McOpiyo-Mweledi wa Lugha

  • Home
  • McOpiyo-Mweledi wa Lugha

McOpiyo-Mweledi wa Lugha McOpiyo-Mweledi wa Lugha is a seasoned Kiswahili teacher with more than seven years experience.

28/10/2024

Dhana ya mzizi wa neno

mzizi wa neno ni sehemu ya neno ambayo haibadiliki hata neno lenyewe likinyambuliwa

Mzizi wa neno pia ni sehemu ya neno inayobeba maana kuu

aina za mzizi
✓Mzizi huru-mzizi ambayo inajitosheleza kimaana k**a neno kamili

maneno yenye asili ya kigeni ambayo kwa kawaida yana kiishio e,u,i katika kauli ya kutenda huwa na mzizi huru
mfano :Samehe Samehea Samehewa
mzizi hapa ni samehe ambayo pia ni neno lenye maana kamili

mzizi tegemezi: ni sehemu ya neno inayobeba maana kuu ila haijitoshelezi kimaana

maneno/vitenzi vinavyoishia kwa kiambishi a
huwa na mzizi tegemezi

taz :
cheza chezea chezewa chezesha
mzizi wa neno hapa ni chez:

Swali:
Taja mzizi wa neno katika maneno yafuatayo:

potea
Dhuru
haribu
samehea

14/01/2024

Karibu sana katika ukumbi huu wa lugha ashirafu ya Kiswahili.

Address


Telephone

+254715748735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when McOpiyo-Mweledi wa Lugha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share