MIgori Gossip News

  • Home
  • MIgori Gossip News

MIgori Gossip News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MIgori Gossip News, Media/News Company, .

Oga Obinna reacts to Dem Wa Facebook inviting Ringtone Apoko for a sleepover at the house he paid rent for.Follow Prime ...
15/05/2024

Oga Obinna reacts to Dem Wa Facebook inviting Ringtone Apoko for a sleepover at the house he paid rent for.
Follow Prime Media News

inbox nikutengenezee yenye unataka at only @30 bob
23/01/2024

inbox nikutengenezee yenye unataka at only @30 bob

Alaaaa
12/11/2023

Alaaaa

Mashabiki wa Chelsea wanafanya maombi katika kanisa moja jijini Nairobi ili timu yao kupata nguvu ya kuichapa Manchester...
12/11/2023

Mashabiki wa Chelsea wanafanya maombi katika kanisa moja jijini Nairobi ili timu yao kupata nguvu ya kuichapa Manchester City kwenye mchuano wa kukata na shoka wa ligi ya EPL saa 7.30pm.
Kwenye mechi zingine ni kwamba Liverpool wanakaribisha vijana wake Thomas Frank kwa maana Brentford ugani Anfield huku Brighton wakichapana nguvu dhidi ya Sheffield United wakati ambapo Aston Villa wakitoana kijasho dhidi ya Fulham.

Picha: Kwa hisani

DCI Wawakamata Washukiwa WanneMaafisa wa DCI kutoka Nairobi wakitafuta Kshs 94,918,750/= zilizoibwa kutoka kwa Duka Kuu ...
12/11/2023

DCI Wawakamata Washukiwa Wanne

Maafisa wa DCI kutoka Nairobi wakitafuta Kshs 94,918,750/= zilizoibwa kutoka kwa Duka Kuu la Quickmart mnamo Novemba 6, 2023, wafanyikazi wa Kampuni ya Wells Fargo waliokuwa wakisafiria kuelekea Benki ya Family, wamewakamata washukiwa wanne.

Ismael Patrick Gitonga, mmiliki na dereva wa gari nambari ya usajili KBM 751W Fielder anayeshukiwa kutumiwa kubeba pesa zilizoibwa kutoka kwa gari la kusindikiza, alikamatwa eneo la Rongai.

Michael Matolo Njeru na Samwel Onyango walikamatwa huko Njiru walipokuwa katika harakati za kurekebisha gari hilo ili kuficha utambulisho wake.

Martin Nderi Nganga alikamatwa Kasarani na Kshs 9,101,300/= kupatikana katika nyumba yake ya kukodi. Pia lilipatikana sanduku la pesa kwenye msitu karibu na Soko la Gataka Karen Estate.

Juhudi za kutafuta, kukamata na kurejesha pesa zilizosalia zilizoibiwa zinaendelea.

DCI imewapongeza wananchi kwa kuendelea kuwaunga mkono katika jitihada zao

The entire migori county is in deep sorrow to mourn the death of the former Masaba ward MCA hon ABED MARWA WILLIAMMay hi...
12/11/2023

The entire migori county is in deep sorrow to mourn the death of the former Masaba ward MCA hon ABED MARWA WILLIAM
May his soul rest in peace

10/11/2023

Lucy,,,,,,,,
A Kisii polytechnic comrade was killed yesterday by his boyfriend 😭😭😭😭
The boyfriend was beaten too by the resident 😭😭😭😭😭so sad
Unfortunately today,,,,,
The boyfriend died today 😭😭

The man died today
10/11/2023

The man died today

"They call them in-laws... I call them family," - Bahati Pampers Diana Marua’s Sisters with Love in Adorable Post
10/11/2023

"They call them in-laws... I call them family," - Bahati Pampers Diana Marua’s Sisters with Love in Adorable Post

"6 years ago, i had the toughest period ever when i laid my Mum to Rest. I never thought i would go through that again. ...
10/11/2023

"6 years ago, i had the toughest period ever when i laid my Mum to Rest. I never thought i would go through that again. But this week i laid my Dad to Rest. Despite the emotions, I have understood and accepted that there is a season for everything and we can only Adapt and hope for the Best.
May both of them Rest in peace❤️❤️" - Emotional as Kenyans joins Vinnie Baite in mourning his dad take heart Vinnie Baitee

10/11/2023
Mungai Eve's posh Kilimani apartment robbed
10/11/2023

Mungai Eve's posh Kilimani apartment robbed

A boy from migoriKing of Ohangla and his manager 001. Who knows their popular nicknames?
10/11/2023

A boy from migori
King of Ohangla and his manager 001.
Who knows their popular nicknames?

Situation at JKIA. Hakuna kulegeza kamba.Hata after bei ya passport 🛂 kupanda
10/11/2023

Situation at JKIA.
Hakuna kulegeza kamba.
Hata after bei ya passport 🛂 kupanda

The girl named lucy boke who comes from bohorera village is found after his boyfriend stabbed him with knife seven times...
10/11/2023

The girl named lucy boke who comes from bohorera village is found after his boyfriend stabbed him with knife seven times in the chest
The boy named Steven orenge who comes from mabera sub county.the boy travelled from mabera to kisii after knowing that the girlfriend cheated on him
The boy is now at custody....while justice is underway
Lucy boke who is a student at kisii poly persuing beauty and therapy has left a son 9 months...............
This is another synario that has occured to the student dieing again in college
The chances of now comrades of killing each other is the government should look into the problem in accordance

10/11/2023

Hapa ndo imefikia

BREAKING ...😥😭Msichana anayesoma katika chuo Kikuu kimoja mjini Kisii ameuliwa usiku huu kwa kudungwa kisu na mpenzi wak...
09/11/2023

BREAKING ...😥😭

Msichana anayesoma katika chuo Kikuu kimoja mjini Kisii ameuliwa usiku huu kwa kudungwa kisu na mpenzi wake wanaye soma naye.

Duru za kuaminika zinasema kwamba mwili wa msichana huyo umeloa damu kitandani mwake hivi sasa maeneo ya Jogoo, Set green Kaunti ya Kisii. Kijana aliyemdunga kisu amepelekwa korokoroni na Polisi wa Bosongo.

SHOCKING NEWS:

A Lady studying at KISII NATIONAL POLYTECHNIC has been stabbed to death few hours ago by her boyfriend.

Reliable sources say that the girl's body was found lying on her bed with pool of blood in her house in Jogoo, Set green Kisii County. The young man who stabbed her has been arrested by police and Investigation into the matter has started.
Rest in Peace Lucy a first year in beuty and therapy course

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MIgori Gossip News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share