The New Ummah

  • Home
  • The New Ummah

The New Ummah TNU - The New Ummah: for Islam, News and Interact.

Vijana watatu wa Kiislamu wameuawa kwa kupigwa risasi jana na polisi wa India wakati wa maandamano ya kupinga uchunguzi ...
25/11/2024

Vijana watatu wa Kiislamu wameuawa kwa kupigwa risasi jana na polisi wa India wakati wa maandamano ya kupinga uchunguzi wa Shahi Jama Masjid huko Sambhal, Uttar Pradesh.

Timu ya uchunguzi ilikuja kuchunguza Shahi Jama Masjid wenye umri wa miaka 500 ili kujua k**a ni "hekalu la Kihindu" au msikiti.

Waliouawa wametambuliwa kuwa ni Naved, Naeem (28) na Bilal Ansari (25).

👇

Siku ya tarehe 23 Novemba 1174 CE, Salahuddin al-Ayyubi aliingia Damascus na kuudhibiti mji huo, na hivyo kuuunganisha n...
24/11/2024

Siku ya tarehe 23 Novemba 1174 CE, Salahuddin al-Ayyubi aliingia Damascus na kuudhibiti mji huo, na hivyo kuuunganisha na himaya yake huko Misri, baada ya kifo cha Nur al-Din Zengi.

👇

23/11/2024

Sheikh Othman Khamis: Katika Demokrasia hakuna chama hata kimoja kitakufanya uende PEPONI.👇

23/11/2024

We unaishi Kidemokrasia alafu uende PEPONI? Msellem Bin Ally: Allah amuhifadhi👇

UTAWALA WA MIYANMAR, BURMA ULIVYO TESA WAISLAMU NA KUUANi mipango tu na chuki zilizopo, k**a zilivyo serikali nyenginezo...
22/11/2024

UTAWALA WA MIYANMAR, BURMA ULIVYO TESA WAISLAMU NA KUUA

Ni mipango tu na chuki zilizopo, k**a zilivyo serikali nyenginezo tu za Kidemokrasia zilivyo na Uadui na Uislamu na Waislamu kote ulimwenguni.


ICC IMEDAI KUTOA HATI YA KUK**ATWA KWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL, BENJAMIN NETANYAHU!ICC imedai kuwa Benjamin Netanyahu na a...
22/11/2024

ICC IMEDAI KUTOA HATI YA KUK**ATWA KWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL, BENJAMIN NETANYAHU!

ICC imedai kuwa Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wake wa Ulinzi, Yoav Gallant wameshiriki uhalifu wa kivita uliofanywa kuanzia Oktoba 8, 2023 hadi Mei 20, 2024 huko , !

Mahak**a hii ni yakinafiki sana na ipo tu k**a sanamu ngoja tuone k**a wanachosema watakifanya.

HAFIDHI MDOGO ZAIDI USAMAH MUHAMMAD AL-LI (6) ALIUAWA NA ISRAELUsamah Muhammad al-Li, ambaye alihifadhi Quran nzima akiw...
21/11/2024

HAFIDHI MDOGO ZAIDI USAMAH MUHAMMAD AL-LI (6) ALIUAWA NA ISRAEL

Usamah Muhammad al-Li, ambaye alihifadhi Quran nzima akiwa na umri wa miaka 6, aliuawa pamoja na watu wa familia yake huko katika mashambulizi ya Israel.

SAUDI ARABIA YAMWACHILIA MWANAZUONI SHEIKH SALEH AL-SHAMISheikh Saleh al-Shami aliwekwa kizuizini mnamo Januari 2023 bil...
21/11/2024

SAUDI ARABIA YAMWACHILIA MWANAZUONI SHEIKH SALEH AL-SHAMI

Sheikh Saleh al-Shami aliwekwa kizuizini mnamo Januari 2023 bila mashtaka ya moja kwa moja dhidi yake.

