Ng'e Amazing Gospel

  • Home
  • Ng'e Amazing Gospel

Ng'e Amazing Gospel Official ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel page
(1)

Friday morning prayers โœ… ยป Ng'e Amazing Gospel  :- James 1:17 Every good and perfect gift is from above, coming down fro...
26/08/2024

Friday morning prayers โœ… ยป Ng'e Amazing Gospel :- James 1:17 Every good and perfect gift is from above, coming down from the Father of the heavenly lights, who does not change like shifting shadows.

In the Name of the Father, the Son and the Holy spirit, amen ๐Ÿ™

Our Father, Who art in heaven, Hallowed be Thy Name. Thy Kingdom come, Thy Will be done, On earth as it is in Heaven. Give us this day, our daily bread, And forgive us our trespasses, as we forgive those who trespass against us. And lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen ๐Ÿ™

Gracious Father, the Giver of all good gifts, I bow before You this Friday, my heart brimming with gratitude for the blessings of this week. As I prepare to usher in the weekend, I seek Your continued guidance and favor. Thank you Lord, for your Friday blessings on my life.

Lord Jesus, You have faithfully guided me through the trials and triumphs of the past days. I acknowledge Your loving hand in every accomplishment, Your comforting presence in every challenge. I thank You for the gift of work, for the opportunities to learn and grow, and for the strength to carry out my duties.

As I wind down from the weekโ€™s labor, I pray for a peaceful and restful weekend. Bless my home, my family, and my friends. Let our time together be filled with joy, laughter, and unity. Let us use this time to rest, reflect, and rejuvenate, remembering always to give thanks for Your bountiful blessings.

May Your blessings overflow, Lord, not just for me, but for those around me. Help me to be a blessing to others, reflecting Your love and grace. And, as I step into the weekend, I seek Your peace, protection, and provision, in Jesus Mighty Name, amen ๐Ÿ™๐Ÿ™

May the grace of our Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit, be with us all evermore. Amen๐Ÿ™๐Ÿ™.

Have a successful weekend ๐Ÿ‘‹ ยปยป This is ยป Ng'e AmNg'e Amazing TV

KWANINI UNADHARAU MZAZI WAKO??Unatafuta laana  unaweza jikuta mikosi inakufuata kila uendako na kila ulifanyalo halifani...
10/09/2023

KWANINI UNADHARAU MZAZI WAKO??

Unatafuta laana unaweza jikuta mikosi inakufuata kila uendako na kila ulifanyalo halifanikiwi sababu wazazi umewasahau

Soma hiiitakusaidia

Bwana Yesu asifiwe

Leo napenda nikufundishe kitu
Jitahidi kumuheshimu mzazi wako awe aliyekulea au wa kukuzaa weka heshima kwani maombi yao wakiugua kwa hufika mbele za Mungu haijarishi anatenda dhambi lakini akiugua kwa ajili yako utapata shida kwani anayo mamlaka juu yako kufanya chochote kwa ajili yako
Hata biblia inalizungumzia hilo ndio maana hata Mungu aliliweka katika amri zake 10 kuwa waheshim baba na mama ili upate heli na maisha marefu duniani soma kutoka 20:1-

Katika hili Kuwa heshimu baba yako na mama ni kuwa wa heshima katika usemi na tendo na kuwa na nia ya ndani ya heshima kwa hali yao. Neno la Kigiriki kwa heshima linamaanisha "stahi, tuzo, na thamani." Heshima haileti sifa tu bali hata cheo. Kwa mfano, baadhi ya Wamarekani wanaweza kutokubaliana na maamuzi ya Raisi, lakini wao bado wanapaswa kuheshimu nafasi yake k**a kiongozi wa nchi yao. Vile vile, watoto wa umri wote wanapaswa kuwa heshima kwa wazazi wao, bila kujali k**a wazazi wao "wanastahili" heshima au hawastahili.

Mungu Anatusihi tuheshimu baba na mama. Anathamini kuwaheshimu wazazi sana hadi akaijumlisha katika amri kumi (Kutoka 20:12) na tena katika Agano Jipya: "Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki. Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii nidyo amri ya kwanza yenye ahadi, Upate heri ukae siku nyingi katika dunia" (Waefeso 6:1-3). Kuwaheshimu wazazi ndio amri pekee katika maandiko inayoahidi maisha ya muda mrefu k**a malipo. Wale ambao uheshimuwazazi wao wana heri (Yeremia 35:18-19). Kwa upande mwingine, wale walio na " akili potofu " na wale ambao huonyesha uasi katika siku za mwisho wanatambulika kwa kutotii wazazi (Warumi 1:30, 2 Timotheo 3:2).

