19/11/2023
Brayo : hi beb
Sharo : hi too darling
Brayo : beb nakumiss nataka ukuje Leo
Sharo. : Sina fare ebu tuma nikuje
Brayo : niaje kevo
Kevo : poa we mjinga niambie 😁
Brayo : Sharo amekata kuja kuniona ety hana fare
Kevo : Haha😆 hiyo tu ebu ngoja kiasi
Kevo : Hey sharo mamboz
Sharo : poa sana habari ya brayo wangu
Kevo : Hehe ety brayo wako😁 si mliachana aty, Hadi brayo sai ako na dem mwingine Kwa keja, dem mrembo na amebeba wee alafu ni mweupe aki sikuamini brayo anaeza pata dem mrembo k**a huyo kweli mtoto wa wenyewe ameangukia😔
Sharo : aty koo ako na dem mwingine Kwa keja sai🥺
Kevo : Eeh wewe mwenyewe kuja ujionee tu
Sharo : Nakuja tu sai dakika 5 ntakua hapo
Kevo : Sawa wewe pita tu ady Kwa nyumba ujionee hta usibishe anaeza mficha chini ya kitanda 😁
Kevo : we mjinga unaunda keja au unangoja dem yako apate ikiwa chafu😂😂
Brayo : you mean anakuja🤨🤨
Kevo : wee jipange mbwa wewe 😁
Follow us 💯