09/01/2025
Leo msani Sapologuano Odenumz Yakutumba aweka wadhi kuhusu mambo mengi kuhusiyana na commentaires zinazo tambaaa sana , asema yeye anakutanaga na wasanii wengi ila Hana shobo ya picha hata kupiga picha na Rayvanny amelazimishwa Interview hii hapa 👇
: .1. Mambo Vipi tumeoma post Yako kwamba Kivu Akuna msanii anaye chezwa inje Zaidi Yako , je unauhakika ukifanya show Bukavu Goma Butembo unaweza Pata batu ?
2. Vipi collabo Yako n'a Rayvanny, pson ulizo sema zinakuja soon ?
3. Na ma fans wasubirie lini vidéo ya helena ?
4. Ujumbe kwa wale mashabiki wanao sema kwamba collabo Yako n'a Aslay haipo ?
5. Tupe top5 ya wasanii unao waona kiupande wako wamefanya Vizuri mwaka WA 2024
sapologuano : .1 yes k**a nilivo ongea Na ndo ivo, nimesema akuna musani wa uvira anaye chezwa Sanaa Kivu kuliko mimi, Na izo sehemu unazo zitaja apo uwaga wana Book SAPOGANG management kwa ajili ya shows, sema awajawai ku fikia dau ambayo Sisi tuna itaji, ambayo tuna omba kwa shows za inje
2 kuhusu collaboration Na rayvanny akuna sehemu mimi nimewai kusema kuwa Nina collaboration Na rayvanny, aliye tangazaga kuwa wimbo unakuja ni promotor PCK , ndo ambaye ali tangazaga kuwa Yakutumba anakuja Na wimbo Na rayvanny baada yaku muleta rayvanny kwa shows Burundi, kwahiyo swali ilo nafikiria ni vizuri snaaa uki muhuliza promotor PCK atakupajibu nzuri sanaa kuliko mimi
Kuhusiaana Na Pson Zubaboy kazi ita fanyika tu, sema tu ratiba yake Na ya kwangu avijakaa sawaa, unajuwa Hao wasani nakutanaga nao ila mambo ya mapicha picha ndo uwaga sipendagi, unajuwa mimi nakuwaga na amini Snaaa kwenye kazi Na sio ku omba omba picha, mahana ata lile picha mimi Na rayvanny ni promotor PCK ndo wali kuwaga Na ongea Na rayvanny appel vidéo wakati tupo naye kwenye hôtel Kiriri, akawa ame muambia shika picha Na Dogo, ndo Kaka yake Na PCK akawa ame tushika picha, vile vile PSON tumewai kutana Lubumbashi ila nafikiria akuna sehemu umewai ona picha, sababu mimi Na shobo zama picha picha k**a wasani wengine sinaga
3 vidéo ya HELENA itatoka huu mwaka mahana ni kitu nilikuwa nime wa ahidia, sema imekumbana Na kazi Yang Na Aslay na mupango Wang Na management ni kazi ya ASLAY ku achiwa huu mwezi wa 1 , ila vidéo ya HELENA lazima itoke kabisa, mahana tuli kwama ku shoot baahazi ya visini kutokana Na my brother King-Knife mwenyekiti kuna vitambulisho alikuwa Hana, ilikuwa na takiwa avipate, sasa vikawa vime tubania kabisa ku shoot ivo vipande vinavobaki
4 unajuwa kila Mara nikisha tangaza collaboration uwaga watu wanapinga, tokea nimefanya na ENOCK BELLA watu wali pingaka kazi ikatokaa, Stamina shorwebwenzi watu wali semaga Dogo Yakutumba awezi kufanya Na STAMINA lakini kazi ilitoka Na ikawa hit KIVU, baada ya iyo nika tangaza kazi Yang Na Nay wamitego tukiwa na Afande Ready, mupaka sasa kuna watu hawana Imani k**a wimbo huo upo, unajuwa nikisoma commentaire Zao Na chekaga Snaaa, collaboration Na Aslay inakuja huu mwezi wa 1 Na ni ngoma kubwa Sanaa, ita hit kila Kona, Na ndo wimbo ambao nime imba ndani ruga nyingi kuliko wimbo Wang wowote, wimbo ipo mélange takribani lugha 7 hivi ao 8
5 : wasani wa 5 ambayo wamefanya vizuri huu mwaka siwajuwe, mahana huu 2024 mwaka nilikuwa un peu busy Na Masomo Hope Africa university, ndomana ata speedy Yang yaku achia migoma muda wote ilikuwa sio k**a zamani
fans Belami Muka Mista Chipimbi Og BAGRESS MUSIC Dj GRACE DEVIS KHAN Sanju man Mr Gave Xender Swedy Prof mirror Shaddy Wanni Mr alimasi Fido drc officiel Baba levo Nagwa og MZ TV Uva boy danses CLAM CRIS Vladmir shakis boy MASTER UVA Mwenye Byake Shakira Shady Gabr Swaddy MAN BEST Africano nyuki Nandy Diamond Platnumz JUX Mbosso Khan Beka Flavour Bargoss