Sulemani, mtu mwenye hekima, alitoa wito kwa watoto kuwatii wazazi wao (Mithali 1:8; 13:1; 30:17). Ingawa sisi huenda tusiwe.
-
||| โœ๏ธ |

NAKUOMBEA WEWE AMBAYE MKONO WAKO UTAANDIKA AMEEEN1.Naomba Mungu akuponye usiku huu wa leo2.Mwenyezi Mungu akisikie kilio...
10/09/2023

NAKUOMBEA WEWE AMBAYE MKONO WAKO UTAANDIKA AMEEEN
1.Naomba Mungu akuponye usiku huu wa leo
2.Mwenyezi Mungu akisikie kilio chako
3.unapo amka kesho kutana na Habari njema
4.Unapo share iwe kwako

Ameeeeeen SHARE
-

Hili ni moja ya kanisa ambalo mchungaji aliwaagiza waumini wake walete fimbo kwa ajili ya kumpigia shetani Imani ni kuwa...
09/09/2023

Hili ni moja ya kanisa ambalo mchungaji aliwaagiza waumini wake walete fimbo kwa ajili ya kumpigia shetani

Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana Ebrania 11:1-
-
||| โœ๏ธ |

โ€œAll News and Entertainmentโ€ Now   -  Ng'e Amazing TV ,our channel on YouTube
10/08/2023

โ€œAll News and Entertainmentโ€ Now - Ng'e Amazing TV ,our channel on YouTube

27/05/2023
27/05/2023

God is my strength ๐Ÿ’ช My flesh and my heart fail But GOD is the strength of my heart and my portion forever. Psalm 73:26
-
||| โœ๏ธ |

  is Fire ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
27/05/2023

is Fire ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

27/05/2023

"However, when He, the Spirit of truth, has come, He will guide you into all truth; for He will not speak on His own authority, but whatever He hears He will speak; and He will tell you things to come."
-John 16:13
-
||| โœ๏ธ |

This is ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel - โ€œSmileTogetherโ€-||| โœ๏ธ
27/05/2023

This is ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel - โ€œSmileTogetherโ€
-
||| โœ๏ธ

Pope Francis, who was discharged from a three-day hospital stay on Saturday, seemed on the mend on Sunday as he addresse...
03/04/2023

Pope Francis, who was discharged from a three-day hospital stay on Saturday, seemed on the mend on Sunday as he addressed tens of thousands of faithful gathered in St. Peterโ€™s Square for Palm Sunday Mass, allaying concerns about his health.

Francis, 86, arrived at the crowded square in an open-topped jeep, which drove along a corridor lined with thousands of faithful, many waving palm fronds over their heads, and up a ramp to the top of the basilicaโ€™s steps. He walked to the altar unassisted โ€” because of knee problems and recurrent sciatica, he often uses a cane or a wheelchair.

Francis delivered the homily โ€” in which he urged the world to care for those who are โ€œabandonedโ€ โ€” the Angelus prayer and a blessing to the estimated 60,000 people in the crowd. And he thanked attendees for their โ€œparticipation, and also for your prayers, which intensified during these past days. This is
-
Please! SUBSCRIBE - Ng'e Amazing TV our channel only YouTube.

Pope Francis left a hospital in Rome on Saturday morning and returned to the Vatican, after spending three days undergoi...
03/04/2023

Pope Francis left a hospital in Rome on Saturday morning and returned to the Vatican, after spending three days undergoing treatment for bronchitis. The Vatican said the 86-year-old pontiff will take part in all of the Holy Week celebrations. -
-
Please! SUBSCRIBE - Ng'e Amazing TV our channel only YouTube.

๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—š๐—Ÿ๐—ข๐—ฅ๐—ฌ ๐—ง๐—ข ๐—ข๐—จ๐—ฅ ๐—Ÿ๐—ข๐—ฅ๐—— ๐—”๐—ก๐—— ๐—ฆ๐—”๐—ฉ๐—œ๐—ข๐—ฅ ๐—๐—˜๐—ฆ๐—จ๐—ฆ ๐—–๐—›๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—ง. ๐Ÿ™Œ            ))) This is ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel
03/04/2023

๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—š๐—Ÿ๐—ข๐—ฅ๐—ฌ ๐—ง๐—ข ๐—ข๐—จ๐—ฅ ๐—Ÿ๐—ข๐—ฅ๐—— ๐—”๐—ก๐—— ๐—ฆ๐—”๐—ฉ๐—œ๐—ข๐—ฅ ๐—๐—˜๐—ฆ๐—จ๐—ฆ ๐—–๐—›๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—ง. ๐Ÿ™Œ

))) This is ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel

โ€œHe who dwells in the shelter of the Most High will rest in the shadow of the Almighty.  I will say of the Lord, โ€œHe is ...
03/04/2023

โ€œHe who dwells in the shelter of the Most High will rest in the shadow of the Almighty.

