Lady Tabzz

Lady Tabzz Vibrant lady that gives you the best music and information all over the world.

23/11/2023
01/06/2023

60th Madaraka Day Celebrations at Moi Stadium, Embu.

21/04/2023

Leo wasemaje,nipe uhondo wa idd-ul-fitr.

12/04/2023

Unaweza ukala chakula hivi na uchumi huu wa sasa?sema na Lady Tabzz ndani ya Osotua Express 3-7pm ukiwakaribisha wadau.
0797 577229/0734005267.
www.radioosotua.co.ke
photo:twitter

je,chakula kinachopewa wanafunzi shuleni ina umuhimu wowote?
26/01/2023

je,chakula kinachopewa wanafunzi shuleni ina umuhimu wowote?

16/11/2022

Do you think parents can help teachers keep children in school? If so, what can parents do to help? Jiunge nasi every Thursday on and be part of UNICEFKenyas efforts to ensure all children get access to a good education.
UNICEF Kenya
Centre For Behaviour Change and Communication
DigiRedio
Kenya Red Cross Society

10/11/2022

Watu walioathiriwa na ukame na njaa wana haki kuhusiana na kupokea michango na misaada kutoka kwa mashirika ya wafadhili na serikali. Je, unazijua haki hizi? Tujadili kwenye hili na kila alhamisi.



08/11/2022

🙏🙏🙏🙏🙏🙏

27/09/2022

President William Ruto nominates cabinet members:
2022
1. Prime Cabinet Secretary - Musalia Mudavadi
2. Interior CS- Kithure Kindiki
2. National Treasury CS - Prof. juguna Ndung'u
3. Public Service CS - Aisha Jumwa
4. Defence CS - Aden Duale
5. Water CS - Alice Wahome
6. Foreign and Diaspora Affairs CS - Alfred Mutua
7. Trade CS - Moses Kuria
8. East African Community CS - Rebecca Miano
9. Roads, Transport CS - Kipchumba Murkomen.
10. Environment CS- Roslinda Soipan Tuta
1. Housing CS - Zachariah Mwangi Njeru
12. Tourism CS - Peninah Malonza
1. Agriculture CS - Mithika Linturi
14. Health CS - Susan Wafula
17. Information CS - Eliud Owalo
18. Education CS - Ezekiel Machogu
19. Energy CS - Davis Chirchir
20. Sports CS - Ababu Namwamba
21. Cooperatives CS - Simon Chelugui
22. Mining, Blue Economy and Maritime Affairs CS - Salim Mvurya
23. Labour CS - Florence Boore.
Attorney General - Justin Mutiri
Secretary to the Cabinet - Mercy Wanjau

24/09/2022

Wazito mpo,karibu ndani ya kipindi cha Rhumba brigade kuanzia 9pm-12am,kata jasho kwa kupata miziki ya rhumba naye Lady Tabz,unakaribisha mzito yupi.
+254 797 577229/0734005267
zeno.fm
www.radioosotua.co.ke
PHOTO COURTESY:google

22/09/2022

Its a TBT edition unakaribisha nani mtaani,hebu post picha yako ya tbt tuone yangu hiyooo.
0797577229/0734005267.
Lady Tabzz
tbt
www.osotuaradio.co.ke
photo:tabz

21/09/2022

Kwanini wazazi hupenda kulinganisha watoto wao na wenzao waliofaulu maishani?.Osotua Express na Lady Tabzz.
0797577229/0734005267.
zeno.fm
youtube:osotua live tv
www.radioosotua.co.ke
photo:google

24/08/2022

Polisi waliovuruga harusi ya mwanamke aliyeiba pesa za kupanga harusi yao wakamatwa.tujadili mambo ya ajabu ambayo kina dada hupitia ili kufaulu maishani.ungana na Lady Tabz 5-6pm,tusemezane
#0787577229/0734005267
Osotua express

25/07/2022

Je, unajua ni wapi unaweza kupata chanjo ya covid 19,na je, ni lazima uwe umejisajili kabla ya kupata chanjo? Ungana na Lady Tabz kuanzia 3-7pm ndani ya Osotua Express akufahamishe.


.

21/07/2022

Umewahifanya kazi ambayo haujasomea,ilikupea changeamoto au funzo gani maishani?

0797577229/0734005267
Amani-na-tueneze

16/07/2022

Rhumba brigade hewani,kikao cha wazito kwa leo ni je, Wake siku hizi hawatafuti muda wa kuwatayarishia waumme zao vyakula maana mapishi yao ni ya kipekee! Sikiliza!
rhumba_brigade
+254 797 577229
0734005267
photo google:

05/07/2022

Kazi ya dereva ina changamoto sio haba,unaposafiri ni tabia gani haupendi kutoka kwa madereva?

#0797577229/0734005267
photo:google

11/05/2022

ungependa tubadilishe au tuongeze nini kwa kipindi cha osotua express?maoni yako ni muhimu sana.barikiwa.

06/05/2022

Leo studioni tutakuwa na wageni kutoka shirika la msalaba mwekundu Tawi la Narok kuanzia 5-6pm,je,swali lako kwao ni lipi?
#0734005267/0797577229

Photo:krc narok branch

11/03/2022

Masharti ya kuvaa maski yaondolewa ,mashabiki wakubaliwa kuhudhuria michezo,mikutano kurejea hali ya kawaida ni habari za hivi punde zilizotangazwa na waziri wa afya Mutahi Kagwe.
PHOTO:dreamstime.com

#0797577229/0734005267

13/11/2021

wish you my fans nice weekend,have a blast

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lady Tabzz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share