Simulizi Planet

Simulizi Planet Sikiliza simulizi tamu za kusisimua, kuelimisha na kuburudisha.

Una kısa gani ambacho kiliwahi kukutokea maishani na hutaweza kukisahau mpaka leo? Tutumie story yako kwa kutumia link h...
07/28/2024

Una kısa gani ambacho kiliwahi kukutokea maishani na hutaweza kukisahau mpaka leo? Tutumie story yako kwa kutumia link hii: https://ngl.link/simuliziplanet
Vipi kwenye huu mkasa wewe ungeweza kuukwepa?

Maisha ni kusaidiana. Urafiki wa aina hii ndio unaotakiwa. Vipi wewe na rafiki yako/zako mlifanyiana nini kizuri au kiba...
07/25/2024

Maisha ni kusaidiana. Urafiki wa aina hii ndio unaotakiwa. Vipi wewe na rafiki yako/zako mlifanyiana nini kizuri au kibaya? Tuma story yako kwenye link hii: https://ngl.link/simuliziplanet

Simulizi yako ni funzo na mkombozi kwa wengine. Karibu na share nasi simulizi yako kuhusu maisha kwa ujumla, kazi na mah...
07/25/2024

Simulizi yako ni funzo na mkombozi kwa wengine. Karibu na share nasi simulizi yako kuhusu maisha kwa ujumla, kazi na mahusiano. Story yako tutairusha katika mitandao yetu ya kijamii. Bonyeza 👇 kutuma story yako ya kweli kimaisha.

: send me anonymous messages!

01/07/2024

Sehemu ya tatu ya simulizi ya Misukosuko Kitandani. Enjoy.

Twende sambamba
12/07/2023

Twende sambamba

We have reached 25K followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉
11/23/2023

We have reached 25K followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

09/21/2023

Hii ndio sehemu ya kwanza ya simulizi tamu sana ya Misukosuko kitandani. Sikiliza kwa makini na kisha bonyeza link ifuatayo kufuatilia sehemu zinazofuata katika YouTube yetu: https://www.youtube.com/

09/06/2023

Dickson na Janet, wamechelewa kurudi nyumbani na sasa wamekutana uso kwa uso na Baba yake Janet akiwa amekasirika k**a Simba mla watu. Nini kitatokea? Sikiliza sehemu ya 6 ya simulizi tamu sana ya Ndoto Yangu, Maisha Yangu. Fuatilia simulizi kwa kubonyeza YouTube link hii: https://www.youtube.com/?mibextid=Zxz2cZ

Wewe simulizi inakusaidiaje?
09/06/2023

Wewe simulizi inakusaidiaje?

09/05/2023

Janet na Dickson, wako katikati ya majibizano ya risasi kati ya jeshi la polisi na majambazi. Watanusurika? Sikiliza sehemu ya 5 ya simulizi ya Ndoto Yangu, Maisha Yangu kupata majibu.

Unapenda kusikiliza simulizi? Bonyeza send message hapo chini na kisha chagua simulizi ambayo ungependa kusikiliza.
09/05/2023

Unapenda kusikiliza simulizi? Bonyeza send message hapo chini na kisha chagua simulizi ambayo ungependa kusikiliza.

Fuatilia simulizi ya Misukosuko kitandani katika YouTube.
09/04/2023

Fuatilia simulizi ya Misukosuko kitandani katika YouTube.

Kutana na Jacob Moriss kijana mwenye mafanikio ila mwenye shida na mke wa kufurahia mafanikio yake. Nini kinatokea? Fuatilia simulizi hii tamu sana.

09/04/2023

Sehemu ya 4 ya simulizi ya Ndoto Yangu, Maisha Yangu.

08/28/2023
Nukuu ya wiki
08/28/2023

Nukuu ya wiki

08/26/2023

Uzuri na mvuto alionao Fetty unamfanya Jacob kuduaa na sasa macho yake yamekutana na macho ya Fetty. Sikiliza sehemu hii ya pili ya simulizi tamu sana ya Misukosuko kitandani.

08/23/2023

Dickson anamuona mhudumu mrembo wa ndege, anamuita na kisha anaanza kumnong'oneza....endelea kufuatilia.

08/22/2023

Kila mtu katika maisha ana ndoto yake ambayo anaipigania ili kufanikiwa. Kutana na kijana Dickson akipambana ili kutimiza ndoto yake. Wewe ndoto yako kubwa kimaisha ni ipi? Sikiliza simulizi na kisha tuambie ndoto yako.

Happy New Week
08/21/2023

Happy New Week

05/30/2023

Tunakuletea sehemu ya kwanza ya simulizi ya misukosuko kitandani. Misukosuko ipi ambayo inatokea kitandani? Sikiliza mwenyewe.

Kumekucha, usikose kufuatilia simulizi hii tamu sana inayoanza kuruka hewani siku hii ya leo, saa moja kamili usiku, saa...
05/30/2023

Kumekucha, usikose kufuatilia simulizi hii tamu sana inayoanza kuruka hewani siku hii ya leo, saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki.

Ili usipitwe follow
05/04/2023

Ili usipitwe follow

Mambo mazuri yanakuja ndani ya 2023. Kheri ya mwaka mpya
01/01/2023

Mambo mazuri yanakuja ndani ya 2023. Kheri ya mwaka mpya

Address

Thornbury, ON
N0H2P0

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simulizi Planet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simulizi Planet:

Videos

Share


Other Digital creator in Thornbury

Show All

You may also like