I will say of the Lord,
โ€œHe is my refuge and my fortress, my God, in whom I trust.โ€
He will cover you with his feathers, and under his wings you will find refuge; his faithfulness will be your shield and rampartโ€ฆ
He will command his angels concerning you to guard you in all your ways..
I will rescue those who love me, I will protect those who call on my nameโ€ฆ.โ€
Psalm 91:1-2, 4, 11, 14


-
||| โœ๏ธ |

โ€ข Ng'e Amazing Gospel

Daily wake up prayer.                                      - This is ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel
03/04/2023

Daily wake up prayer.



- This is ๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing Gospel

Kwaresima tunajulishwa zaidi utayari wa Mungu katika kutuokoa na jinsi ulivyo mkubwa mno na kwamba hakuna kinachompendez...
03/04/2023

Kwaresima tunajulishwa zaidi utayari wa Mungu katika kutuokoa na jinsi ulivyo mkubwa mno na kwamba hakuna kinachompendeza zaidi kuliko tunapomrudia kwa toba ya kweli.
Wokovu wetu ni hakika ishara ya wema wake usio na mipaka. Ni bahati kubwa sana hii tuliyonayo mimi na wewe. Tuombe tusipishane na neema hizi kwasababu zipo bure kwaajili yetu.

Nikutakie tafakari njema.

Na Padre Innocent Nzaro
-
UPDATE:-
|

โ€ข Ng'e Amazing Gospel

Paul O'Grady the much-loved presenter and comedian, unexpectedly passed away peacefully at the age of 67.We are sending ...
03/04/2023

Paul O'Grady the much-loved presenter and comedian, unexpectedly passed away peacefully at the age of 67.

We are sending lots of love to Paul's husband, and all his family and friends โค๏ธ
-
UPDATE:-
- โ€œ โ€

Kwaresma ni kipindi cha kupona. Kila udhaifu wa mwili wa mwanadamu unahitaji uponyaji kwa wakati sahihi, bila kuchelewa ...
03/04/2023

Kwaresma ni kipindi cha kupona.

Kila udhaifu wa mwili wa mwanadamu unahitaji uponyaji kwa wakati sahihi, bila kuchelewa muda wa matibabu. K**a vile ambavyo mwanadamu alivyo mwili na roho, vilevile roho yake hujeruhia, huumizwa, huwa dhaifu na hata kuhuzunishwa. Wakati sahihi wa kuziponya roho zilizojeruhika na kuumizwa, ni hasa kipindi hiki cha toba na mfungo. Tuombe neema ya kujichotea uponyaji unapatikana katika kipindi hiki bila kuchelewa.

Nikutakie tafakari njema.

Na Padre Innocent Nzaro
-
UPDATE:-
|

โ€ข Ng'e Amazing Gospel

Tafadhari โ€œSUBSCRIBEโ€ channel yetu Ng'e Amazing TV , kule YouTube ili usipitwe na vipindi vyetu mbalimbali.-||| โœ๏ธ  -  โ€ข...
03/04/2023

Tafadhari โ€œSUBSCRIBEโ€ channel yetu Ng'e Amazing TV , kule YouTube ili usipitwe na vipindi vyetu mbalimbali.
-
||| โœ๏ธ -

โ€ข Ng'e Amazing Gospel

Vishawishi
15/03/2023

Vishawishi

๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing - โ€œSmile Togetherโ€
15/03/2023

๐ŸŽ–๏ธ Ng'e Amazing - โ€œSmile Togetherโ€

๐—ฆ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ: ๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ฏ๐—น๐—ถ๐—ฎ?โ–ช๏ธŽTunaposema kuku wanne au kilo saba za mchele tuna maana k...
15/03/2023

๐—ฆ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ: ๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ฏ๐—น๐—ถ๐—ฎ?

โ–ช๏ธŽTunaposema kuku wanne au kilo saba za mchele tuna maana k**a ilivyo yaani kuku wanne na kilo saba za mchele. Si zaidi au pungufu.

โ–ช๏ธŽ Namba au tarakimu mbalimbali tunazokutana nazo katika Biblia zinaashiria lugha za picha na siyo kuchukulia katika thamani ya kuhesabu. Hivyo basi, tunapokutana na namba k**a 40 huenda isimaanishe 40 k**a tunavyo hesabu fedha. Kumbe basi namba 40 katika Maandiko Matakatifu hutumika kumanisha UREFU WA JAMBO FULANI(longevity), au kipindi cha MAANDALIZI CHA KUTOSHA KISICHOKUWA NA MUDA MAALUM, KWA TUKIO KUBWA.

