kuona angalau kuna mabadiliko .... ushirikiano baina serikali na wanahabari unaimarika tofauti na tulikotoka ...

Changamoto alizobaini Mwandishi wa Clouds Media anaeleza ...." Ni kweli tunafanya kaxi nyinginza kuhabarisha umma lakini tunaiomba serikali ibadilishe mfumo wa Takwimu kwa wanahabari kwamba kila mwandishi iliaweze kufanya ambazo zitakuwa na takiwimu atahitaji kwenda kwa mamla zinazohusu na masuala ya Takwimu jambo ambalo lilaleta shida kwasababu Muda mwingine Takimwu zisizo pendwa na Mamlaka huchukua Muda Sana Kuzipata Jambo ambalo linawapa shida wanahabari kuripoti Habari hizo k**a Ulawiti , Ubakaji ,Rushwa na Unyanyasaji wa Kijinsia"

Dikson Kanyika Mwandishi wa Habari wa Chombo cha Star TV Mkoa Njombe juu ya Uhuru wa Vyombo vya Habari alisema kuwa ..bado kunahitaji mabadiliko makubwa ya kuhabari umma juu ya uhuru wetu binafsi ili tuweze kuibua Changamoto za wananchi na sio kuandia habari zinazo wafurahisha watawala ..iwe sheria ambayo itamuruhusu mwanahabari kuhabarisha umma pasipo kuvuja maadili kwa matakwa ya jamii na sio kumfurahisha mtu ,"Ndio mana tunapata changamoto kubwa kubabarisha uuma juu ya habari za Uchunguzi .

ii) Changamoto za Mabadiliko ya Tabia ya Nchi

Emilia Msafiri Mwandishi wa Kings FM alitoa Maoni yake juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi alisema kuwa “nikweli Serikali inania njema ya kutumia nishati mbadala kwa wananchi lakini changamoto iliyopo ni wananchi kutokuwa na uwezo wa kumudu kutumia nishati mbadala (gesi) badala ya kutumia Mkaa ambao umetajwa kuchangia kuharibu uoto wa asili ,kuharibu vyanzo vya maji na kusababisha kutokana na shughuli za kibina damu kuchukua hatua kubwa katika ukataji wa miti……sasa Serikali ifanye nini ?? seriakili iweze kutengeneza mazingira rafiki kwa wananchi hawa kupata nishati hiyo mbadala ambayo itapatikana hata kwa bei nafuu au …..mtu anafikilia kununua mtugi wa gesi wa elfu hamsini anaona ni bola akanunue mkaa wa roba mbili za makaa ambazo zitamfikisha kwa zaidi ya miezi 5 , elimu wananchi wanayo lakini ugumu wa Maisha unapelekea kushindwa kutumia nishati mbadala mbadala.

Clef Mlelwa Mwandishi wa Ice FM Radio alisema ilituweze kuvuka katika changamoto hiyo nivema serikali iboreshe mfumo wa matumizi ya gesi na kuwena urahisi wa upatikanaji wa huduam hizo hadi vijijini ndani …ndani kabisa …. (alisema Clef Mlelwa kwa msisitizo)
Emmanuel Mkulu mwandishi wa EATV Njombe alisema waandishi wa jengewe uwezo wa kuripoti habari za mabadiliko ya nchi ili kuweza kuwa na ufanisi wa kuwasaidia wananchi namna bora ya kuhabarisha umam pasipo minong’ono na vigugumizi miongoni mwao ….
“Kwa mfano mwaka huu kumetokea majanga makubwa sana ya Hanang Manyara, Mbeya Maporomoko milimani, Wingi wa Mvua na kupelekea uharibifu wa maliza wananchi pasipo kuwa na elimu na maeneo mengine yaliyokubwa na changamoto ….kumbe watu hawa wangepewa elimu kusingekuwa malalamiko pale ambapo changamoto hizi zikijitokeza”
Mwisho.

Tuendelee kuviamini vyombo vyetu vya habari kwa namna vinavyo tekeleza majukumu yao kwa wakati licha ya kupitia na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo
Na Mario Mgimba Mwandishi

MPETE: MMETUHESHIMISHA WANANJOMBEBaada ya Hausung FC  Kufanya Vizuri katika hatua ya Nane  bora ya Ligi ya Mabingwa wa M...
20/04/2024

MPETE: MMETUHESHIMISHA WANANJOMBE

Baada ya Hausung FC Kufanya Vizuri katika hatua ya Nane bora ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa na kufanikiwa kupanda Ligi daraja la Pili
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe.Erasto Mpete amewapongeza Hausung FC Kwa kuipeperusha Bendera ya Mkoa Njombe baada ya ukame wa muda mrefu wa kitokuwepo na timu ambayo inafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.

