Mbagara

Mbagara Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbagara, Music Award, .

16/01/2025
15/01/2025

Jackson haston mwawalo

13/01/2025

Mithali 18:10 Jina la Bwana ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.

19/12/2024

Mathayo 18:23-35
23 Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumwa wake.

24 Alipoanza kuifanya, aliletewa mtu mmoja awiwaye talanta elfu kumi.

25 Naye alipokosa cha kulipa, bwana wake akaamuru auzwe, yeye na mkewe na watoto wake, na vitu vyote alivyo navyo, ikalipwe ile deni.

26 Basi yule mtumwa akaanguka, akamsujudia akisema, Bwana, nivumilie, nami nitakulipa yote pia.

27 Bwana wa mtumwa yule akamhurumia, akamfungua, akamsamehe ile deni.

28 Mtumwa yule akatoka, akamwona mmoja wa wajoli wake, aliyemwia dinari mia akamk**ata,akamshika koo,akisema Nilipe uwiwacho.

29 Basi mjoli wake akaanguka miguuni pake, akamsihi, akisema, Nivumilie, nami nitakulipa yote pia.

30 Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa kifungoni, hata atakapoilipa ile deni.

31 Basi wajoli wake walipoyaona yaliyotendeka, walisikitika sana, wakaenda wakamweleza bwana wao yote yaliyotendeka.

32 Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumwa mwovu, nalikusamehe wewe deni ile yote, uliponisihi;

33 nawe, je! Haikukupasa kumrehemu mjoli wako, k**a mimi nilivyokurehemu wewe?

34 Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote.

35 Ndivyo na Baba yangu wa mbinguni atakavyowatenda ninyi, msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake.

Ukipigwa vita wanakupa mbinu yakusonga Mbele wewe endelea kumnyenyekea mungu wako
19/12/2024

Ukipigwa vita wanakupa mbinu yakusonga Mbele wewe endelea kumnyenyekea mungu wako

Jaribu nimtaji wamaisha yako kazana kumkalibia mungu
19/12/2024

Jaribu nimtaji wamaisha yako kazana kumkalibia mungu

21/02/2022

Music for friends

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbagara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share