โ–ช๏ธŽ Mfano wakisema fulani amekuwa mgonjwa kwa siku 40 ina maana amekuwa mgonjwa kwa kipindi kirefu, haina maana kuwa ni lazima zilikuwa 40 (huenda hata zilizidi).

๐— ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ:-

(1) Gharika ilidumu kwa siku 40 usiku na mchana ni kusema kuwa gharika ilidumu kwa kipindi kirefu, maandalizi ya binadamu mpya.

(2) Waisraeli walitumia muda wa miaka 40 ni kusema kuwa walikaa jangwani kwa kipindi kirefu. maandalizi ya kuingia nchi ya ahadi.

(3) Watu wa Ninawi walifunga na kufanya kitubio siku 40 maandalizi ya kupokea msamaha wa MUNGU.

(4) Elia alitembea kwa siku 40 mchana na usikuโ€ฆk**a maandalizi ya kufika mlima wa MUNGU.

(5)kusema kuwa Yesu alifunga siku 40 ni kumaanisha kuwa alifunga kwa muda au kipindi kirefu, yawezekana hata zaidi ya siku hizo 40.

(6) โ€œKisha ROHO alimwongoza YESU mpaka jangwani ili ajaribiwe na ibilisi. Akafunga siku arobaini usiku na mchana, na mwishoe akaona njaaโ€ (Mt.4: 1-4)

โ–ช๏ธŽ Natumaini hadi hapo tumeelewa nini maana ya namba 40.

Swali kwetu Wakristo:
โ–ช๏ธŽ๐—๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐—ธ๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜๐—ผ (๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ)?

=Bila shaka ni siku 40. (Kuanzia Jumatano ya majivu hadi Jumamosi Kuu ukiondoa Jumapili zote). Siku 40 ni muda wa kutosha wa kufanikisha kitu fulani chema, kizuri na chenye thamani.

โ–ช๏ธŽtuzidi kudumu katika nguzo tatu za Kwaresima yaani:-
1. Kusali
2. Matendo ya huruma
3. Kufunga

Ili Kwaresima ya mwaka huu ikalete mabadiliko ya kweli katika maisha.
-

||| |

โ€ข

๐—”๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐Ÿญ๐Ÿฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ผ๐˜†๐—ผ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฒ๐˜€๐˜‚. Kwa wale wote watakaouheshimu Moyo wake Mtakatifu. Bwana Yesu aliahidi:1. Nitawajali...
15/03/2023

๐—”๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐Ÿญ๐Ÿฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ผ๐˜†๐—ผ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฒ๐˜€๐˜‚.

Kwa wale wote watakaouheshimu Moyo wake Mtakatifu. Bwana Yesu aliahidi:

1. Nitawajalia neema zote watakazozihitaji katika hali yao ya maisha.
2. Nitawajalia amani katika familia zao
3. Nitawafariji katika magumu yao yote
4. Nitakuwa kimbilio lao salama wakati wa maisha yao, na zaidi sana katika saa yao ya kufa
5. Nitawapa baraka tele katika shughuli zao zote
6. Wakosefu watapata katika Moyo wangu chanzo na bahari ya huruma isiyo na mwisho
7. Waumini walio vuguvugu watakuwa na bidii
8. Waumini wenye bidii watakwea kwa upesi katika ngazi za juu za ukamilifu
9. Nitabariki kila mahali ambapo picha au sanamu ya Moyo wangu Mtakatifu itawekwa na kuheshimiwa
10. Nitawajalia mapadre karama ya kuigusa mioyo migumu
11. Wale wote watakaoeneza Ibada hii kwa wengine majina yao yataandikwa ndani ya Moyo wangu na sitawasahau kamwe
12. Wale wote watakaopokea Sakramenti ya Ekaristi kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi kwa miezi tisa mfululizo wakiwa katika hali ya neema ya utakaso, hawatakufa wakiwa na uadui nami, nitawapa neema ya kudumu katika uaminifu hadi mwisho na hawatakufa bila kupokea Sakramenti za mwishoโ€.

๐— ๐—ผ๐˜†๐—ผ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฒ๐˜€๐˜‚...๐—จ๐˜๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ
-
||| Tafadhari Nenda Sasa hivi YouTube , andika Ng'e Amazing TV , kisha bonyeza neno โ€œSUBSCRIBEโ€

โ€œSUBSCRIBEโ€ - Ng'e Amazing TV

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ng'e Amazing Gospel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share