Deaths Announcements Kenya

  • Home
  • Deaths Announcements Kenya

Deaths Announcements Kenya death announcements for KENYA

14/01/2023

إنا لله وإنا اليه راجعون
Kifo hivi sasa cha Muhammad Salim Bam-Mbarak wa Dollar petroleum, baada ya kupata ajali ya barabarani head on collision na lorry, mbele ya Voi wakiwa wanaelekea kufungua msikiti mjini Taveta. Ni babake Samir na wengenio. Ni mjombake Ahmed na Msellem Mashjary wa Kilifi Town. Katika huo ajali pia ameumia Duktur Islam anayetoa darasa msikiti wa Al azhar na Masjid Luta. Duktur Islam yuko ICU. Tunamuomba Allah ampe Shifaa ya Haraka. Baa-mbarak nyumbani kwake ni karibu na Masjid Nur, Nyali. Mwenye zi mungu amsamehe dhambi zake na amueke mahala pema peponi. ameen.

Inna Lillahy Wa Inna ileihi raaji3unTUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WETU YAHYA HEMED BATHAFMarhum ataswaliwa baadal...
29/11/2021

Inna Lillahy Wa Inna ileihi raaji3un
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WETU YAHYA HEMED BATHAF

Marhum ataswaliwa baadal maghrib masjid mlango wa papa HII LEO 29 NOV 2021, na kuzikwa maziara ya kikowani

Allah amlaze pema na amkubaliye amal zake. Ameen

Ahmed Noor Dakawou has passed away.He was a committee chairman of Masjid Rahma Hurlingham and the chairman of Premier Ho...
23/10/2021

Ahmed Noor Dakawou has passed away.
He was a committee chairman of Masjid Rahma Hurlingham and the chairman of Premier Hospital, Mombasa.

A member of the Sikh community in NAKURU was killed by thugs last night.
15/10/2021

A member of the Sikh community in NAKURU was killed by thugs last night.

Sheikh Muhammad Omar Dumila wa Malindi amefariki leo alfajiri. Ataswaliwa leo Masjid Jamia Malindi baada ya swala ya Iju...
28/05/2021

Sheikh Muhammad Omar Dumila wa Malindi amefariki leo alfajiri. Ataswaliwa leo Masjid Jamia Malindi baada ya swala ya Ijumaa na kuzikwa hapo hapo.
إنا لله وإنا إليه راجعون.

14/04/2021

It is with great sadness that we announce the loss of our beloved aunty Shumi Machele. The late was a paternal Aunty to our Patron Mohamed Soud Machele, Abdallah Soud Machele (Abduluu) and others.

A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered. Aunty Shumi Machele was an integral part of our community and will be missed dearly. There are no words to express our sorrow.

The late Shumi Machele will be laid to rest tonight after Swalatul ishaa at Migandini cemetery (Opposite madrasatul Falah, bondeni).

Inna lillahi wainna ilayhi rajiun.

It’s with shock and deep sorrow that we have learnt of the sudden passing of Honourable Khamis Nyundo.RIP
02/04/2021

It’s with shock and deep sorrow that we have learnt of the sudden passing of Honourable Khamis Nyundo.
RIP

16/03/2021

KIAMBU MCA Eliud Ngugi dies of Covid-19 complications at the Kenyatta University hospital, Jubilee Party officials in Kiambu confirm.

14/03/2021

Tunasikitika kutangaza kifo cha mama *SWALHA ABOUD BIN AHMAD AL-HAMDY* maarufu Mwanaswaliha wa Abudi Pengo ( mjane wa almarhum Said Khalifa )
Ni mama yao kina Fatma D.O, Khalifa GDC, Aboud Said Khalifa wa Amu Power, Nasra, Wahida, Hamida, Khalida na Latifa
Marhuma ni dada yao kina Esha Mutakina, Swaleh Slim, Seif Slim na wengine walotangulia
Maiti ipo nyumbani kwake mji wa kale, ataswaliwa baadal asri, masjid Noor Bondeni na kuzikwa maziara ya Kikowani upande wa Seif Halwa
Allahumma ghfirlaha warhamha waaskinha fil jannah Ameen
Innaa lillahi wainnaa ilayhi rajiun

Innalillahi Wainailayhi raajiun nasikitika kutangaza kifo cha mama yetu mwana swaliha abud
14/03/2021

Innalillahi Wainailayhi raajiun nasikitika kutangaza kifo cha mama yetu mwana swaliha abud

Billionaire Mombasa businessman Abdulhakim Zubedi is dead.Zubedi who was the proprietor of Nawal centre among other busi...
10/03/2021

Billionaire Mombasa businessman Abdulhakim Zubedi is dead.

