Kozica

Kozica Kozica is an e-learning platform dedicated to providing emerging communication and journalism skills.

Getting up-to-date skills in emerging communication and journalism has not been easy in Tanzania. Most of the courses pr...
24/07/2023

Getting up-to-date skills in emerging communication and journalism has not been easy in Tanzania. Most of the courses provided by colleges and universities are basics and some of them are becoming obsolete due to ever changing digital technologies.

Even those higher learning institutions which are offering most needed skills in the market such as Digital Journalism and Data Journalism, are doing so at higher prices which most of us cannot afford due to economic hardships. Based on my experience it is hard to find these kinds of institutions in Tanzania.

Read more 👉 https://kozica.tz/blogp?mm=22

Je ungependa kujifunza jinsi ya kutengeneza jarida la kidigitali ambalo limesheheni taarifa mbalimbali za kampuni au taa...
21/07/2023

Je ungependa kujifunza jinsi ya kutengeneza jarida la kidigitali ambalo limesheheni taarifa mbalimbali za kampuni au taasisi yako?

Kampuni ya Habari na Teknolojia ya Nukta Africa inakuletea mafunzo ya utengenezaji na usimamizi wa jarida la kidigitali ambapo utajifunza mbinu za habari na mawasiliano zitakazokusaidia kuwasilisha taarifa kwa umma kwa urahisi.

Do you wish to start or improve your social media journey in storytelling by communicating the message that would reach ...
19/07/2023

Do you wish to start or improve your social media journey in storytelling by communicating the message that would reach your audience ?

According to statista social media usage is one of the most popular online activities. In 2021, over 4.26 billion people were using social media worldwide, a number projected to increase to almost six billion in 2027.

Read more 👉 https://kozica.tz/blogp?mm=34

Have you ever asked yourself, why misinformation or disinformation at a certain moment or event? Because people tend to ...
17/07/2023

Have you ever asked yourself, why misinformation or disinformation at a certain moment or event? Because people tend to use events or trending topics to mislead people for their own purposes.

Learn more 👉 https://kozica.tz/blogp?mm=27

Privacy ensures that individuals are free from unwarranted surveillance, intrusion, and the potential harm that may aris...
12/07/2023

Privacy ensures that individuals are free from unwarranted surveillance, intrusion, and the potential harm that may arise from the misuse of their personal data.

Learn more 👉 https://kozica.tz/blogp?mm=29

BOTS IN NEWSROOMS: WHAT FUTURE FOR HUMAN JOURNALISTS?By Daniel MwingiraDar es Salaam. There is unknown fear in Tanzania ...
10/07/2023

BOTS IN NEWSROOMS: WHAT FUTURE FOR HUMAN JOURNALISTS?

By Daniel Mwingira

Dar es Salaam. There is unknown fear in Tanzania and the rest of Africa that Artificial Intelligence (AI) will come and replace people in the newsroom.

As we think about how AI will replace jobs in the media sector in Tanzania, there are initiatives in the newsroom to use AI. One such technological innovation that is gaining momentum is the use of bots in newsrooms across the world.

Despite the fear of AI, in recent years, Tanzania has gained momentum of using robotical cameras in the broadcasting newsroom. These cameras are not controlled by human beings.

But today in this article our focus will be on the use of bots in newsrooms. These intelligent bots are revolutionizing the way news is gathered, produced, and disseminated, leading to increased efficiency and accuracy in reporting.

This article will explore the growing significance of bots in the newsroom and various ways they are transforming journalism:

Read more 👉 https://kozica.tz/blogp?mm=28 #

DISCOVER THE WORLD OF KOZICA'S E-LEARNING PLATFORMIn a rapidly evolving world where effective communication is paramount...
06/07/2023

DISCOVER THE WORLD OF KOZICA'S E-LEARNING PLATFORM

In a rapidly evolving world where effective communication is paramount, the need for honing cutting-edge skills in journalism and communication has never been greater.

Enter Kozica, an innovative e-learning platform that has revolutionized the way aspiring professionals acquire expertise in these dynamic fields. With a dedication to providing top-notch education and guidance, Kozica stands at the forefront, empowering individuals to excel in the art of storytelling.

What sets Kozica apart from the rest? It all begins with our exceptional trainers – industry-renowned experts who have not only mastered their craft but have also earned accolades for their contributions.

These award-winning practitioners form the backbone of our platform, imparting their wealth of knowledge and real-world experience to trainees. With Kozica, you don't just learn the how and why of communication; you gain invaluable insights into the best practices specific to each industry.

Whether you're a budding journalist seeking to uncover hidden truths or a communication enthusiast looking to captivate audiences, Kozica offers a diverse range of courses tailored to your needs. From the fundamentals of storytelling to advanced techniques in multimedia journalism, our comprehensive curriculum ensures that you acquire the essential skills to thrive in the ever-evolving digital landscape.

