AFGFa

AFGFa This Vidèo is Trènding All 0vèr South African Social Mèdias

04/09/2022

Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba 12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu k**a Mfalme Zumaridi na wenzake 83 badala yake shauri hilo litasikilizwa na Hakimu Mkazi, Clescensia Mushi.
Jumatatu Agosti Mosi 2022 kesi hiyo imeitwa kwa ajili ya kusikiliza hoja kutoka kwa mawakili wa utetezi jambo ambalo halikufanikiwa baada ya Hakimu Mkazi, Clescensia Mushi kupanda mahak**ani hapo na kutangaza kwamba shauri hilo limepangwa chini yake kuanzia leo huku akiitaarifu mahamak**a kwamba atasikiliza shauri hilo kwa siku tatu mfululizo kuanzia Agosti 15 mwaka huu.

Bila kutaja sababu za Ndyekobora kuondolewa, Mushi aliagiza upande wa Jamhuri kupeleka mashahidi watatu siku hiyo ili kuendelea na usikilizaji wa ushahidi baada ya shahidi mmoja kati ya 20 wa Jamhuri kumaliza kutoa ushahidi wake chini ya Hakimu Ndyekobora.

04/09/2022
04/09/2022

hi

Address

Pretoria

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFGFa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share