Ryans Brian

Ryans Brian 🇧🇴🇧🇴Always rasta🇧🇴🇧🇴rasta never dies🇧🇴

22/05/2023

I remember the day I came back from school with my maths paper which i scored 90%, my mother asked me why I added the 0 and I said I didn't add it. She gave me some stroke but I still insisted and she was about to kill me now but I still insisted because truly I didn't add that 0, it was 9 that I added.🤣🤣

22/05/2023

Najaribu kuacha pombe lakini nakumbuka waiter ako na family inamtegemea.🤕

18/05/2023

Bro unaitiwa Pombe lakini Connections za job huitiwi🙄😂
Know your worth 🥰

03/05/2023

Jana nimeingia club nikaitisha Captain Morgan Mzinga😎🍾🍸But nikaona watu wameniangalia sana nikasema siwezi kunywa na watu wameniangalia😏so nikashout 🗣Waitor..Siwezi kunywa na watu wananiangalia pea kila Mtu Mzinga yake😎..Watu kuskia hivo wakafurahi🥳🤗wengine wakaanza kudance💃🕺Baada ya kila mtu kupewa pombe..nikaitisha Chips kuku😎🤓..Tena nikaona watu wananiangalia nikaambia waitor siwezi kula na watu wananiangalia..Pea kila mtu Chips kuku yake😎😎🤓wacha watu wafurahi🕺🕺wakaanza kuniita majina poa poa eti ooh Mkuu..Ooh our incoming President👉💪..wewe ndio Mwanaume sasa💪💪🤗...
Baada ya kumaliza kukula nikiitisha Bill nikaona tena watu wote wakaniangalia🙄..Nikashout🗣..Waitor Siwezi lipa na watu wameniangalia..pea kila mtu Bill yake😎🤓...Sai niko apa hospital... Narudi kumalizia story🤕🤕😆😂😂😂follow my page Ryans Brian

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ryans Brian posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share