15/02/2024
'Niko na Bahati Kupata Mke K**a Nandy Maishani' Billnass Asifia Baada Kumpata Akiwa Bikra Na Kumpiga Support Kimuziki!
"Namshukuru Mungu nimempenda mwanamke ambaye naamini ananipenda pia, kwasababu nampenda sana Mke wangu na ananionyesha upendo pia, siyo kitu rahisi kwa dunia ya sasa hivi kuhisi kwamba hapa nilipo kuna upendo.Kila siku nazidi kumpenda kwa sababu naona anavyonipenda na kunisapoti".~Msanii huyo Hitmaker 'Puuh' ft JayMelody ameongea.