Ametoa salamu za pongezi hizo baada ha Hausung FC kuwasili Mkoa Njombe wakitokea Mkoani wa Dodoma ambako walikuwa wametia kambi kwa ajili ya mashindano hayo.

Akiendelea kuzungunza na Uongozi na Wachezaji hao Mhe Erasto Mpete amewapongeza wadhamininwote waliohakikosha HAUSUNG FC wanafanikiwa akiwemo Mbunge Jimbo la Njombe Mjini ,Taasisi ya Mhe. Pindi Chana Foundation ,Chama cha Soka Mkoa Njombe pamoja Uongozi watimu hiyo kwa kuwa wamoja mpka wanafanikiwa kusonga mbele hatua inayofuta.

Ndifwa Katibu wa Chama cha Soko Mkoa Njombe amesema wao k**a chama cha soka watashirikiana kuhakiksha wanafanya vizuri katika hatua zinazofuata wanafanya Vizuri.

HAUSUNG FC KINARA KUNDI B Timu yetu bingwa wa mkoa wa Njombe (HAUSUNG FC), jana kwa hatua nyingine wamefanikiwa kumaliza...
13/04/2024

HAUSUNG FC KINARA KUNDI B

Timu yetu bingwa wa mkoa wa Njombe (HAUSUNG FC), jana kwa hatua nyingine wamefanikiwa kumaliza ligi na kuongoza kundi ktk ligi ya Nane Bora.
Sasa kesho tr 14.4.24 ni mechi ya nusu fainali, ambapo ikishinda inapanda daraja moja kwa moja.
Niombe tuisapoti .
Natanguliza shukurani kwa sapoti yako na tunawapongeza wote wanaosapoti timu k**a Mh Deo Mwanyika (MB) na viongozi wengine na wadau wote.

Mchango wa kuiwezesha Hausung FC. Lipa namba (mpesa) *54229763* au NBC account *039172000499* HAUSUNG FOOTBALL CLUB.
Timu iko vizuri sana, ombi ni sapoti kwa sisi sote Wananjombe.

Au waweza wasiliana na
*Erasto Haule*
*+255754710256*
*Mkurugenzi wa timu*

Asante.
Erasto B Mpete
Mwenyekiti wa Halmashauri Mji Njombe na Mdau

*FAHAMU: Dabi 7 Hatari Zaidi Katika Historia Ya Mpira Wa Miguu* Soka ni mchezo mkubwa zaidi duniani, ambapo mameneja, wa...
19/03/2024

*FAHAMU: Dabi 7 Hatari Zaidi Katika Historia Ya Mpira Wa Miguu*

Soka ni mchezo mkubwa zaidi duniani, ambapo mameneja, wachezaji, na mashabiki hutoa asilimia mia moja ili kuona timu zao zinapata ushindi. Si jambo la kushangaza kwamba baadhi ya mechi zinaweza kufikia kiwango cha juu cha hali ya kutofautiana na maneno yakibadilishwa kati ya pande zinazopingana. Hakuna kitu kinachochomoza hisia hizi k**a vile uadui mkubwa wa soka.
Fahamu mechi 7 za dabi ambazo huwa ni hatari sana katika mchezo wa soka duniani

1. Boca Juniors vs River Plate (The Superclasico) – ARGENTINA
2. Galatasaray vs Fenerbahce (The Intercontinental Derby) – TURKEY
3. Palermo vs Catania (The Sicilian Derby) – ITALIA
4. Rangers vs Celtic (The Old Firm Derby) - SCOTLAND
5. Al Ahly vs Zamalek (The Cairo Derby) – EGYPT
6. West Ham vs Millwall (The East End Derby) - ENGLAND
7. Red Star/Crvena Zvezda vs Partizan Belgrade (The Eternal Derby) – SERBIA

*FAHAMU: KDB Wa Man City Angechezea Timu Ya Taifa Ya Burundi*K**a ulikua hufahamu nikufahamishe tu kuwa mchezaji wa Manc...
19/03/2024

*FAHAMU: KDB Wa Man City Angechezea Timu Ya Taifa Ya Burundi*

K**a ulikua hufahamu nikufahamishe tu kuwa mchezaji wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji Kevin De Bruyne, angeichezea timu ya taifa ya Burundi kutokana na kuwa mama yake Bi Anna De Bruyne alizaliwa katika nchi ya Burundi hivyo kumfanya kufata uraia wa kuzaliwa wa mama yake wa Burundi.