Zubedi who was the proprietor of Nawal centre among other businesses died on Wednesday while receiving treatment in Nairobi. He had been sick for sometime. The body arrived in Mombasa (Wednesday ) after 8 pm.

He will be laid to rest on Thursday (11 March 2021) at the Kikowani muslim cemetery after the afternoon prayers at Masjid Noor.

Kijana Sajid...he had an accident yesterday night around Bombolulu. He died and was buried today.Inna lillahi wainna ile...
13/02/2021

Kijana Sajid...he had an accident yesterday night around Bombolulu. He died and was buried today.
Inna lillahi wainna ileihi raajiun. May the Almighty Allah have mercy on him.

Innalillahi wainna ileyhi rajiun. Kifo cha Omar Mofa. Ataswaliwa leo baadal Maghrib masjid Nur na kuzikwa katika maziara...
10/02/2021

Innalillahi wainna ileyhi rajiun. Kifo cha Omar Mofa. Ataswaliwa leo baadal Maghrib masjid Nur na kuzikwa katika maziara ya kikowani. Mwenye zi mungu amueke mahala pema peponi. Ameen.
Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen

Assalaam alaikum twasikitika kutangaza kifo cha Maganga wa omar Abafae sasa hivi Nairobi Maiti italetwa mombasa....magan...
10/02/2021

Assalaam alaikum twasikitika kutangaza kifo cha Maganga wa omar Abafae sasa hivi Nairobi Maiti italetwa mombasa....maganga ni mume wa dada yetu fatma maria inna lillahi wainna illehi rajiun.
Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen

05/02/2021

INNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAAJIUN

Today is a sad day for us.

The mother of our dedicated Donge Official Bro Laabied Mohammed Gurcharan has passed away today in Mombasa.

Mama Nuru was one of our biggest supporters, often sending pots of food whenever we had community events.
She was a mother to all of us.

Please remember her in your prayers . May God accept her in the highest level of paradise and give her family patience in this very difficult time.

Allahumma Ameen

Rip
31/01/2021

Rip

26/01/2021

TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMAKE BADERE BI AISHA ABDALLA HASSAN KILIOTOKEA MOMBASA MTAA WA FLORINGI MARHUMA ATATOLEWA NYUMBANI KWAKE SAA TANO NA NUSU NA KUZIKWA. MAZIYARA UPANDE WA SEIF HALWA MOLA AIWEKE ROHO,YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMEEN

15/01/2021

My beloved Aunt Sabah has returned to her lord. Subhanallah she went through an unbelievable amount of tests and trials and kept pushing through with patience. Not once did she shake my hands ever since I was a little girl unless she had money in the palm of her hands, and she’d say, “ Go get yourself something sweet.” And her tradition continued on with my own children every summer when they met her. Not once did she call me by my name, but rather the nickname she chose for me “Yassoura”. I remember when we first returned from Zimbabwe to live in Egypt she would keep calling my dad and telling us be careful, the water runs down in the taps here extremely hot so keep it running for a bit, don’t burn yourself. 3 days ago I called her to pay my condolences on the passing of her husband and all she kept saying was, Take good care of yourself habibty, take good care of your kids.”

May Allah swt forgive her and elevate her station among those who are guided. Send her along the path of those who came before, and forgive us and her, O Lord of the worlds. Enlarge for her her grave and shed light upon her in it ya rab. Ya Allah please make all her suffering and the loss of her eye sight in her last days an elevation for her and expiation of all her sins ya rab.

O Allah, be generous to her and cause her entrance to be wide and wash her with water and snow and hail. Cleanse her of her transgressions as white cloth is cleansed of stains. Give her an abode better than her home, and a family better than her family ya rab.