Read more

Nukta

          Credit: UNESCO, Media Defence
04/07/2023



Credit: UNESCO, Media Defence

Je unajua unaweza kutumia takwimu, michoro pamoja na chati ili kuwasilisha taarifa au ripoti kuhusu mada fulani?Kujifunz...
28/06/2023

Je unajua unaweza kutumia takwimu, michoro pamoja na chati ili kuwasilisha taarifa au ripoti kuhusu mada fulani?

Kujifunza zaidi tembelea tovuti ya Nukta Habari

From a trainee to a data-driven news website owner in TanzaniaBy Lucy SamsonWhen he was starting his journalism studies ...
17/06/2023

From a trainee to a data-driven news website owner in Tanzania

By Lucy Samson

When he was starting his journalism studies 10 years ago, he had a big dream of becoming one of the most famous and successful journalists in Tanzania.

By that time, Faraja Masinde, a fast-growing data journalist in Tanzania, was most inspired by great journalists who were writing analytical stories in the famous newspapers in the country.

“When I read articles from famous writers in the country I reminded myself that one day my name and my stories will be read too,” he said.

Even after completing his studies and being employed in one of the newspapers in Tanzania he still didn’t know how he could achieve his dreams of becoming a famous and most successful journalist.

In the fourth year of his career, Mr Masinde saw an opportunity online about data journalism training by Nukta Africa. He could not ask himself twice to enroll.

Read more 👉 https://shorturl.at/xANV1

 Je wewe ni mwandishi wa habari, mwanafunzi au mthibitishaji taarifa na umekuwa ukipambana kuzuia habari za uzushi kweny...
15/06/2023


Je wewe ni mwandishi wa habari, mwanafunzi au mthibitishaji taarifa na umekuwa ukipambana kuzuia habari za uzushi kwenye jamii yako? Usipitwe na fursa hii kwa kuwasilisha kazi zako ulizowahi kufanya.

Kushiriki tembelea kiunganishi 👉 buff.ly/3A8yuYA

Mwisho wa kujisajili ni tarahe 30/6/2023

Are you a journalist or communication expert and would you like to enhance your skills in fact checking?Join our free co...
10/06/2023

Are you a journalist or communication expert and would you like to enhance your skills in fact checking?

Join our free course and learn the basic skills on how to combat misinformation.

For more information visit us via www.kozica.tz

08/06/2023

What do you know about digital storytelling? Share your comments below ✍

Infografia ni aina ya taarifa ambayo inahusisha takwimu, picha, maelezo, chati pamoja na michoro mbalimbali ili kuelezea...
05/06/2023

Infografia ni aina ya taarifa ambayo inahusisha takwimu, picha, maelezo, chati pamoja na michoro mbalimbali ili kuelezea habari kwa njia nyepesi na ambayo inaeleweka kwa haraka.

Usiachwe nyuma kujifunza mbinu hizi muhimu za uandishi wa habari za takwimu, ili kuongeza umahiri kwenye taaluma yako.

Jifunze sasa kupitia www.kozica.tz

Chanzo: Nukta

😊Jiunge na jarida letu linalotoka kila mwisho wa mwezi ili usipitwe na fursa na taarifa kuhusu mafunzo ya habari na mawa...
01/06/2023

😊Jiunge na jarida letu linalotoka kila mwisho wa mwezi ili usipitwe na fursa na taarifa kuhusu mafunzo ya habari na mawasiliano.

Jisajili sasa kupitia kiunganishi 👉https://shorturl.at/gN028

 😱 Fake images flood our online feeds daily, leaving us uncertain about their authenticity. Don't fret! Here are handy t...
29/05/2023

😱 Fake images flood our online feeds daily, leaving us uncertain about their authenticity. Don't fret! Here are handy tips to verify the realness of an image.

For more tips, follow

Bado haujachelewa kujiunga na mafunzo ya habari za takwimu kupitia tovuti yetu www.kozica.tz
19/05/2023

Bado haujachelewa kujiunga na mafunzo ya habari za takwimu kupitia tovuti yetu www.kozica.tz

Anza sasa kufanya kazi zako za habari na mawasiliano kidigitali kupitia simu janja. Unaweza kujifunza bure bila malipo k...
17/05/2023

Anza sasa kufanya kazi zako za habari na mawasiliano kidigitali kupitia simu janja. Unaweza kujifunza bure bila malipo kupitia jukwaa la kozica.

kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.kozica.tz

Stori ya 'Snow Fall' ni moja ya taarifa inayoelezea namna theluji ilivyoporomoka mwaka 2012 katika eneo la Stevens Pass ...
15/05/2023

Stori ya 'Snow Fall' ni moja ya taarifa inayoelezea namna theluji ilivyoporomoka mwaka 2012 katika eneo la Stevens Pass nchini Marekani. Stori hii inavigezo vya simulizi ya kidigitali ikiwa na mchanganyiko wa maandishi, picha, video pamoja na ramani za eneo husika linalosimuliwa.

Kupitia stori hii unaweza ukajifunza nini maana ya 'Multimedia storytelling'.