Imeshindikana kwa kuwa waliondoka na kwenda Ulaya ambapo aliamua kuitumikia timu ya taifa ya Ubelgiji ambayo ndio ya asili kwa baba yake ambapo alianza kucheza mpira akiwa na umri mdogo kabisa.

🇧🇮

Muonekano wa Uwanja wa Dkt.Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kujengwa Jijini Arusha kwa gharama za kiasi cha Shilingi Bil...
19/03/2024

Muonekano wa Uwanja wa Dkt.Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kujengwa Jijini Arusha kwa gharama za kiasi cha Shilingi Bilioni 286 hadi kukamilika kwake.

Umepokeaje Hili? 🤓

14/03/2024

Mwenyekiti wa Halmasahuri ya Mji Njombe amewakumbusha wachezaji wa mpira wa miguu kuweka akiba pale ambapo wanapata fedha .

14/03/2024

WADAU NJOMBE WATAKIWA KUIUNGA MKONO HAUSUNG FC

WYDAD YAIFANYIA UMAFIA SIMBA 🔥🔥🔥TAARIFA mpya kutoka nchini Morocco zimethibitisha kuwa. Wydad AC watatuma wawakilishi wa...
27/02/2024

WYDAD YAIFANYIA UMAFIA SIMBA 🔥🔥🔥

TAARIFA mpya kutoka nchini Morocco zimethibitisha kuwa. Wydad AC watatuma wawakilishi wao nchini Tanzania ili kufuatilia kwa karibu mchezo kati ya Simba na Jwaneng Galaxy kuhakikisha Simba hatengenezi mazingira ya ushindi.

Wydad wana matumaini wanaweza kupata ushindi dhidi ya ASEC na pia wanatumaini Galaxy wanaweza kuifunga Simba Dar es Salaam.

WANASIMBA MMESIKIA HUKO?

ANAANDIKA WILSON ORUMA"KIPIMO CHA MAFANIKIO CHA SIMBA SPORT CLUB HAKIWEZI KUWA KIPIMO CHA YANGA."Nimeona Sehemu watu wan...
26/02/2024

ANAANDIKA WILSON ORUMA

"KIPIMO CHA MAFANIKIO CHA SIMBA SPORT CLUB HAKIWEZI KUWA KIPIMO CHA YANGA.

"Nimeona Sehemu watu wanashangilia kufuzu kwa ya Yanga Africa hatua ya Robo fainali mpaka wanapitiliza

Eti viongozi wa Simba Sports Club wanatakiwa kujifunza kutoka viongozi wa Yanga. Kwenye kitu gani hasa? Mbona watu wasahaulifu kiasi hiki?

"Guys mnapo taja viongozi wa Simba mnaongelea Robo Final 3 mfululizo za CAF CHAMPIONS LEAGUE. Tena robo Final ya msimu uliopita Simba haikuwa dominant team wa Tanzania(Bingwa ligi ya Tanzania)

"Hii ni Robo Final ya kwanza ya Yanga tangu kuumbwa kwake kwa misingi ya nchi hii.

"Nafikiri busara ingetumika kuwapongeza viongozi wa Yanga kwa kujifunza kutoka kwa viongozi wa Simba na hatimaye wamejipata

"Kitu kingine nikazie tuwaheshimu matajiri sio kitu kizuri Yanga kutofika Robo final kwa miaka yote hiyo

"Nilitaka kurekebisha tu huo upotoshaji walioleta kuhusu GONGONGOWAZI"

"Marefa walio chezesha  AFCON ya mwaka huu viwango vyao kwenye maamuzi ni vya  kustaajabisha. VAR ni k**a wameivumbua wa...
08/02/2024

"Marefa walio chezesha AFCON ya mwaka huu viwango vyao kwenye maamuzi ni vya kustaajabisha. VAR ni k**a wameivumbua wao Kwa sababu wanaitendea Haki . English Premier League na Ulaya yote wana mengi ya kujifunza toka Kwa wamuzi Hawa wa AFCON."

🗣️ Gary Neville "Katema madini baada ya kuona AFCON inaelekea tamati hakuna mtu yoyote anayelia na mwamuzi .

