RADIO UMOJA a Baraka

  • Home
  • RADIO UMOJA a Baraka

RADIO UMOJA a Baraka Redio umoja toka jijini BARAKA inchini DRC,tarafani FIZI. tuna towa abari kwa mda ufahao. usikose ku

02/10/2019

Bonjour à toutes et tous les auditrices et auditeurs de la Radio Communautaire Ujama de Baraka.
Continuez à nous souivre sur 96.0 fm afin d'être à la page des actualités du jours.

24/08/2016

"MURAHISHISAJI EDEM KODJO MWENYE URAHIYA WA TOGO ALIANZISHA KAZI ZA UHANDAHAJI WA MAZUNGUMUZO KATI YA WAKONGOMA ILI KUHANDAA UCHAGUZI BORA . VYAMA VYA UPINZANI VIMEKAWANYIKA, VIMOJA VIMEKUBALI NA VINGINE VIMETUPILIYA MBALI AZIMIYO IYO". mtazamo wako uko je? tunakuomba mchango kunako kipindi chako cha BUNGE LA FIZI cha juma pili ya 28 agosti na saa moja na dakika 15 inachotayarishwa na mtangazaji wako WANGANDU SHIKO'A ABWE André.

19/12/2015

MANQUE DU CALENDRIER ELECTORAL EN RDC, BEAUCOUP DE PREALABLES. Pendant que les agents politiques en RDC attendent la publication du calendrier électoral plusieurs préalables ont lieu, la majorité propose le dialogue, l'opposition reste scindée, les uns réfusent catégoriquement et le reste le préfere sous certaines conditions. Ce samedi 19 décembre 2015, le parti de l'opposition UNC/FIZI qui est parmi de ceux qui rejettent catégoriquement l'initiative du dialogue, organise une soirée politique à BARAKA, thème: AVENIR DE LA RDC HYPOTHEQUE: QUELLE EST LA SOLUTION A ENVISAGER. selon le vice sectionnaire FIZI YANN ALEMBE PELEPELE estime que la RDC est mise en garantie d'ou nous devons la sauver par l'imposition de l'élection en respect de la constitution.

11/12/2015

"LES AUTORITES DE FIZI DOIVENT EVITER A ETRE OPPORTINISTES JUSQU'A OUBLIER LEURS OBLIGATIONS" A DECLARE JOSEPH YALALA JUSTIN DE L'UNC/GOMA. joint ce vendredi, soir à Goma, ce militant de UNC, originaire de FIZI a d'abord donné condoléance à la population de KATANGA qui vit à une grande insécurité, puis à deplorer les autorités politico-administrative de la place qui pense que l'être signifie se retrouver économique et ignorer leurs obligations, elles doivent assurer une sécurité car c'est parmi les droits subjectifs extrapatrimoniaux de la population. Il regrette comment FIZI devra-t-il être comme une maison où le père se permet de manger toute nourriture en clandinstin puis demander aux enfants qui aurait mangé toute nourriture? et donner punition ne pas manger? est-ce que vous imaginez cela logique? comment la population declare que ce sont les forces de l'ordre qui le font et les autorités restent timides puis flatter après par de cadeaux de bidons, draps, soyons responsables, a-t-il dit.

UN CANNON RAPIDE NOYE CE LUNDI 30 DECEMBRE, 2015 DANS LA PARTIE DU GRAND LAC DU LAC KIVU.               un enfant de deu...
02/12/2015

UN CANNON RAPIDE NOYE CE LUNDI 30 DECEMBRE, 2015 DANS LA PARTIE DU GRAND LAC DU LAC KIVU.

un enfant de deux ans est retrouvé mort et vingt quatre autres personnes ont été sauvées dans le naufrage du cannot rapide NYIRAGONGO du gouvernement en provenance de GOMA. quarante huit passagers ont été transportés au bord du cannot, les restes de personnes sont encore introuvables. les sources sûres confirment que les pêcheurs d'IDJWI seraient les premiers à constater ce naufrage et signaler GOMA pour l'intervention. l'intervention a été amorcée après deux heures.

20/08/2015

jamani k**a mjuavyo kila siku ya posho tuna rusha salamu, ni ktk kipindi mkongomani wa inje. tuma salamu!!!!!

20/08/2015

Abari kuu leo hapa tarafani ni kuwa, uhongozi wa polisi tarafani ume onya vikali watu wanao ji chukulia sheria mikononi, hili ni baada ya watu wa tata sasa ku chomwa wakiwa hia kwa shutma za,wizi na raiya wenye asira kali, ivinajuzi mwingine ali pigwa vikali pa wemezi2 na kunusurika ku chomwa kwa msaada wa police, kwa sasa ana lazwa mautiuti hospitali, nini mani yako?

Hali ya Barabara, ya endeleya kuwa Mbovu tena, kwene Mto Mtambala, Kwenye Umbali wa kilometa 12 na Baraka center, Mto Um...
12/01/2015

Hali ya Barabara, ya endeleya kuwa Mbovu tena, kwene Mto Mtambala, Kwenye Umbali wa kilometa 12 na Baraka center, Mto Ume jaa sana na maji yame furika. Kupita ili kwenda upande wa pili ina kuwa patashika. Raiya wa eneo hilo wana omba wakubwa viongo wa shuglikie shahilo araka iwezekanovyo. Tuwajulishe kuwa hali hio ili kuwa ivyo tena mwaka jana.

Mkuu wa sector ya Mtambala Bwana Luhanusha Mmelelwa Josoue, Ame kizuri kijiji cha Mwandiga ya Tatu na ku wa achiya msaha...
12/01/2015

Mkuu wa sector ya Mtambala Bwana Luhanusha Mmelelwa Josoue, Ame kizuri kijiji cha Mwandiga ya Tatu na ku wa achiya msahada wa Bidons 2 za mafuta ya gezi kwa kujisaidiay ili kuchota maji kqwa kwa babu eneo hilo wana chota maji ya kunywa kupitiya Generator, Zaidi ya hao ame wapa wacheza mpira Mpira Moja, Bila shaka Raiya wa eneo hilo wali shukuru sana kwa Msaada huo. Wewe Msilizaji Una sema je? Towa maoni yako Tuata ya soma studioni kwetu.
Unapo towa maoni tu ambie una patikana wapi.

12/01/2015

Wadau wa Radio Umoja, Kwanza tuna anza naku wasalimu Mahali popote pale mlipo, na ku watakia heri za mwaka mpya. Kwa wapenzi Hote wapya wa RCUB tuna wakumbusha kuwa tuna rusha matangazo yetu Toka Jijini Baraka, hapa Tarafani fIzi, jimboni kivu ya Kusini ni hapa inchini congo yaki democrasia. Karibuni Nyote.

19/03/2013

jiunge na radio umoja kwenye 95.1FM,KWA sasa kuhanza saa 8h00 hadi saa 12h00 mchana,tena saa 17h00 hadi saa 22h00 usiku kila siku

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RADIO UMOJA a Baraka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share