17/08/2024
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐
Follow Neema Citizen TV
๐๐๐๐ ๐
Mark akiwa amekaa hapo nje,anakumbuka tu venye aliangalia Neema akipelekwa rumande anakosa kuamini. Cate alikuja akamuuliza babe,aah sorry Mark kwani hukuji ndani kulala? Mark alimwambia wee enda ulale,mimi nimezoea kukaa so niko sawa.
Sharon alikua na wakati sana kuongea na Val na kujaribu kumueleza what transpired na venye Sharon amevumilia sana na babake but Val akamwambia after all ni babake,what of Mark? Sharon akamwambia Mark tulikua na break u mzuri sana ni venye I cant fathom. Kisha Sharon akamuuliza na Kevo na yeye? Kuna nini kati yako na yeye? Val akadanganya akasema ni venye tu nilikua nataka help kutoka kwake kwa niaba ya Jojo,nilikua tu najaribu kuhelp. Sharon akamwambia sikiza,huyu Jojo anakutumia ju wao si matajiri but wangekua matajiri hata hangekua anakuangalia lakini Val akamwambia mum,Jojo ni beshte yangu mkubwa sana. Sharon akamwambia basi,k**a ni rafiki yako,mwambia aende kukuintroduce kwa rafiki zake matajiri uone k**a atafanya hivyo๐๐๐anakutumia na huoni.
Ian na yeye alikuja kuongea na Jojo akamwambia siz,now that baba yetu alituacha,si madhe akituacha tutapelekwa kwa orphanage? Jojo akamwambia nooo,hizo ni vipindi za tv tu, mum haezi tuache,yuko na sisi kila siku. Hii statement ya Ian ilimhit Jojo kiasi๐๐๐
Eddy ndio wanarudi nyumbani na Karen akamuuliza babe,unanipenda? Eddy akamwambia sindio,k**asingekua nakupenda hungekua hapa plus tunaenda kupata mtoto pamoja. Karen akamuuliza hata nini ikihappen,hutaniacha,ju k**a uliacha watoto wako kuwa na mimi,si hata pia unaeza niacha? That was the truth but Eddy akamwambia please,lets not talk about this ju haitahappen. Hakuna ati haitahappen,its about tu happen an kwa any relationshio ukiwai sikia partner unamuuliza kitu anasema "babe tusiongelee hiyo" kaa ukijua hana jibu ya kukuambia ju hivyo ndio mambo iko๐๐๐
Its another fine morning,Mark anaamkia polisi station but before aende,akamuuliza Jojo,jana nilikuuliza k**a kuna shida na huyo boy alikua anakutafuta but hukusema kitu? Jojo akamwambia please,mimi sijui chenye kinaendelea.
Val akienda shule, Kevo alimfuata, akamwambia wee,nataka pesa zangu gari itengenezwe lakini Val akamwambia mimi sina pesa plus hii yafaa uulize Jojo si mimi. Kevo akamwambia but si ulisema wamesota? Val akamwambia sasa sikiza, hata k**a wamesota haezi kosa kakitu,unaona ile watch huwa anavaa inakaa expe sana. Kevo akajua baaaaasi,mboka ishajipa. Kumbe wakiwa tu hapo,Jojo akapita akiwa kwa gari ya Mark. Jojo akamuona Kevo,Kevo akamuona Jojo na Val akamuona Jojo,Kevo akaambia Jojo wewe wewe wewe wewe. tutakutana.
๐๐๐๐ ๐
Isabel aliamkia kwa Mark kuongea na Babu kuulizia Neema anaendeleaje na haswa shida ilikua nini but Babu akamwambia tu ni mambo ya sheria na madeni za bwanake,alichukua kwa benki but hakulipa.
Huku kotini,Neema ashafikishwa kizimbani kujibu maswali na hata akaambiwa wakati nyumba iliuzwa,20million was made kwa account ya Neema but Neema alijitetea,akasema hiyo siku alipewa account book yake na watoto but Neema alikataa akamwambia haezi taka hizi pesa ju ya hizi madeni. Neema akaulizwa na divorce je? Mlikua na divorce na hukuitisha anything? Neema hadi anakumbuka ile siku wakifile divorce na hata akaulizwa na lawyer,mbona hata support huitishi? Mambo yanaanza kumlemea Neema sasa.
Kesi iliisha na hata Neema akachiliwa na hao kuenda nyumbani but Neema akitoka hapo ndani alikua analia hadi Mark akamuuliza,kuna mtu alikuupset hapo ndani ju umetoka k**a unalia? Neema akamwambia ni venye tu judge alikua anamuuliza mambo yake ya divorce na ikafanya nikalia sana. Neema hata anakumbuka leo hii ndio yafaa waende job na Sharon.
Sharon na yeye ashafika kazini,kazi ni mdomo tu,ashaanza kuambia watu ati Neema ni con na bwanake๐๐Yani huyu mama tu.
Jojo alicall mamake akamuuliza k**a wametoka polisi na mamake akamhakikishia everything is alright na wako sawa. Neema alifika nyumbani and everyone is happy for her.
Kumbe Jojo an yeye,leo hii hana gari,na sasa Kevo aliamua kumfuata sasa. Jojo akipanda kuenda kwao,kufika tu pahali hakuna watu,nyuma yake,Kevo. Kevo alimuita akamwambia sikiza,unajua gari yangu iliscrachiwa shule yenu lakini Jojo alimwambia I don't care. He,Kevo akamwambia k**a hunilipi itabidi nimejilipa na hii watch yako sasa.Maskini wa Mungu Jojo, watch yake ikachukuliwa kisha kakasukumwa huko kakaanguka na sasa watch yake,yenye babake alimbuyia imeenda. Mako! Makosa.