Hakika hii ni AFCON ya kwanza kabisa Haina lawama yoyote Motsepe kautwanga mwingi sana.

BADO INANIIJIA NDOTONINimelala lakini sipati usingizi how come yaani mchezaji wa Yanga anakwenda kufukua Goli la mpinzan...
06/02/2024

BADO INANIIJIA NDOTONI
Nimelala lakini sipati usingizi how come yaani mchezaji wa Yanga anakwenda kufukua Goli la mpinzani wake na hali ya kuwa hilo goli yeye ndo alikuwa analitumia kabla ya Half time ? Means ulichukifukia ndo ulikuwa unaenda kukitoa means kinaku-cost wewe

K**a haya yanaendelea yakiaminiwa ni ushirikina vipi mzize uanze kukosa magoli utaacha kwenda kwa mganga ? hii inaendelea kunidhihirishia kwamba wachezaji mnalogana sana thus hamfiki mbali

How Come Proffesional player unachukua Taulo la kipa Mohammed wa Dodoma Jiji na kulitupa ? kwamba hii nchi team zenye haki ya kushinda ni Yanga tu hizi zingine zikishinda na ku-deffence zimetumia uchawi ?

Jaribu kuwaza tu yule Mwaterema , Adeyuni Saleh , Sereri , mchezaji wa Dodoma Jiji achukue Taulo la kipa wa Yanga kisha alitupe kule 🤔 imagine tu hali ingelikuwaje ? Lakini kwakuwa ni Dodoma jiji how come yaanj

Hii siyo kweli mnapaswa kuandika barua ya kukemea huu uonevu mliofanyiwa , Jamii ya soka itambue kabisa kilichofanyika siyo kitu kizuri , Mkikaa kimya means mnataka kuendelea kuruhusu huu uoumbavu uendelee

Yanga hamkuwa mnaamini kwamba Kipa Mohammed alikuwa na siku nzuri kazini ? amechomoa michomo mingi ? kwamba hilo hamliamini nyie mnaamini kwamba walitumia uchawi ?

Mchezaji Proffesional uanaenda kufukua Goli k**a tunacheza cha ndimu , does this true kweli Mzize 🤔 Unataka kuniaminisha kwamba wewe uchawi unaujua vizuri sana siyo , hizo ni dalili za unproffesional na kwa maan hii ni ngumu sana kusonga mbele nyie chezeni hii ligi yenu ya uchawi tu

UPUMBAVU SANA

WAJUMBE WAMGOMEA ETO'OOmbi la Samuel Eto'o la kujiuzulu k**a rais wa Shirikisho la Mpira Cameroon 🇨🇲 FECAFOOT limekatali...
06/02/2024

WAJUMBE WAMGOMEA ETO'O
Ombi la Samuel Eto'o la kujiuzulu k**a rais wa Shirikisho la Mpira Cameroon 🇨🇲 FECAFOOT limekataliwa na k**ati kuu.
K**ati Kuu Bado inaamini Eto'o Ndiye mtu Sahihi wa kuliongoza Shirikisho hilo Bila kujali matokeo mabaya waliyo yapata Cameroon kwenye .

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Cape Verde Bubista amesema hajawahi kumwona Golikipa mwenye macho makali k**a Ronwen Will...
04/02/2024

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Cape Verde Bubista amesema hajawahi kumwona Golikipa mwenye macho makali k**a Ronwen Williams.

Bubista amesema hapo Jana walichagua wachezaji wa kiwango Cha juu ambao wamezoea kupiga penalty lakini Jana walikutana na Golikipa ambaye ana ubora mkubwa eneo hilo .

Kocha huyu amempa Sifa Lukuki Ronwen Williams na kusema huyu ni Golikipa bora Afrika 🌍 Kwa sasa..
Kwa sababu aliyo fanya langoni Jana yanashangaza hata wachezaji hawakuelewa Golikipa huyu anawezaje kutoa michomo Yao.

Bubista amesema bila ubora wa Ronwen Williams walikuwa wanashinda mchezo ule ndani ya dakika 90 tuuu .