👇

Vikosi vya Israel vilichoma moto Msikiti wa Badr huko Rafah, Kusini mwa  .
19/11/2024

Vikosi vya Israel vilichoma moto Msikiti wa Badr huko Rafah, Kusini mwa .

Ugaidi wa Israel, Mayahudi dhidi ya Wapalestina.   👇
18/11/2024

Ugaidi wa Israel, Mayahudi dhidi ya Wapalestina.

👇

UTAJUAJE K**A SHETANI KAWA RAFIKI YAKO.Kuna alama nyingi ambazo mtu akiwa anazo basi niutambulisho kuwa amekuwa karibu z...
17/11/2024

UTAJUAJE K**A SHETANI KAWA RAFIKI YAKO.

Kuna alama nyingi ambazo mtu akiwa anazo basi niutambulisho kuwa amekuwa karibu zaidi na shetani anajua au hajui. Miongoni mwa alama hizo ni.

1. Pindi unapowasifia watu wema lakini unawachukia walinganizi wa mambo mema fahamu kuwa shetani Kawa rafiki yako.

2. Pindi unaposikia Qur'an inasomwa ukasemwa izimwe kwakuwa inakukera basi fahamu Kawa rafiki yako.

3. Pindi unapojiona wewe ndio mtu mwema zaidi na wengine wote ambao hawana mtazamo k**a wako ni waovu na watu wanamkuza motoni basi fahamu kuwa shetani Kawa rafiki yako tayari.

4. Pindi anapoona kuwa Uislam hauwezi kuhukumu maisha yako Katika kila nyanja ya maisha. Bali mifumo mingine ya kiutawala ndio inastahili kukutawalia maisha yako Fahamu kuwa shetani kashajenga kwenye moyo wako.

5. Pindi unapoona unakatazwa jambo Baya Badala ya kuliacha unasema mbona na wao wanafanya fahamu shetani kashakuwa rafiki yako.

6. Pindi unaposikia adhana kwa ajili ya swala na usiende kuswali bila ya sababu ya kisheria na sio hivyo ukakerwa name anaenda kuswali imma ni mfanyakazi wako au mke wako au watoto basi fahamu shetani Kawa rafiki yako.

7. Pindi unapifikia mahala unawasifu watu wanaofanya maovu hadharani na kuwachukia walinganizi wa haki basi fahamu shetani kashakuwa rafiki yako.

8. Pindi unapokuwa mwepesi kutoa kwenye batili na unakuwa mgumu sana kutoa kwenye kheri basi fahamu kuwa shetani Kawa rafiki yako.

9. Pindi unapokwenda mbio kuhukumiwa na demokrasia na kutokuwa tayari kuhukumiwa na sheria za Allah basi fahamu kuwa shetani Kawa rafiki yako.

10. Pindi unapomuona mwanamke wa kiislam kajisitiri ukachukia kumuona Katika mandhari yale fahamu kuwa shetani Kawa rafiki yako.

11. Pindi ukiona unaambiwa kesi yako ima ni ya ndoa au mirathi iende ikahukumiwe kwa mujibu wa uislam ukakataa fahamu kuwa shetani Kawa rafiki yako.

12. Pindi unapofanya maasi hadharani wala hujali na kila unapoambiwa juu ya ubaya wa maasi hayo ndio unazidisha kwa jeuri na dharau. Basi fahamu shetani kasha kufanya bodigadi wake.

13. Ukiona unafikishiwa ujumbe wa Uislam na ndani yake Kuna Aya za Qur'an na hadithi halafu ukawa unaleta hoja zako za kiakili dhidi ya ujumbe huo basi fahamu kuwa shetani kashakufanya kipenzi kabisa.

14. Ukiona unafikishiwa ujumbe wa kheri unaotokana na Qur'an na sunnah Kisha ukaujibu kwa matusi na hata kukaribia kumpiga mfikishaji fahamu kuwa wewe shetani kakupandisha cheo Katika marafiki zake.

