18/07/2024
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Umoja radio Bado inatambua umuhimu wenu mashabiki wetu.
Tunaamini kuwa ni muda sasa Bado tupo kimya, lakini hatujakaa kimya kwani bado tunajaribu kuhakikisha tunawafikia.
Kwa mawasiliano zaidi tuma barua pepe yako kupitia [email protected]