  AFCON2024 KWA TAIFA LETU Ifike Mahali Timu yetu Taifa Izinduke kutoka usingizini kwanamna mataifa ambayo uanalingana n...
22/01/2024

AFCON2024 KWA TAIFA LETU

Ifike Mahali Timu yetu Taifa Izinduke kutoka usingizini kwanamna mataifa ambayo uanalingana na sisi kwa ubora wa Ranks za FIFA wameweza kuonesha kitu kuwa hawajabahatisha kufika katika mashindano ya AFCON

Toka tuanze kucheza wachezaji wetu wanaonesha kukata tama as if k**a tumenda kutalii ....ukitazama Mataifa ambayo sisi na kwanamna nyingine tunalingana viwango k**a Cap Verde ,Gambia,Namibia ,Maurtania,pamoja na Msumbiji kwakweli wenzetu wanaonesha kukua katika soka lao licha ya sisi kukusanya wazungu kutoka ulaya lakini hawatufikoshi katika Nchi ya Ahadi ambayo kila mtanzania anatamani aifikie.

Mataifa niliyo yataja hapo kwa aliyefuatilia AFCON licha ya uchanga wao laikini wamemesha ushindani mpaka unatamani tungekuwa na raia bao wanapambana kwa namna ile watu wanauchu na TAIFA lao sisi wachezaji wetu wapi wanafeli ???
Wakiwa kwenye klabu zao mbona wanaonesha kiwango kikubwa why wakija kuiwakilisha taifa wanacheza Tofauti ???

Wito....Niombe Viongozi wa soko la Tanzania watengeneze misingi imara ya Soka ambayo itatuvusha katika Nchi ya Ahaa tuwatengeneze vijana wetu waweze kucheza soka la ushindani pamoja na kuwatafutia accademy kubwa sehemu ambazo soka limekua England,Spain,Italy na kwingineko.
.......Yangu hayo k**a mwenzangu unamaoni wasilisha hapa.........

SAMUEL ETO'O ATOA YA MOYONIUjumbe wa moja kwa moja wa Samuel Eto'o kwa wachezaji wa Cameroon baada ya kushindwa dhidi ya...
21/01/2024

SAMUEL ETO'O ATOA YA MOYONI

Ujumbe wa moja kwa moja wa Samuel Eto'o kwa wachezaji wa Cameroon baada ya kushindwa dhidi ya Senega:

“Ndugu zangu wapendwa, nimewaelewa, wengi wenu hamjazaliwa Cameroon na hamjawahi kuchezea klabu yoyote Cameroon.

Ushauri wa kocha wa Cameroon ni wa manufaa kwa mchezaji wa soka tangu mwanzo wa kazi yake hadi mwisho. Wewe uliyezaliwa huko una haki nyingi sana juu ya viongozi. Cameroon walinifundisha kuwa mimi ni mwanajeshi ndani ya timu ya Taifa. Nitakufa na roho hii.

Cameroon imepitia fedheha kwa sababu tu upendo kwa Nchi ya Baba haupo hapo kwa 100%. Samahani kwa kuongea juu yangu mwenyewe. Ningeweza kucheza mechi mbili kwa siku moja kwa ajili ya upendo wa nchi yetu nzuri. Nilifanya, Roger Milla alifanya hivyo na François Omam Biyick alifanya hivyo.

Unaamini kuwa Cameroon walitulipa zaidi ya vilabu vyetu? Hata 1/10 ya yale tuliyopokea mahali pengine.

Unacheza na akiba nyingi, unaogopa nini? Kufa kwa ajili ya nchi kunapita pesa zote duniani. Manga Onguené alivunja mguu kwa ajili ya nchi hii, alikuwa bora kuliko mimi wakati huo. Anaendelea kuheshimu nchi yake licha ya kila kitu.

Ninachokumbuka kutoka kwako Ijumaa hii. Tulifanya makosa kukuleta ili ucheze bendera. Lakini baada ya AFCON mambo yatabadilika. Tunakwenda kufanya mtihani wa uzalendo kabla ya kuwa na vijana wa Cameroon wanaocheza timu ya Taifa. Mwendelezo mzuri katika shindano!" ( CANAL+CAN)

Tanzania ni kubwa mara 234 zaidi ya Cape Verde. Pia Idadi ya watu Tanzania ni Mara 108 zaidi ya Cape Verde, ambayo ina t...
21/01/2024

Tanzania ni kubwa mara 234 zaidi ya Cape Verde. Pia Idadi ya watu Tanzania ni Mara 108 zaidi ya Cape Verde, ambayo ina takribani watu Laki 6 tu lakini wamekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora AFCON tena kwa kuongoza Kundi la Kifo lenye Egypt na Ghana. Bongo tunakwama wapi?

Address

Derry

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DK.90 Uwanjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DK.90 Uwanjani:

Videos

Share


Other News & Media Websites in Derry

Show All