Enock Gwimile

  • Home
  • Enock Gwimile

Enock Gwimile Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Enock Gwimile, Digital creator, .

2017
12/04/2024

2017

12/04/2024

Wananchi wanao kikosi kipana na chenye wachezaji wenye ubora mkubwa sana !.. wakati watu wanalia perfomance ya Maxi imeshuka wakati wanasema Wananchi walipigwa pale ni mchezaji wa mechi ndogo tu , sahivi ndio wanapiga magoti kutoa utukufu kwa kitu anachofanya .

Maxi Nzegeli Mpia mwamba amerejea kwenye ubora wake , sio kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji tu!.. Maxi aliupiga mwingi sana dhidi ya Mamelodi : yupo vizuri sana pale anapokuwa na mpira na hata timu isipokuwa na mpira anafanya vitu vya kimsingi …. Kasi , nguvu na Sharpness kwenye maamuzi .

Mwamba amerejea na Wananchi ni k**a vile wametimia 😀 No Pacome , No Yao . lakini wanaenjoy soka safi la Gamondi .

12/04/2024

Azam Media Yaomba Msamaha kwa Klabu na Mashabiki Wa Yanga Sc kutokana mahojiano ya Mchezaji Fiston Kalala Mayele aliyewahi kupita katika klabu ya Yanga sc

12/04/2024

✍️𝐀𝐍𝐃𝐈𝐊𝐎 𝐋𝐈𝐍𝐀𝐑𝐎𝐈𝐒𝐇𝐈.

"Kuna kipindi niliamia timu nyingine kutoka 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 Nikakuta kule Mashabiki wachache Nishazoea Shangwe kufunga kukawa shida.

Nikasema ndiyo nimeisha Au ! Lakini sikuwaza Majini kuna Wachezaji wakitoka Simba,Yanga na Azam Kufunga ni Ngumu.

Wanaenda timu Mashabiki wapo 30 Mpinzani Aogopi chochote Uwezo wako ndio Unatakiwa Umeonyeshe.

Sasa Umeondoka Katika timu Umeuzwa watu Wamepiga Pesa Wamefurahi Unakuja Umetupiwa Jini.

Basi Feisal Salum (Fei toto) angekuwa Chizi Majini ya Kusafiri na Majini ya hapa hapa yanamuona Ahahaha.

Timu ni kubwa kuliko mtu yeyote hii ni hadithi fupi Wachezaji kuna Maisha baada ya soka tuishi Vizuri na Shule tulizo Pita kesho tutasomesha watoto wetu kwa Ada ndogo.
.©𝐌𝐫𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐍𝐠𝐚𝐬𝐚

12/04/2024

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Enock Gwimile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share