Ni mara ngapi tunasahau wale waliotusaidia mara tu tunapofanikiwa?
Wimbo wa siku hivi leo tunaangazia "Usisahau mkono uliokusaidia" kazi yao Wana JAP (Just All Praise) kutoka Jijini NAIROBI, Kenya. Ni kikundi Cha kipekee kisichokua na vazi rasmi la kwaya katika video zao lakini ujumbe ni wakutoa nyoka pangoni....
Barikiwa.
We have no rights of the songs we play in this show, they are just for entertainment.
Welcome to today's song of the day, today we are featuring Blessed Kids from SDA church Alfajiri - Eldoret, Kenya.
As we are entering the last month of the year, let's not spreading the love of God because it's everywhere.
Host: Mc 9
Karibu kwa wimbo wa siku, hivi leo tunaangazia kwaya ya Redemption kitokea maeneo ya Kisii, Kenya.
Wimbo: Yahweh Jina lake
Nahodha wa kipindi ni Bryson Tisa
Unategea ukiwa wapi?
VITAB TV has no rights to the songs played in this show, it's just for entertainment.
CHOMVU KIDS - MAKAMBI.
CHOMVU KIDS - MAKAMBI
We have no rights for this song,
Hivi leo tunaangazia CHOMVU Kids ambao wanatukumbusha juu ya Makambo.
Mola azidi kitubariki tunapoendelea kusherehekea hii siku juu na tukumbuke kumrudishia shukrani.
USIENDE NA UPEPO WA WANASIASA
USIENDE NA UPEPO WA WANASIASA
Mwalimu Mordecai Odongo kutoka Kawangware, Nairobi-Kenya akiwa kwenye jugwaa.
Muziki tulivu uliopangwa hukusongesha karibu na Mungu
Kawangware SDA Church choir, raw video
Utamu wa wimbo ni kupangwa
Praise the Lord ndicho kubao kazi ya SDA Church Kawangware chini ya Mwalimu Mordecai Odongo
Biblia inasemaje juu ya familia?
Karibu kwa kaya za familia.
Sabato njema.
'Maombi' maalum kwa wanasiasa...
Je! NI maombi au ni tambiko?
HAPPY INTERNATIONAL PATHFINDER DAY
REFLECTIONS MINISTERS - AMEFUFUKA.
TAUS RETREAT 2021, KARIBUNI NYOTE.
SHAMALIWA YAOMBOLEZA VIFO VYA WANAKWAYA WAO WAWILI VILIVYOTOKEA KWA AJALI