
02/09/2025
MI5 TENA🔥💚💛
Safari ya Miaka Mitano Iliyopita ni Ushahidi, Safari ya Miaka Mitano Ijayo ni Ahadi.
Samia Suluhu Hassan si tu Rais, bali ni chaguo la Watanzania kwa 2025–2030.
Kwa Kazi na Utu, CCM tayari imeshinda mioyo na imani ya wananchi.
'
KaziNaUtuTunasongaMbele