EBM USA

EBM USA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EBM USA, Video Creator, .
(2)

EBM SCHOLARS inakuletea FREE WEBINAR ambayo inatoa elimu kuhusu watu wanaotaka kusoma MAREKANI kwa hatua ya Associate De...
25/11/2023

EBM SCHOLARS inakuletea FREE WEBINAR ambayo inatoa elimu kuhusu watu wanaotaka kusoma MAREKANI kwa hatua ya Associate Degree na Degree kwenye vyuo vyenye GHARAMA NAFUU (Studying at Affordable Community Colleges in the USA!)

Webinar hii ni kwa wanafunzi, wafanyakazi, wazazi nk kupata elimu hii. Huna haja ya kumpeleka mtoto wako huko China, India, Malaysia nk kusoma degree yake. Maana huko haruhusiwi kufanya kazi, hivyo mwanafunzi anaendelea kuwa tegemezi kwa mzazi kutuma hela kila mwezi. Na akimaliza shule akisoma huko itamfanya arudi nchini kukimbizana na ajira.

Hii ni tofauti na k**a akija kusoma Marekani ambapo mwanafunzi anafanya kazi na kusoma, kutokuwa tegemezi kwa mzazi. Na akimaliza shule kuna njia nyingi za kubakia hapa na kufanya kazi na kuishi.

Karibu kwenye seminar (webinar) hii. Mtumie rafiki yako pia

Siku: JUMAMOSI NOVEMBA 25
Muda: Saa TATU KAMILI asubuhi ya East Africa
Sehemu: ONLINE FREE WEBINAR
Link ya kujiunga: https://streamyard.com/watch/hq4arzNUkr2x

Presenter:
Ernest B Makulilo
EBM SCHOLARS, LLC
Missouri, USA
www.ebmscholars.com
[email protected]

Headquarters of Global Opportunities WELCOME TO THE EBM SCHOLARS, LLC EBM SCHOLARS, LLC is an education and immigration consulting firm incorporated in the great State of Missouri, USA. It is dedicated in providing information, guidance, and consultancy to people who are looking for education opport...

23/04/2023

Top 10 Places in the USA Will Pay You To Move There

23/04/2023

Top 10 Whitest States in the USA

https://www.youtube.com/watch?v=jaN8fzL4zDw
23/04/2023

https://www.youtube.com/watch?v=jaN8fzL4zDw

Which place on this list will you be interested to move to? There are several reasons why some cities in the USA pay you to move there. Here are some of the ...

https://www.youtube.com/watch?v=tddB7ptBFWo
23/04/2023

https://www.youtube.com/watch?v=tddB7ptBFWo

I have videos for each race - just to know the demographics of different states, and cities. Today we do the Whitest states. We will look at what European pe...

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EBM USA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EBM USA:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share