Tembelea kiunganishi hiki, kuona stori kamili 👉https://nyti.ms/3BvK4O0

Chanzo: The New York Times

Je unahitaji kufahamu kuhusu mafunzo ya habari na mawasiliano yanayotolewa kupitia jukwaa la kozica?Usisite kuwasiliana ...
13/05/2023

Je unahitaji kufahamu kuhusu mafunzo ya habari na mawasiliano yanayotolewa kupitia jukwaa la kozica?

Usisite kuwasiliana nasi kupitia mawasiliano haya.

Je unafikiri jibu sahihi ni lipi?
12/05/2023

Je unafikiri jibu sahihi ni lipi?

Mbinu za uthibitishaji habari zitakusaidia kuepuka kusambaza habari za uzushi mitandaoni na kukuongezea uaminifu kwenye ...
10/05/2023

Mbinu za uthibitishaji habari zitakusaidia kuepuka kusambaza habari za uzushi mitandaoni na kukuongezea uaminifu kwenye kazi zako za habari na mawasiliano.

Mafunzo haya yanatolewa bure kupitia www.kozica.tz

Endelea kujifunza nasi kidigitali, mahali popote na muda wowote.Nukta Africa
06/05/2023

Endelea kujifunza nasi kidigitali, mahali popote na muda wowote.

Nukta Africa

04/05/2023
World Press Freedom Day is celebrated on May 3 every year to raise awareness about the importance of freedom of press.Th...
03/05/2023

World Press Freedom Day is celebrated on May 3 every year to raise awareness about the importance of freedom of press.

The theme for the 30th World Press Freedom Day 2023 is "Shaping a Future of Rights: Freedom of Expression as a Driver for all other human rights."
Nukta Africa UNESCO

Karibu ujisajili katika jarida letu la Kozica linalotoka kila mwisho wa mwezi likiwa limesheheni taarifa mbalimbali za m...
02/05/2023

Karibu ujisajili katika jarida letu la Kozica linalotoka kila mwisho wa mwezi likiwa limesheheni taarifa mbalimbali za mafunzo ya taaluma ya habari na mawasiliano.

Jisajili sasa kupitia kiunganishi 👉http://eepurl.com/ik1mBH

29/04/2023

Kupitia mafunzo ya uthibitishaji habari ambayo yanatolewa bure na jukwaa la Kozica, utajifunza mbinu za kisasa pamoja na zana za kidigitali zitakazokusaidia katika uthibitishaji wa taarifa.

Jiunge nasi sasa kupitia tovuti yetu www.kozica.tz

These are stages for data processing;*Data sourcing - To search sources where you can extract data and use it.*Scrapping...
27/04/2023

These are stages for data processing;

*Data sourcing - To search sources where you can extract data and use it.
*Scrapping and cleaning - To convert data from PDF to Excel format and cleaning unnecessary data that are not needed.
*Data analysis - To analyze data and uncover story from it.
*5W + H - To explain basic elements of a story such as What, Why, Where, When, Who & How. This will help your audience to understand the story you will tell.
*Storytelling - To tell or narrate the story that you have got from the data.
* Data visualization - To present data through animations, graphics, charts and infographics. It helps to simplify the language of data to your audience.

These are some of digital tools which will help you to fact check information.*Who is - To verify website*Wayback Machin...
25/04/2023

These are some of digital tools which will help you to fact check information.

*Who is - To verify website
*Wayback Machine - To verify website
*Google Reverse Image - To verify images
*TinEye - To verify images
*InVID - To verify videos

Hivi ni baadhi ya vyanzo vya kupata takwimu unazozihitaji kwa ajili ya kazi zako za habari na mawasiliano.
19/04/2023

Hivi ni baadhi ya vyanzo vya kupata takwimu unazozihitaji kwa ajili ya kazi zako za habari na mawasiliano.

We hope you have a great productive week ahead. Always remember that, any journey starts with a single step.
17/04/2023

We hope you have a great productive week ahead. Always remember that, any journey starts with a single step.

Je unafahamu kutokana na maendeleo ya teknolojia, sasa unaweza ukajifunza mafunzo mbalimbali mtandaoni?Kupitia Kozica un...
15/04/2023

Je unafahamu kutokana na maendeleo ya teknolojia, sasa unaweza ukajifunza mafunzo mbalimbali mtandaoni?

Kupitia Kozica unaweza ukajifunza mafunzo ya uandishi wa habari na mawasiliano k**a vile uandishi wa habari za takwimu, uthibitishaji habari na 'multimedia storytelling'.

Kujiunga ni bure, kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.kozica.tz

We wish you a Happy Easter !
09/04/2023

We wish you a Happy Easter !

Multimedia storytelling conveys a narrative through multiple elements of media like text, audio and video.Through these ...
06/04/2023

Multimedia storytelling conveys a narrative through multiple elements of media like text, audio and video.

Through these elements you can send a message to your reader or audience in ways that single-medium stories cannot.

@ Micaela Sowerby

Get connected for the latest news and updates via our social media.
01/04/2023

Get connected for the latest news and updates via our social media.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kozica posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share