Please keep her and her girls in your duaa🤲🏼

"The eyes are shedding tears and the heart is grieved, and we will not say except what pleases our Lord.”💔😔

إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ

10/01/2021

Former legendary Safari Rally driver, Jayant Shah is dead.

Shah, the 78-year-old driver, was flown in from Arusha and admitted at the M.P. Shah Hospital in Nairobi with Covid complications last week, passed away on Saturday night.

Assalaam Aleikum WarahmatuLlah Wabarakatu.Inna lillahi wainna ilaihi raajiun. Kifo cha Salim Abeid Awadhan (K.R.A) wa  l...
03/01/2021

Assalaam Aleikum WarahmatuLlah Wabarakatu.

Inna lillahi wainna ilaihi raajiun. Kifo cha Salim Abeid Awadhan (K.R.A) wa likoni Tower. Zamani alikuwa akiishi mwembe kuku opp fire station. Ni ndugu yake Dr. Hassan, Ddaai Zakaria, Yahya na Ismail.Al marhum Salim atatolewa sargoi saa tano na kuswaliwa baadal dhuhr masjid shibu na kuzikwa katika maziara ya kikowani.
Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen

02/01/2021

Assalamu aleikum warahmatullahi wabaraaatuh wana familiar.
Twaskitika kuwajulisha kifo cha Abduswamad Ahmad Ali Msuo, mtoto wa Marhum Bishamba, mtoto wa marehemu Sandali.
Maiti yuko Malindi Barani kwa Maryam Bishamba.
Mazishi tutawajulisha baadaye inshaallah.
Innaa lillah wa innaa ilayhi raajiun.
Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah Ameen

28/12/2020

INNA LILLAH WA INNA ILLAH RAJIUN.
Twasikitika kutangaza kifo cha MZEE ALUI wa Matondoni kilichotokea leo Malindi. Marhem ni ammi yake ndugu yetu Ali Dario na ni mjombawao kina Dulla Benz, Athman Baker, Omar Baker na wengineo. Maiti iko nyumbani kwa Ali Dario, Malindi na mazishi baadal Maghreb. Allah amueke pema palipo wema peponi Aamin.
Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen

13/12/2020

Innalillahi wainna ilayhi rajiuun. Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen.

*Dr. Daud (David) Kariuki Ngogoyo maarufu Dr. Bichwa* wa Malindi, Kenya, amefariki. Ndugu yetu Dr. Daud alisilimu tarehe 7 December, 2020 na amefariki leo akiwa muislamu katika Tawfiq Hospital Malindi.

Allah amsamehe na amrahamu

_Maazishi yake ni leo_

*jumapili 13-Dec-2020 *
*Jamia Mosque* - *Malindi*
*Baada ya swala ya Adhuhuri*

Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen. Na sisi atupe husnul khaatimah indal maut, Ameen

Innalillahi wainna ilayhi rajiuun, Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen
08/12/2020

Innalillahi wainna ilayhi rajiuun, Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen

INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN.    TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MOHAMED ALAMIN (JINA MAARUFU GAMAGAMA )KILIOTOKEA ...
06/12/2020

INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN. TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MOHAMED ALAMIN (JINA MAARUFU GAMAGAMA )KILIOTOKEA NAIROBI HOSPITAL ATALETWA MOMBASA KWA MAZISHI MOLA AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMEEN .

ALLAHUMMA GHFIRLAHU WARHAMHU WAASKINHU FIL JANNAH, AMEEN

TAAZIA NAIROBITunasikitika kutangaza kifo cha *MOHAMED ABUSOMO BOA*  Financial Controller KPLC alofariki Nairobi Hospita...
06/12/2020

TAAZIA NAIROBI

Tunasikitika kutangaza kifo cha *MOHAMED ABUSOMO BOA* Financial Controller KPLC alofariki Nairobi Hospital...

