13/06/2024
πππππππ: πππππ ππππ ππππ
Follow Imelda Mutenyo
ππππ π
K**a kuna mtu ako affected sana ni Jojo,she really love her dad na habari za simu ya babake kupatikana into pieces imemuumiza sana hadi analia akiangalia picha ya babake akisema "please come back alive dad". Haamini kuamka bila babake na hii yote sisi tunajua imeletwa na tamaa wa wanawake.
Neema on other side kila mara ni simu tu,mepiga masimu kwa mortury,kwa hospitalini hamna kwenye ako lakini babake akamwambia maybe basi hakuna kitu mbaya kimefanyia,na gari yake je? Neema akamwambia gari yake aliuza akasema atatravel na SGR,lakini babake akamwambia mwanangu,mbona hufikirii,k**a simu ilipatikana Kisumu,na hakuna SGR ya kuenda Kisumu,ina maana hayuko kwenye alikuambia anaend...Neema akauliza babake so unamaanisha nini? Babake akamwmabia sikiza,tunaeza kuwa na hofu kumbe mume wako ako pahali anajifinjari na mwanamke mwingine Neema hataki kusikia hivi but huu ndio ukweli. Neema alitoka akakuja pilisi station.
Neema kufika polisi akaulizwa k**a anajua Eddy alitoa pesa zote kutoka kwa bank account? Neema akasema maybe alikua analipa madeni lakini karao akamwambia the only deni Eddy alikua nayo ni ya bank,hakuna ingine. Neema ako confused sasa hadi akaulizwa,unasema mume wako amepotea na mshadivorce? Neema akasema hatukuachana vile,ilikua tu divorce ya papers but tulikua pamoja. Karao akamwambia usiwe mjinga Neema,mume wako huenda ameenda kwa mwanamke mwingine. This is the second time Neema anachanuliwa but hataki kukubali
Woiye Neema,alitoka polisi station ameisha mbaya,nyumbani babake anamwambia huend Eddy ako kwa mwanamke mwingine akaona akuje hosi wampe hopes kufika anaambiwa same thing ya Eddy kuenda kwa mwanamke mwingine ju story Neema anapeana haziadd up,sana sana hii ya divorce haimake. Neema ako soo confused had karibu agongwe na gari.
Neema kufika nyumbani,ashafikiwa tena,kumbe kuna watu wamekujia gari. Kulingana na papers,gari la Neema lishauzwa but Neema hataki kupeana funguo. Richard na Naomi pia walikua hapo na kwa papers gari ni la kampuni so ju Eddy ashapeana kampuni,gari pia linaenda. Taabu sasa zishaanza. Naomi yuko hapo,anajua kila kitu but anataka tu Neema ateseke Huku ni nje sasa ebu tufike ndani ya nyumba.
Neem kufika kwa nyumba,akapata kuna wageni hapo wamekuja na papers za kuonyesha levy ya kampuni ya 30million na sasa hii ndio Naomi alifanya sasa. Wakati Eddy alipeana orders za 20million kutumwa kwa account ya Neema,Naomi alipiga simu kampuni iwekwe k**a levy ya 30million ndio Neema asipate zile 20million and on top of it, iwe anapeana 10million to add up to 30million na ju hana 10million guess ni nini ilichukuliwa? You guest it right,nyumba yake,mako...makosa.
ππππ π
Naomi alitoka nje akamcall Caren kumuuliwa ako wapi ju hamuoni. Caren akamwambia tuko pahali tu usijali. Naomi akamwambia by the way I have good news,story ya levy ishatoka na sasa we are safe. Caren alimwambia na sijui Eddy aijua kutakuaje. Naomi akamuuluza kujua aje,wewe enda na Eddy na uende na yeye kabisa,ama unataka arudi arudiane na wife yake? Caren akamwambia apana. Eddy alikuja akauliza Caren anaongea na nani? Caren akamwambia ni Naomi,akamuuliza k**a anajua story zao? Caren akamwambia aoana,hajui. Caren alimdanganya.
Huku nyumban, Neema aliambia jamaa wa deni please,niko na 1.5Million naeza kutolea nikupe mtuachie nyumba lakini jamaa akamwambia account yako iko frozen,haina kitu. Neema,alishtuka sana,akawaambia hizo ni pesa zake na hakuna place ashawai sign agreement ati zinaeza chukulia but Richard alimwambia hivyo ndio kunaendanga.
Jioni wakikula supper, Naomi aliambia Jojo,in as much washapoteza pesa,kuna hopes za kuretain hii nyumba yao. Jojo akamuuliza unaongelea nini? Neema alimwambia please, sitaki turudie kuongelea hii story hadi Ian ajue,I need your support in this. Jojo akamwambia mi bado niko shule,sijui unataka support gani kutoka kwangu. Jojo na mamake,hawajai elewana hata kidogo.
Ian kurudi na guka yake,aliuliza mamake daddy anarudi lini? Neema akadanganya,akasema nishaongea na baba yenu atarudi very soon. Jojo aliambia mamake acha kuficha mtoto,kisha akaambia Ian sikiza, baba yetu alitoroka na sisi hatuna pesa sai,madhe anakudanganya
Huku kwa Naomi,wakati Neema beshte yake ako kwa machonzi,Naomi anacheka akifurahia sana hadi anaambia mumewe, haamini Neema anakapitia lakini mumewe alimwambia hufai kucheka,kwanza amekua rafiki yako kwa muda mrefu sana na yafaa tuchukue pesa kiasi tumsaidie. Naomi alikataa,akamwambia hakuna pesa inatoka kumpea Neema hapa.
Neema alikuja kuongea na babake akamwambia itabidi tuuze hii nyumba but babake akamwambia shida ni Eddy yuko na shares zake kwa hii nyumba,utaongeaje na hapatikani kwa simu? Neema akamwambia anaeza ongea na Richard. Wakiwa tu hapo,walibishiwa kufungua kuna mzee na mama waliingia na Neema akauliza wanatakaje? Wakamwambia sisi ndio wenye hii nyumba. Neema hadi alicheka kwanza,akasema nyumba ni ya Eddy,wakamwmabia ndio,na ashatuuzia na tumekuja kuona venye tutaishi huku. Na ni kweli,kuna papers zinaonyesha ashauza nyumba.
Neema ndio haamini,nyumba yao plus shares zake ishauzwa na sasa washapewa 3 days wahame. Hata k**a ni mateso,manze this is too much. 3 days wawe wamehama.
Eddy mwenyewe na Caren wake, washabuy nyumba ingine, washabuy hotel watajenga restaurant na wanaenjoy maisha sana wakiwa wawli, a happy couple na wakati huo,married man with kids na wife wanateseka mbaya.