(وَإِذَا تُتْلَىٰ عَلَيْهِمْ آيَاتُنَا بَيِّنَاتٍ تَعْرِفُ فِي وُجُوهِ الَّذِينَ كَفَرُوا الْمُنْكَرَ ۖ يَكَادُونَ يَسْطُونَ بِالَّذِينَ يَتْلُونَ عَلَيْهِمْ آيَاتِنَا ۗ قُلْ أَفَأُنَبِّئُكُمْ بِشَرٍّ مِنْ ذَٰلِكُمُ ۗ النَّارُ وَعَدَهَا اللَّهُ الَّذِينَ كَفَرُوا ۖ وَبِئْسَ الْمَصِيرُ)
[Surat Al-Hajj 72]

"Na pindi wakisomewa aya zetu zilizowazi utawajua kwa sura zao wale ambao wamekufuru namna wanavyochukia. Wanakaribia kuwapiga wale ambao wanawasomea Aya hizo, Sema niwaambie Baya zaidi ya hilo mlifanyalo (la kuwachukia na kukaribia kuwapiga wanaowasomea Aya za Allah) ni moto ambao Allah amewaahidi wale ambao wamekufuru na nimafikio mabaya zaidi "

Allah tutenge mbali na shetani na utuepushe na moto kwa huruma zako Yaa Rabbal alamiin.

By Sheikh khatibu Imran Abuu.

MBEBA MIZIGO HAPO KARIAKOO NDIO KINARA WA UOKOAJIMbeba mizigo wa Kariakoo ndio Alie okoa watu wengi kutoka chini ya vifu...
17/11/2024

MBEBA MIZIGO HAPO KARIAKOO NDIO KINARA WA UOKOAJI

Mbeba mizigo wa Kariakoo ndio Alie okoa watu wengi kutoka chini ya vifusi kuliko hata wale wenye Bwanda!. Pia hili ni funzo kwa wale wenye kuona pesa ndio kila kitu katika maisha, ambao wenye fikra mbovu. Pesa yako haina msaada hapo zaidi ya Utu tu.




17/11/2024
UTAWALA WA SAUDIA UKIENDELEA KUDHALILISHA MATUKUFU YA UISLAMUSaudia waahidi kujenga jengo kubwa  zaidi duniani lenye mfa...
17/11/2024

UTAWALA WA SAUDIA UKIENDELEA KUDHALILISHA MATUKUFU YA UISLAMU

Saudia waahidi kujenga jengo kubwa zaidi duniani lenye mfano wa Al-Ka'aba. Pia katika ufunguzi wa Tamasha la mziki jukwaa lake wameweka lenye mfano wa Al-Ka'aba, ambapo Wanawake wakicheza Uchi ndani yake!.

Mlinzi wa tukufu mbili na dola ya Tawheed 👇

MWANACHUONI WA KIISLAMU WA KUWAIT AL-SUWAIDANKuweka mahusiano ya kawaida na Israel ni kuwafanya wasaliti wa Uislamu.👇   ...
16/11/2024

MWANACHUONI WA KIISLAMU WA KUWAIT AL-SUWAIDAN

Kuweka mahusiano ya kawaida na Israel ni kuwafanya wasaliti wa Uislamu.👇



AJALI YA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO, DAR ES SALAAMTunawapa pole Wahanga waliokutwa na tukio la kuporomokewa na Ghor...
16/11/2024

AJALI YA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO, DAR ES SALAAM

Tunawapa pole Wahanga waliokutwa na tukio la kuporomokewa na Ghorofa hio na Watu wote kwa ujumla, ambao tumeguswa kwa namna moja au nyengine yoyote.


Maarufu k**a Jafari Ally Msambaa   Dunia Jana kwa kugongwa na Gari na kupelekwa hatua nyengine ya maisha ya   na Allah.M...
16/11/2024

Maarufu k**a Jafari Ally Msambaa Dunia Jana kwa kugongwa na Gari na kupelekwa hatua nyengine ya maisha ya na Allah.

Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake.🤲

15/11/2024

Mashallah👇♥️

Address


Telephone

+255714014376

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The New Ummah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share