Ni mtoto wa marehemu Hon Abusomo wa Tchundwa, ni ndugu yao kina Dr. Boa wa Malindi, Fatma na Dida Abusomo wa Nairobi, pamoja na Farida Abusomo wa Ohio State America

Maiti itaswaliwa saa nne masjid Salaam wa South C na kuzikwa maziara ya Langata

Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah, Ameen

Innaa lillahi wainnaa ilayhi rajiun

05/12/2020
05/12/2020

MOMBASA
Jayantilal Motichand Hansraj Shah from 1st floor Shiva Towers has passed away today at around 8.30pm
My his soul rest in peace.

Innaalilaahi wainnaa ilayhi raajiuun, Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah Ameen
03/12/2020

Innaalilaahi wainnaa ilayhi raajiuun, Allahumma ghfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannah Ameen

02/12/2020

MOMBASA PRINCIPAL Magistrate Elvis Michieka dies at Karen Hospital where he was admitted, KMJA Secretary-General Derrick Kuto confirms.

Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiun. Ndugu yetu alokuwa ICU  in UK  Captain Salah Jaizan Mola amemukhitari. ALHAMDULILLAH ...
02/12/2020

Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiun.
Ndugu yetu alokuwa ICU in UK Captain Salah Jaizan Mola amemukhitari. ALHAMDULILLAH . Kullu Nafsin Dhaaikatul Maut. Hii ni ndia ya haki. Ni kazi ya Allah na kazi ya Allah haina makosa. Tumuombeeni dua Mungu amsamehe madhambi yake yote amrehemu na amueke pema peponi. Mola awape subra na imani jamaa wake wote walioko karibu na mbali kwa msiba huu adhim.
Marhem alkuwa ni mtu mwema mwenye utu na mpenda watu. Maarufu kwa marafiki zakw wengi kote nyumbani Kenya na nchi za ughaibuni. Tuwape pole jamaa wake wote na marafiki zake wote. Mungu awape subra. Mungu amjaalie al marhum Rehma Zake amkinge na adhab za kabri na ampe raudhwan min riyaadhil Jannatul Girdaus.
Ameen Thumma Ameeen.

01/12/2020

INNAA LILLAHI WAINNAA ILEIHI RAAJIOUN:

Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Khale yetu Mariyam shekh omar Al Amoudy kilotokea mambrui na mazishi yatakua baadal Asri hpo mambrui kenya..

Allahumma ghfirlaha warhamha waaskinha fil jannah Ameen

A Mother and Son both passed away today.Rip
30/11/2020

A Mother and Son both passed away today.
Rip

30/11/2020

Asalam aleykum
Biidhnillah taallah InshaaAllah
Mazishi ya Bi Amina Haji Abdalla
Ilikuwa leo 10am
Al Quoz Cemetery
Behind BMW Showroom..Dubai

AdhamaLlah ajrakum wa ahsana azaaikum wa ghafara li mayyitukum.Allauma ghfirlaha warhamha.🤲

..InshaaAllah Mola atufanyie wepesi mpaka pale tumefika tumalize kwa salama. MOLA AWAPE SUBRA NA IMAN WEWE NA FAMILIA YAKO YOTE.

29/11/2020

Former Deputy Chief of General Staff Lieutenant John Koech dies at a Nairobi hospital where he was receiving treatment, family confirms.

28/11/2020

KHALID SHAPI ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA DADA WAKE GULLY SHAPI....MOLA AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMEEN

28/11/2020

Former Lagdera Member of Parliament Hon Abdullahi Sheikh Dahir has passed on.

Abdullahi Dahir who died this morning served as Lagdera MP from 2002-2007.

INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUNMy Brother in law Farid Said Swaleh has passed away this morning after suffering from c...
28/11/2020

INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUN
My Brother in law Farid Said Swaleh has passed away this morning after suffering from chronic Diabetes , married to my cousin Farida father to Jamil ,karima husna hassna yussra hajrah ,a well known figure in majengo gulshan and Barsheba MashAllah Farid was very helpful to all those who knew him , May Allah have mercy on him may Allah Grant him Jannah ,he will be buried before Dhuhr at Mazrui cemetery MTTI kaloleni

27/11/2020

Inna llillahi wainna illahi rageeuun nasikitika kutangaza kifo cha mzee Athman Ali aliyefariki sasa hivi Tawfiq mazishi tawajulisha malindi high babake babas

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deaths Announcements Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share